Search results

  1. J

    Ushuhuda: Hatimaye ametiki

    Acha ujinga malizia store fasta.
  2. J

    Uongo mkubwa kabisa kuwahi kuushuhudia

    Wewe ndoo tuambie unazitumia kunyoa Nini.
  3. J

    Raia Mwema: Katiba mpya mbadala yaandikwa mafichoni

    Zitto Kabwe na Katiba mpya Mwandishi Wetu - Toleo la 337 5 Feb 2014 WIKI takriban mbili kabla ya kuanza kwa Bunge la Katiba, mjadala wa muundo wa serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Pili ya Katiba mpya umeendelea kupasua vyama vya siasa, Raia Mwema ikielezwa kwamba Chama cha...
  4. J

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja Magu Mwanza kutoka Morogoro anipm
  5. J

    Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Nimekuelewa hapo kwenye god fearing kwani hiyo god ulivyoiandika siyo ya yule nayemfahamu mimi japo wengi hawajakuelewa.
  6. J

    Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Nimekuelewa hapo kwenye god fearing kwani hiyo god ulivyoiandika siyo ya yule nayemfahamu mimi.
  7. J

    Pesa Hii Bado ipo Hapo nyumbani Tanzania?

    Kuna moja niliiona sehemu inazagaazagaa chini hakuna hata aliyeiokota.
  8. J

    Samwel Sitta achukua Fomu ya kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Uspika wake ulikomea pale kwenye bunge la katiba aliposhirikiana na Chengu kuchakachua maoni ya wananchi.
  9. J

    Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

    Sasa hapo kosa la DW ni lipi? Maalim Seif kaitisha mkutano na media na kuwaeleza kuwa kutokana na fomu za matokeo kutoka vituo vyote vya kupigia kura kwamba ameshinda. DW kama chombo cha habari wameripoti tukio hilo moja kwa moja, kosa lao nini?
  10. J

    Amefukuzwa kazi, eti anadai nimlipie kodi, ni haki hiyo?

    Lipa kodi ndo majukumu yenyewe hayo acha kulialia.
  11. J

    Kondomu hazina raha kwenye tendo la ndoa

    Mi sijakuelewa mkuu. Ni hubby ndiyo aliyovaa hiyo condom au wewe. Maana umesema umeitumia kwa mara ya kwanza na hukuenjoy mpaka umeivua, then hubby nae hakuenjoy sasa nani aliyevaa condom ni wewe au hubby?, au hujui matumizi ya neno hubby?
  12. J

    Basi gani linatoka Dar na kwenda Magu moja kwa moja?

    mabasi ya kuja magu moja kwa moja kutoka Dar ni mabasi yaendayo Musoma tu ambayo yanapita Magu saa 12 asubuhi baada ya kulala Mwanza mjini, nayo ni haya yafuatayo. 1. Mohamed trans, Musoma express na Osaka. karibu sana Magu ukifika nipm.
  13. J

    Nisipowapigia simu marafiki zangu, wao hawanitafuti

    Pole wewe marafiki mimi ni ndugu zangu wa upande wa baba kabisa. Mimi nimekulia kwa mama, yaani hao ndugu zangu usipowatafuta na wao hawakutafuti mpaka uanze wewe. Na nilivyoacha kuwatafuta nahisi undugu umekufa maana hatujawasiliana miaka 5 sasa.
Back
Top Bottom