Search results

  1. Nedago

    Ni wakati wa Harmonize kutumia weakness za Diamond Platnumz hasa skendo za Wanawake kujiongezea fanbase

    Hi guys! Let me declare,I'm Diamond Platnumz fun but also I support any bongo fleva artists who are pushing hard to make sure our music dominate airways internationally. Kiufupi pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa diamond platnumz lakini hivi karibuni nimechoshwa na tabia yake ya...
  2. Nedago

    Kuna uhusiano gani kati ya Clouds FM na E-FM?

    Nimekua nikiona mara kwa mara hivi karibuni event nyingi za harmonize basi Cloud's TV na TV-E wanarusha live,tofauti na vituo vingine, Na hata Show's nyingi bure za pale nyuma kidogo baada ya konde boy au aka Tembo au jeshi,kujitoa WCB wasafi,clouds na E-fm walikuwa very close na harmonize. Na...
  3. Nedago

    Hivi Harmonize kachukua Tuzo ya MTV au hajachukua?

    Wakuu Habari. Hope mu wazima. Wakuu naona habari zinazo-trend Social Media ni kuhusu Wasafi Festival tu. Hasa ujio wa Wizkid, Innosb, Tiwa Savage nk Upande wa pili Cloud's na EFM kumepoa sana na hata team kondeboy. Na walikuwa wanapromo kubwa sana ya kumpigia kura kondeboy huko MTV Awards...
  4. Nedago

    Ukweli ni kwamba Clouds Media na project zao matumbo yanawaka moto na vichwa kuwauma kwa ujio wa Wasafi Media

    Wakuu amani iwe pamoja nanyi!! I hope wote tuwazima wa afya tele!! Kama heading inavyojieleza hapo juu Tanzania imejaariwa kuwa na media nyingi sana,na kuna baadhi ya media house zili-dominate katika kipindi fulani. Mfano kipindi hicho sahara media group,Ipp media na Tbc enzi hizo, Media...
  5. Nedago

    Septemba na Oktoba: Diamond Platinumz amekuwa na wakati bora sana licha ya maneno kuhusu suala la Harmonize

    Habari zenu wakuu!! Kama heading Inavyojieleza, Kwa sisi wafuatilia habari za kiburudani hapa tz,ishu kubwa inayotrend ni mkasa wa konde boy kujitoa WCB,ambapo anatakiwa kulipa hio contract termination penarty kiasi cha tz sh.500ml + other charges za nyimbo na rights zingine. Jamaa anendelea...
  6. Nedago

    Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

    Habari wakuu?,I hope you do good. Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale Wasafi HQs. Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo Mh, Dkt.Mwakyembe. Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3, Wasafi TV itakuwa inaonekana...
  7. Nedago

    Baada ya Trump kuwasaliti Kurd's,ameniudhi na rasmi naunga juhudi za kum-impeach.

    Amani iwe nanyi wadau!! To be honest mimi nimekuwa fun wa Trump tangu wakati wa kampeni 2016. Na nimekuwa nikikubali maamuzi na movements za Trump kwa 100%,since day one. Moja kati ya mambo niliyomkubali Trump ni katika: .#Kujenga uchumi imara USA. .#Kuimarika kwa ajira na wages huko US...
  8. Nedago

    Fiesta 2019 Mwanza,Mashabiki watapiga kura na kuchagua wasanii wanaowataka kwenda kufanya show.

    I Hope Mu wazima ndugu wadau, Nilikuwa Sijasikiliza redio hasa kipindi cha Xxl ya Cloud's fm,kwa muda mrefu sana, Basi leo nikiwa nawasikiliza nimesikia wakiwahimiza mashabiki wa muziki wa huko Mwanza ambako fiesta itaanzia kwenda kupiga kura na kuwachagua wasanii wanaowataka kuwaona,katika...
  9. Nedago

    Now PariMatch: Diamond platnumz ni king of endorsements Tanzania.

    Wakuu Habari!! Habari inayotrend katika intertainment industry ni Diamond platinumz kusaini deal Kama ambassador wa PariMatch. Sisi Kama vijana Inabidi tuache majungu na tuige kwa watu waliofanikiwa na kuongoza kwa mifano, kwa Tanzania katika tasnia ya muziki bila Shaka Diamond platinumz...
  10. Nedago

    Waandamanaji huko Hongkong waanza kuiomba USA na Trump kuwasaidia

    Habari Wakuu Nimeona leo Waandamanaji huko Hongkong wakiimba wimbo wa Taifa wa USA na kupeperusha bendera za USA kila kona,na wakati huo huo wakiimba Jina la president Trump na USA. Suala la msingi ni kuwa wanaiomba USA na raisi Trump awaokoe kutoka mikononi mwa utawala kandamizi wa china...
  11. Nedago

    Google yatangaza kuacha kufanya kazi na Kampuni ya Simu ya Huawei! Yasema imefuata amri ya USA

    Leo mapema uko USA kampuni kubwa ya technology duniani google au unaweza kuiita alphabet,imetangaza kuacha kufanya kazi na kampuni ya kichina ya Huawei. Google wamesema simu zote za Huawei za zamani zitaendelea kupata technical support yaani android operating system,kwa muda fulani lakini...
  12. Nedago

    Katika Radio zenye on air studio kali tz,probably wasafi fm ni namba moja tz.

    Tanzania inazidi kupiga hatua katika investment ya media house's Tuliona azam tv alivokuja na ni azam ni namba moja upande wa TV studio's ila kwenye radio bado. Upande wa radio hapa tz kuna watu wamewekeza vizuri Sana,kama E-FM,na nyinginezo mikoani. Lakini katika wote hawa wasafi chini ya...
  13. Nedago

    Bunge la china wiki ijayo kujadiri Haraka mswaada wa sheria katika uwekezaji:MKONO WA MAREKANI.

    Natumahi tu buheri wa afya Wakuu, Sasa habari ni kuwa hatimaye china yapiga magoti mbele ya marekani baada ya kuzidiwa na Trump tarriffs,hali iliyopelekea hapo nyuma Kama miezi 6 ilopita hali ya masoko na biashara kuyumba uko china na Asia kila kwenye mizizi ya china. Mwanzo china walijitia...
  14. Nedago

    WCB,WASAFI Wanastahili sifa na Heshima Katika Bongo fleva.

    Habari ndugu wadau wa Jf, Nikiwa napitia mitandao mbalimbali Jana Nikaona tangazo la wasafi festival litakalo fanyika huko nchini Oman,mwezi wa nne. Kwakweli nikafurahi kuona vijana hawa wa kitanzania wanavyojituma kutangaza muziki wetu wa bongo fleva kimataifa, tangu waanzishe hili Tamasha...
  15. Nedago

    Rasmi, Elon Musk kupitia Space X kuwaondoa Russia katika soko la engine za rocket.

    Salaam ndugu wadau, Leo mapema huko marekani, katika testing and launching base za NASA, kampuni ya genius Elon munsk,Space X wamefanya testing ya engine ya rocket Aina ya falcon na kwa asilimia kubwa jaribio limefanikiwa na spacecraft dragon inatarajiwa ku land katika international space kesho...
  16. Nedago

    Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

    Salaam Wakuu. Tukiachana na ishu ya lowassa kurudi ccm,maana si mwanaharakati na ameshindwa mikikimikiki ya kule,maana kazeeka tayari kule kuna hitaji damu ya moto inayotembea kwa speed Sana sio yeye,kwaio kashindwa kaona arudi kwa wazee wenzie kwenye maisha simple. Wakati tukiendelea na...
  17. Nedago

    Diamond platinumz anahukumiwa kwa Social media

    Inashangaza kuona watanzania wanamshutumu msanii diamond kisa sio hajaenda msibani, Bali tu hajaposti chochote juu ya kifo cha legend wa bongo fleva Ruge mtahaba R.I.P. Lakini Mimi nimefatilia hili swala nimeona wasanii wengi wameposti kuhusu kifo hiki tangu siku ya kwanza, lakini hadi Leo wengi...
  18. Nedago

    CCM ndio wanaotumiwa na mabeberu na si Tundu Lissu,Zitto Kabwe wala wapinzani

    Salaam ndugu wadau. Kama heading inavyojieleza,hivi karibuni tangu tundu lisu apate nafuu na kuanza ziara uko ughaibuni,na kutaja maovu yanayofanyika Tanzania,kuna watu wanaweweseka na wamechanganyikiwa, Hii ni baada ya ukweli kuwaingia na kwachoma na watanzania na dunia imeanza kuelewa nini...
  19. Nedago

    Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo Rais ambae atataka tumuongezee muda wa kukaa madarakani,anatakiwa kuvifanya.

    Hivi ni vitu muhimu ambavyo tunavitaka kwa sasa,na raisi yeyote atakae fanikisha haya naamini watanzania wengi tutakuwa tayari kumpa muda wa nyongeza kwa namna moja au nyingine Kama shukurani zetu kwake,maana tangu tupate uhuru nchi inaendeshwa kwa misimamo ya mkuu wa nchi na sio system,maana...
  20. Nedago

    Kwa matukio makubwa yalotikisa nchi yetu, watengeneza story za movies&series wako wapi Mbona kimya?

    Ndugu wanajamvi nadhani nyie ni mashaidi wa hawa ndugu zetu wa bongo movie wamekuwa wakilalamika kuwa soko la muvi zao linakufa na Mimi naweza kusema limekufa kabisa,lakini wachawi ni wenyewe I mean Wamejiroga,maana kila muvi story ni zilezile wanakosa Ubunifu wa kutengeneza story kali na...
Back
Top Bottom