Search results

  1. unlucky

    Singo original

    Ni nzuri kwa ajili.ya kuscrub kw atakaehitaji
  2. unlucky

    Naomba kueleweshwa mambo kadhaa kuhusu usafiri wa treni

    Habari zenu ndugu zangu poleni na misukosuko ya hapa na pale. Naomba nijue kuhusu usafiri wa treni kwa Dar es salaam utaratibu unakuwaje mfano Dar kwenda Mwanza inakuwa bei gani na inachukua siku ngapi au masaa mangapi na je usafiri w treni ni salama na tiketi yake unakatia wapi manake sijawahi...
  3. unlucky

    Naomba ushauri wa njia nzuri ya uzazi wa mpango

    Habari ndugi zangu Naomba ushauri juu ya uzazi wa mpango ni njia gani nzuri na isiyokuwa na madhara kuna kila njia wamama wanatumia kijiti kitanzi sindano na vidonge kwa waliotumia je mmeonaje?
  4. unlucky

    Mwanamke aliyejifungua anatakiwa akandwe maji ya moto siku ngapi?

    Habari zenu? Naomba kuuliza: Kwa akina mama waliojifungua mwanamke anatakiwa akandwe maji ya moto siku ngapi? Naomba ushauri jinsi ya kujiweka vizuri wakati ushajifungua.
  5. unlucky

    NSSF kuna shida gani tangu nifunge akaunti mwezi wa sita hadi leo sijapata kadi yangu

    Habari ndugu zangu Mimi naomba msaada kama kuna mtu anafahamu atakaenisaidia. Mimi nilienda Ubungo Plaza pale NSSF kufungulisha account tangu mwezi wa sita mpaka leo kila nikienda naambiwa kadi yangu bado NSSF wanasema mashine zimeharibika wakati wengine wanapata sielewi tatizo ni nini naomba...
  6. unlucky

    Msaada wa kisheria

    Habari zenu ndugi zangu naomba. Msaada wenu mtu wa kunisaidia kwenda mbele kwenye serekali Mimi ni mtanzania nina. Watoto watatu ambao nimezaa na mume ambae ni foregnor wa nchi ya pkistan na ambae nishaachana nae sio mume wangu tena leo. Miaka minne sasa kawachukua wtt huko kwao leo miezi...
  7. unlucky

    Msaada wa kisheria ili ahudumie watoto

    Habari zenu ndugu zangu nimekuja tena hapa ili nipate kusaidiwa nanyanyasika sana na watoto wangu na sijui pakwenda na kupata haki za watoto kwa haraka bwana niliyemuacha hawahudumii watoto leo miaka miwili analipa shule tu lakini chakula, Mavazi hamna na mambo mengineyo mtoto wa kwanza...
  8. unlucky

    Afya zetu kwa tunaokula vyakula nje

    Habari zenu ndugu zangu, Leo nina wazo ambalo nimeona niliongee hapa ili liende mbele watanzania wenzangu hivi tujiulizeni je vyakula tunavyokula magengeni, mahotelini au sehemu mbalimbali ni safe kwetu? Sasa mimi nataka niongelee hapa na kuwaambia kwamba mngeonaje serikali ingefuatilia...
  9. unlucky

    Nisaidieni, bwana anataka aninyang'anye watoto

    Hamjambo ndugi zangu za masiku nimeona nije tena humu nimezidiwa na mawazo na matatizo mengi labda kati yenu anionyeshe njia ya kwenda kupata haki yangu na watoto, nazani story zangu mnazijua tangia mwanzo huyu bwana bado ananifollow sasa anataka kuchukua watoto anataka aniendeshe niwe as slave...
  10. unlucky

    Mume aliyekuacha, akikuingilia kimwili talaka inabatilika?

    Kutokana na matatizo mengi yaliyonikuta mpaka sasa nahangaika nimekuja na swali ambalo hata sie wengine kati yetu hatujui ambalo linahusu talaka. Swali langu ni: Mume ambaye amekupa talaka ya tatu na uko kwenye Eda, Je kama anakubaka au kufanya tendo la ndoa hapo itakuwa talaka haipo au...
  11. unlucky

    Vidonge vya majira

    Habari zenu ndugu zangu naomba ushauri wenu kuhusu vidonge vya majira; Mimi natumia majira leo mwaka kwa sababu sitaki kuzaa na huyu bwana na pia mnajua yote kuhusu mimi sasa naona naharibika uso kwa pimples sana je ni.kwa ajili ya hivi dawa mwanzo sikuwa nazo kabisa na je nikitaka kuviacha...
  12. unlucky

    Belt ya kuingiza tumbo ndani inauzwa

    Haya wanadada naona bora nijihangaishe na biashara labda mtaniunga mkono belt ya kuingiza ndani tumbo inauzwa mpya mwenue interest aniprivate kuna na vipodozi vingi tu unaorder naleta asanteni ndo hy belti kama mnavyoiona hapo
  13. unlucky

    Hivi kwa nini mwanaume hariziki na mwanamke mmoja

    Habari zenu wapendwa mimi kama mnavyonijua na mtakuwa mmesoma mengi kuhusu mimi na mume wangu yote aliyonifanyia na bado yuko vilevile kuniacha hataki kanitundika tu kama mzigo ye yuko pale pale sasa jamani hasa wanaume y mwanaume hariziki na mmoja tatizo liko wapi mnafata nini huko nje jamani...
  14. unlucky

    Habari marafiki wote wa jamii naomba msaada au wazo kuhusu vidonge vya kuwa mweupe

    Mimi ni mtanzania na nina watoto watatu sitaki kuzaa tena na nimechoka kutumia lotion za bei ghali nimeamua kununua glutathione ivory cost ya 1500 mg nimesoma net vinasifika na zimewafaa watu wengi ni herbal ni natural supplement inavyosema na haina side effect bado sijala nimeviweka tu je ndugu...
  15. unlucky

    Looking for job ya cashierbin bureau de change

    Naomba kazi kwa ajili ya kaka angu
  16. unlucky

    nataka talaka

    naomba mtu yoyote anayemjua mpelelezi yoyote yule atakae weza kunisaidia nataka amfuatilie mume wangu nataka nimshike live na mwanamke kwa sababu kila nikimshika kwenye simu anabadilika naombeni tafadhali nimechoka mwenzenu na uwongo wa huyu bwana kila siku
  17. unlucky

    Talwa

    habari zenu ndugu zangu
  18. unlucky

    Ustawi wa jamii

    habari zenu ndugu zangu
Back
Top Bottom