Search results

  1. Money Stunna

    Russian airlines ordered to stop selling tickets to Russian men aged 18 to 65

    Russian airlines ordered to stop selling tickets to Russian men aged 18 to 65 After Putin announced he would mobilize 300,000 more troops and consider nuclear weaponry against Ukraine, Russians have started scrambling to book flights out of the country. And with limited availability, passengers...
  2. Money Stunna

    Mchumba wangu anaitana wifi na dada wa mzazi mwenzie. Hii imekaaje?

    Habari wakuu, Kuna jambo linanitatiza. Mfano una mchumba mwenye mtoto lakini pia bado anaitana wifi na dada wa x zake kila muda wanaitana wifi hii imekaaje?
  3. Money Stunna

    Tazama vivutio vya utalii mkoani Kagera kwa wahaya

    https://m.facebook.com/Kageratourism2016/ Hakika mkoa wa Kagera umebarikiwa
  4. Money Stunna

    Ugandan gay man set to be deported after failing to prove his sexuality

    Robert Kityo, a gay Ugandan-born asylum-seeker is facing deportation to his country after failing to prove he's gay. Uganda is one of the least tolerant countries in the world, where being gay is illegal, and is punished with life imprisonment. The Anti-Homosexuality Act was overturned...
  5. Money Stunna

    Wataalamu wa mtandao humu mna mchango gani kuzuia mashambulizi kwa mtandao wa JamiiForums

    Hivi karibuni kumekuwa na tatizo la watu wasio wema kushambulia mtandao huu ili kunyima uhuru wq kujieleza.Natambua umu kuna wataalamu wa IT pia na mnanufaika kupitia JF kuwepo kwa kupata habari. Je mna mchango gani kusaidia kuzuia mashambulizi haya ili JF ipatikane kwa uhakika kama...
  6. Money Stunna

    Nyumba ya Maalim Self imezungukwa na wanajeshi, hakuna kutoka wala kuingia

    Nimejulishwa nyumba ya self imezungukwa na wanajeshi hakuna mtu kuingia wala kutoka.
  7. Money Stunna

    Kwanini gazeti la Uhuru hawakuipa Uzito habari ya kifo cha Deo Filikunjombe?

    Niko napitia nagazeti yote lakini imeshtushwa na gazeti la Uhuru ambalo ni gazeti la CCM kuipa uzito mdogo sana kifo cha Deo Filikunjombe wakati magazeti yote yameipa kipaumbele kikubwa. Je, sababu inaweza kuwa Deo Filikunjombe alikuwa anapambana na ufisadi bila kujali chama?
  8. Money Stunna

    Tanzia kapteni mkandala Rufufu mtafsiri wa movie mbalimbali amefariki dunia

    Kwa taarifa nilizopa masaa 6 yaliyopita mkandala rufufu amefariki dunia. Alikuwa anatafsiri movie zs kizungu,kihindi,kichina,kiswahili na kuweka vionjo.vya kihaya. RIP mkandala Rufufu
  9. Money Stunna

    inakuwaje mtu anamaliza phd Tanzania hajui kuongea english je tatizo liko wapi?

    Nimeshangazwa sana mtu anasoma kwa kutumia masomo ya emglish kuanzia secondary hadi anamaliza chuo hajui english na akijua inakuwa ya kubabaika.Je tatizo ni mfumo,walimu au mwanafunzi. Najua kuna watu wataleta habari za china,Russia mkumbuke wale watu wanajifunza kwa lugha zao hadi elimu ya...
  10. Money Stunna

    Kwanini wahaya hampendi kuwekeza mkoa wenu kwenye mambo ya maendeleo?

    Nimekutana na rafiki yangu anatokea Bukoba ni mwekezaji sana na anajulikana sana, anaweza akaanzisha shughuli ya maendeleo ikaweza kuajiri hata watu 10,000 Namuuliza mbona mkoa wenu huwekezi watu vijana wakapata ajira badala ya kukimbilia mjini tu, ameniambia mkoa una majungu sana kwangu mimi...
  11. Money Stunna

    Hii ndio sababu kwa nini nchi za kiarabu haziwapokei wakimbizi toka nchi za kiarabu

    Mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wanaamini waarabu wa nchi kama saudia,emirates, etc kugoma kuwapokea wakimbizi ni wana roho mbaya na sasa wazungu ndio wanaowapokea kwa wingi na Wengine kama 10,000 wakimbizi wa Syria wataletwa Marekani. Nimewasiliana na rafik zangu wa nchi za kiarabu ambao ni...
  12. Money Stunna

    Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA

    Leo nimezungumza na waziri mmoja kijana sitomtaja jina maana anajua mi niko chama chake na mimi ni mchangiaji mzuri . Ni kweli wamelipwa million 50 kila mmoja na ilo deal la ushawishi lilifanywa na Wema na Steve. Lakini hiyo pesa si kujitoa tu Ukawa bali pia ni mkataba wa kuifanyia kampeni...
  13. Money Stunna

    Unalalamika maisha magumu, huduma mbovu halafu unashibikia CCM, hii si laana

    Kuna watu wanashangaza sana wanalalamika kila siku huduma mbovu,umasikini umeongezeka halafu wako CCM wanashibia ahadi ambazo hata rais aliyepita hajatimiza bado mnapewa nyingine nyingi. Mtu anayelalamika maisha magumu sana halafu anashabikia mfumo uliopo asiniombe pesa!
  14. Money Stunna

    Nashauri iwekwe namba ya simu au account namba ya kusaidia familia ya Mohamedi Mtoi

    Mimi ni mmoja walioguswa na msiba na msiba wa mwanaharakati mpenda maendeleo Mohamedi Mtoi. Kama ambavyo mnajua marehemu ameacha watoto wadogo wanahoitahi kuendelea kimasomo na narehemu muda mwingi alitumia kwenye harakati za ukombozi dhidi ya ujinga na umasikini. Nashauri iwekwe namba ya...
  15. Money Stunna

    Miaka 50 madarakani bado mnapewa ahadi zilezile hewa mnakubali, huu si uzuzu

    Nashangaa sana watanzania ambao kila siku wanalalamikia hali ngumu ya maisha .Kila miaka 5 mnapewa ahadi mnakubali je huu si uzuzu? Sijui lini akili zitakua mjue kupambanua mambo,hivi mnaona speed ya Kenya sasa kimaendeleo? Mkiwa mnarudia makosa mtakuwa watu wa kulalamika maisha yenu na...
  16. Money Stunna

    Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Bila kupoteza muda wala kuwachosha nimefanya utafiti kupitia mitandao ya kijamii kwa kuangalia watu 5,000 ambao wanaoinga mkono CCM. Hao ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania hata kwenda tu nchi jirani na nyinginezo kuona ambavyo nchi nyingine zilivyopiga hatua. Watu waliotembea nje na...
  17. Money Stunna

    je ni kweli ccm inapanga kumsajili mshambuliaj mkali Dr Slaa kwa dau kubwa

    kuna tetesi zinasambaa whatsapp kuwa ccm wanapanga kumsajili Dr slaa naomba Dr slaa ajitokeze kutolea ufafanuzi. Pia watu wengi wanasema gori la mkono ni ngumu sasa kufunga sababu mbinu nyingi zinajulikana labda gori la mkono lifungiwe bafuni . Tunaomba majibu kwa watu wa karibu wa Dr...
  18. Money Stunna

    Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

    Chanzo: Global Publishers Hii habari ni ya 2010
  19. Money Stunna

    Maaskofu, Mitume na Manabii mliotuambia Mungu kawaambia Lowassa atakuwa rais wa Tanzania 2015?

    Kuna Manabii, Mitume na Maaskofu walitwambia Mungu kawambia lowasa ndiye rais 2015,naomba mnijibu haya maswali. Je atagombea kwa chama gani? Je hasipokuwa rais nikisema nyie ni manabii wa uongo na matapeli nitakuwa nakosea sababu Mungu wa kweli uwa anaweza yote. Kuna Askofu mwingine...
  20. Money Stunna

    Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo lakini ndoa yangu ipo palepale

    Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale. Akizungumza na Bongo5 leo, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa muda...
Back
Top Bottom