Search results

  1. Kibereko

    Wachambuzi wa Technology msaada unahitajika

    Naitaji ufafanuzi wa simu ya Sony Xperia 10 ii. Date Released may 2020. Nimeipenda ila sijazielewa sifa zake kwa undani.
  2. Kibereko

    ACCOUNT YANGU INA MIAKA 2 IMEFUNGIWA .

    Habari za zenu ndugu wana Jf. Hitifaki imezingatiwa: Nimeanza kutumia jamii forum miaka 5 iliyopita kwa User name tofauti tofauti na yote kilichonifanya mpaka nibadilishe majina ni kutokana na waongozaji wa mtandao huu kutufungia Account zetu bila sababu maalumu za kueleweka. Kama ni adhabu...
  3. Kibereko

    MTUNGI WA GAS EMPTY

    Habari wana jamii forum. Kama kuna mtu yoyote ambae anauza mtungi wa Gas Empty mgodo wa KG 6 naitaji aniuzie anifuate PM tuongee , Najua sasahivi Wanafunzi wengi wa vyuo wameshamaliza na wanarudi majumbani kwao.
  4. Kibereko

    Club ya Manchester United yafanya kisomo

    Amani ya mwenye kumiliki huu ulimwengu hipo pamoja nanyi. Masheikh kutoka NChi mbali mbali Dunian ikiwemo nchi yangu pendwa kabisa ya Tanzania wamefika katika Club ya Manchester united kwa ajili ya kufanya Dua kubwa kwa maandalizi ya msimu ujao. Nini mtazamo wako. Baada ya kuangalia hiyo...
  5. Kibereko

    Chumba na sebule ya kupangisha vinaitajika maeneo ya Buguruni

    Kunaitajika chumba kimoja na Sebule maeneo ya Buguruni. Maelezo muhimu: 1.nyumba iwe kwenye mazingira mazuri. 2.nyumba isiwe na wapangaji wengi. 3. Kuwe na maji ndani na umeme au kama akuna maji basi yawe yanapatikana karibu sio mbaya. 4. Kodi iwe Elfu 60 mpaka Elfu 70. Namba ya Simu 0714 768080.
  6. Kibereko

    MSAADA:- WhatsApp Errors.

    Habari za muda huu Mabibi na Mabwana. Naitaji msaada WhatsApp yangu imekorapti tangu Asubuhi simu hipo kwenye Internet lakini WhatsApp Aifanyi kazi nikituma SMS aziendi. Naogopa Ku UnInstallation kwasababu nipo nje ya Tanzania natumia WhatsApp kwa namba yangu hiyo hiyo ya Tanzania sasa naogopa...
  7. Kibereko

    Ushauri unaitajika nataka kuwa Konda wa Daladala.

    Itifaki imezingatiwa kwa sheria za JF. Kutokana na fyagio la chuma kwa watumishi wa vyeti feki na kushuka kwa uwendeshaji wa baadhi ya makampuni , umenikumba mpaka mimi kwasasaivi inafikia mwaka 1 sina kazi mke nimemrudisha kijjini naunga unga tu mjini Dasalama. Nimepata kazi ya Kuwa Kondakta...
  8. Kibereko

    Hii Style ni maarufu Duniani.

    Ongereni sana kwa Wote watakao tumia Style hii ndani ya Usiku huu.
Back
Top Bottom