Search results

  1. Nedago

    Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

    Uwe Uzungu Wa Ngozi Au Wa Moyo Wa Kistaarabu ? Vyote Siwezi Mbele Ya Pisi Kali Tena Ipo Karibu Yangu Kabisa,mimi Hapana Siwezi, labda Ningekuwa Malaika, Japo Wkt Wa Nuhu Napo Malaika Nao Walishindwa Kujizuia Wakawala Binadamu,fanya Masihara Na Mishepu Ya Kiafrika Nn,ni Asili, Usirudie...
  2. Nedago

    Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

    Shida Nao Wanawake Unaweza Ukamchukulia Ni Rafiki,lakini Yeye Akiulizwa Na Rafiki Zake Anakuponda Mara Nyuki Wa Mashineni Yule,mara Ooh Hasimamishi, sasa Ni Bora Umtafune Kwanza Heshima Iwepo Ndio Mrudi Meza Ya Mazungumzo Kama Mtaendelea Na Urafiki Wa Kawaida Au La lakn Urafiki Na Mwanamke Mzuri...
  3. Nedago

    Nani mwenye kaliba ya "Kimagufuli" tumpe nchi 2025?

    Amepita Uyo Na Uzi Ufungwe
  4. Nedago

    Ni aibu Jiji la Mwanza siku 7 bila maji na Ziwa Victoria bado halijakauka

    Mmependelewa Muda Mrefu Sana Now Ni Zam Ya Wengine,hilo Daraja Limekula Hela Zetu Nyingi Sana,mtaleta Hadi Mabandiko Kwa Kisukuma Humu Lakini Haita Saidia.
  5. Nedago

    Ukraine kupokea ndege 42 za aina ya F-16

    Leo Mnaiamini CNN Kesho Ikitoa Habari Negativ Kwa Upande Wa Urusi,mnasema Ni Propaganda Za Western Medias,so Media Za Kuziamini Ni Zipi Tutajieni Source Za Kuziamini Msituumize Vichwa.
  6. Nedago

    Ujumbe Mahsusi Kwako Kiongozi Uliyesema Tusichanganye Siasa na Dini.

    Jk Alishamwambiaga Kuwa Tutume (yaani Yeye Na Wa Kwenye 50), Usipotutumia Basi,sasa Mama Kaingia King,kumbe Alikaribisha Nzi.
  7. Nedago

    Kwa Kauli hii ya Balozi wa Marekani Kuhusu Demokrasia, CHADEMA Wameumbuka

    Japo Siungi Mkona Upande Wowote Ila Huyo Balozi Ni Kopo Haelewi Anachoongea Au Hakuielewa Maada,ndio Wale amepewa Jezi Na Kuvaa Na Mchezo Haujui. Wewe Ulieandika Huu Uzi Je Unaona Kuna Ukweli Hapo? Tuambie Ni Maeneo Gani Yanaonyesha Democracy Imekua? Usije Ukasema Kisa Kuna Mikutano Ya Hadhara...
  8. Nedago

    Waraka wa Kanisa Katoliki na Nafasi ya Kanisa Tanzania, Tutarajie...!

    Sasa Je ! Katika Hizo Wanazosemaga Siri-kali Za Serikali Hakuna Huo Utambulisho Wa Kuonyesha Kuwa Tanganyika Ipo Chini Ya Katoliki Ili Kila Kiongozi Mjuu Akiingia Ajue Na Kuobey Makubaliano Ya Kanisa Na Waasisi Wa Nchi ? Na Usipofuata Makubaliano Na Mwongozo Wa Katoliki Kuna Disadv Gani? Ni...
  9. Nedago

    Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

    Sio Lazima Wawepo Ofisini Daily,msomi Kama Mwabukusi Lazima Atakuwa Ana Setup Ya Ofisi Inayojiendesha Hata Asipokuwepo Yeye,Yupo Secretary Au Wapo Wasaidizi Wake,yeye Anaenda Siku Za Mahakamani Nk,sijui Kwa Mdude.
  10. Nedago

    Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Tanganyika, Zanzibar afariki

    Apumzike Kwa Amani Na Mwabukusi Anapata Nguvu Zaidi Ya Kuipambania Tanganyika Maana Wachanganya Udongo Ndio Wameishia Hivyo,au Kuna Waliobaki? Tumpe Taarifa Wakili Wetu Msomi.
  11. Nedago

    Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

    Duuh! Huyu Mwamba Huyu. Apewe Maua Yake Ayanuse Mapema. Maana Naona Si Muda Mrefu Wanaweza Wakamzima. Na Kama akishinda Battle Ya Chama Na Serikali Kwa Kweli Atastahili Kupewa Position Kubwa Hapa Tz Miaka Ijayo Kama Reward Ya Uzalendo Wake.
  12. Nedago

    Rais Samia Kushiriki Mkutano wa BRICS, Afrika Kusini

    Mwabukusi Ana Mzoom Tu
  13. Nedago

    Balozi wa Marekani: Demokrasia inabidi iangalie mazingira ya nchi

    Kwani Ww Unaona Aliyoyaongea Huyo Balozi Ni Ya Kweli? Huyo Balozi Ni Kunguru,. Tupe Mifano Hai Ya Hatua Za Kweli Zilizopigwa Na Tanzania Kidemokrasia ? Hakuna Kilichotekelezwa Zaidi Ya Ahadi Zinazopigwa Danadana Tangu Na Tangu.
  14. Nedago

    Nini kinaendelea Ngorongoro?

    Ni Mbunge Wa Chama Gani Huyo? Waambie Ndugu Zake Wawasiliane Na MWABUKUSI ,awape Makavu Line Wahusika.
  15. Nedago

    Indonesia yadhamiria kununua hisa zote kitalu cha gesi Mnazi Bay Mtwara

    “Pertamina seeks to expand its presence and acquire the majority shares in Mnazi Bay Bloc operation through its subsidiary Maurel & Prom,” Retno said in a joint press Katika Hili Ngoja Nikapate Muongozo Wa Wakili Msomi MWABUKUSI Kwanza Ndio Nitajua Cha Kuchangia.
  16. Nedago

    St Francis ndio wanaotunga NECTA nini?

    Hakuna Promo Hapo Wazee St Francis Wanapiga Msuli Utadhani Kesho Ndio Mtihani,test Ni Almost Daily Na Wanamaliza Topics Zote Mapema Sana,mwezi Wa 4 Au 5 Baada Ya Hapo Ni Mitihani Tu,Tena Na Theory Na Pract Na Ni Migumu Acha,ukipewa Hutoboi Kiboya Mwaka Wa 20+ Now Wako Form Vibaya Mno,alafu Ww...
  17. Nedago

    Madaktari bingwa wafanikiwa kumpandikiza binadamu moyo wa nguruwe

    Hizi Ni Habari Njema Sana Kama Waliopandikizwa Viungo Hivyo Wakiishi Kwa Muda Mrefu,kwani Watatupa Imani Na Wengine Maana Wahitaji Wa Viungo Hivyo Ni Wengi Sana,so Far Nguruwe Ni Wengi Majumbani Mwetu ,kwaio Gharama Zitashuka Na Upatikanaji Utakuwa Rahisi Tofauti Na Human Hearts Na Tutaokoa...
  18. Nedago

    China: If We Have to Pay for Coronavirus, U.S. Has to Pay for AIDS, 2008 Financial Crisis

    Mbona USA ni muda mrefu sana yupo anatoa misaada ya waathirika wa HIV Kupitia USAID
Back
Top Bottom