Search results

  1. M

    Sasa Kanisa la Tanzania limeamshwa kwenye usingizi mzito.

    Unapotaka kanisa liungane ili nini kifanyike? Angalia tatizo kitaifa zaidi. Kemea uovu sio uunganishe kanisa. je, unaunganisha kanisa ili upambane na nani? Ni wazi unataka kupambana na uislamu, tumia akili ya ziada kabla hujaandika. Tukishawishi na waislamu waungane then what next? Think b4 you act!
  2. M

    Mchungaji: Chanzo cha Kuchoma Makanisa ni CCM kuingiza Kadhi Katika Ilani ili JK apite!!!!!!

    Nafarijika sana ninaposoma mawazo ya watanzania wenye upeo wa juu na wapenda amani. Hakika hii si vita ya uislamu kama ambavyo baadhi ya watu wanavyotaka iaminike. Uislamu hauna ugomvi wowot na ukristo toka zama hizo. Tatizo ni serikali yetu imeandaa mazingira haya kwa manufaa yao binafsi...
  3. M

    Hali ya Hatari Tandika!!

    Ndugu zangu waislam! naomba kutumia nafasi hii adhim katika mtandao huu wa jamii forum, kuwaomba kudumisha amani na mshikamano miongoni mwetu. Kama tulivyofundishwa maana ya uslam kuwa ni unyenyekevu na utii mbele ya allah(S.W). Uislam ni dini ya kupigiwa mfano kwa yaliyo mema. Ni wajibu wa kila...
Back
Top Bottom