Issue ni kutafuta usafiri ila usafiri unaweza usiupate kwa wakati, hivyo sehemu ya kupumzika au kukaa ukisubiri basi lifike ni muhim sana, kubali tu kuwa wamechemsha la sivyo kama wewe ni mmoja wao!!!
Viongozi wa Klabu ya Simba mna maswali ya kujibu, michango ya Ujenzi wa Uwanja imeshia wapi?
Ungeuliza na kwa Yanga pia kwani wakati huo nao wachangisha kwa wapenzi,mashabiki na wanachama wao!
Hiyo ndioYanga(byutbyut) na hao ndio viongozi wa Yanga(byutbyut), siku zote wanafikiria kinyume na wanatenda kinyume, sheria na kanuni zichukue nafasi yake! TFF waweke busara pembeni ili byutbyut wasije wakaeneza kirusi cha utovu wa nidhamu na kushusha heshma ya soka letu!!!
Siku hizi ni tatizo la kuiga/ulimbukeni, zamani waandishi na watangazaji wa vyombo vya habari kutoka sehemu mbalimbali za nchi hii walikuwa hawafanyi makosa hayo, siku hizi wanaiga kama anayeharibu ni maarufu au msomi.
Kutekwa kwa waschana 200 ni tukio kubwa mno ila cha kushangaza ni kuwa Umoja wa Afrika na hata nchi moja moja wote wamekaa kimya, jambo hili sidhani kama nila Wanaijeria peke yao, hata wanaojiita wanaharakati walitakiwa wapaze sauti zao, leo ni Nigeriavkesho inaweza kuwa kwingine, hivyo nchi...
RIP bibi Foibe, pole sana Eze yote ni mapnzi ya MUNGU, acha MUNGU aitwe MUNGU na mapenzi yake yatimie, yeye alitoa na sasa ametwaa jina bwana lihimidiwe, haleluya!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.