Search results

  1. zamboni

    What is freemansory?

    Freemasonry is a fraternity that encourages continual self-improvement by association and contemplation with other men that have sworn to uphold a certain moral code. “We make good men better” is a common motto. In answer to the question “"What is it like to be a Freemason”, I answered with the...
  2. zamboni

    Ten laws of manhood

    Never shake a man’s hand sitting down. Don’t enter a pool by the stairs. The man at the BBQ Grill is the closest thing to a king. In a negotiation, never make the first offer. Request the late check-out. When entrusted with a secret, keep it. Hold your heroes to a higher standard. Return...
  3. zamboni

    Kuna aliyewahi kupata kazi au kuitwa kwenye usaili kupitia Brighter Monday?

    Habari zenu wanakujukwaa, samahani naomba kuuliza hivi kuna mtu aliyewahi kupata kazi au hata kuitwa kwenye interview kwa kupitia website ya Brighter Monday?
  4. zamboni

    Bank Teller NNB

    Habari wakuu? Hivi NMB walishaita Kwa ajili ya interview nafasi Za bank teller?
  5. zamboni

    Abunuwasi and Bahlul

    Habari wakuu, naomba wa msaada wa namna ya kupata softy copies ya vitabu vya Abunuwasi na hekaya za bahlul mwenye busara! Natanguliza shukran kwa atakae weza kunisaidia.
  6. zamboni

    Msaada ku download na kuweka miZiki kwenye iphone

    Habari wakuu? Kwa wenye uelewa naomba mnijuze namna ya ku download music on iphone. Na je inawezekana kuhamisha miziki kutoka kwenye computer kwenda kwenye iphone?
  7. zamboni

    Nahitaji dawa nzuri ya Amoeba

    Habari Wakuu? Naomba kwa mwenye kujua anifahamishe juu ya dawa nzuri ya Ameoba.
  8. zamboni

    Huawei ascend p6 or p7 inahitajika

    Nahijataji huawei p6 Or p7 anaeuza aje na picha pamoja na Bei! Karibuni
  9. zamboni

    Msaada with my computer

    My computer keep telling me that the operating system has detected that the cooling fan is not operating properly, continued operation is not recommended and may cause unpredictable behaviour that could result in a random shutdown data loss or possibly Leo system damage, the system will...
  10. zamboni

    Amazon Kindle

    Msaada, wapi wanauza amazon kindle kwa hapa Dar es salam?
  11. zamboni

    Samsung TV flat screen

    Habari zenu wakuu!? nna Tv yangu ya samsung inch 24 ambayo kwa bahati mbaya nli iangusha chini, sasa imepasuka kioo! kwahyo nlikua naomba msaada wa kufaham kama inatengenezeka, na pia gharama za matengenezo zina range kuanzia kiasi gani.
  12. zamboni

    Dawa ya Amoeba

    Habari! Nna Mdogo wangu wa kiume ambae amekuwa akisumbuliwa na ameoba muda mrefu sasa! Amekuwa akienda hospital na kuandikiwa dawa ambazo zimekuwa zikimsaidia Kwa muda mfupi then tatizo linajirudia tena. Naomba kuuliza kwenu dawa gani nikimpatia itamponesha moja Kwa moja?
  13. zamboni

    Zuku & star times

    Habari wakuu! Samahani Kwa wale wenye uelewa kati ya dish LA zuku na star times lipi zuri, in terms of picture & sound quality, wingi wa channels na vitu vingine vingine!
  14. zamboni

    Ushauri please

    Nna rafiki yangu ana ishi mkoani, ana girlfriend wake anasoma chuo flani cha diploma, sasa kwa bahati mbaya au nzuri jamaaa amempa mimba huyo binti, na mimba kwa sasa inakama wiki mbili. Ila jamaa na mpenz wake wamejadiliana wame amua bora waitoe hyo mimba.. Ila kabla hawajatoa jamaaa amekuja...
  15. zamboni

    Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Habari wanajamiii wenzangu? Nataka kufungua account ambayo ntakua na deposit akiba ya pesa kila mwezi, sasa naombeni ushauri wenu kua bank ipi ni nzuri kwa kufanya hivyo?
Back
Top Bottom