Search results

  1. Gaijin

    Mwalimu Nyerere alihusika na siasa za Zanzibar kabla ya Mapinduzi?

    katika pita pita zangu kutafuta vitabu vinavyohusiana na harakati za kutafuta uhuru Tanzania nimekutana na kitabu hiki UKWELI NI HUU (KUUSUTA UONGO) kilichoandikwa na Amani Thani ambae alikuwa muasisi wa chama cha Zanzibar Nationalist Party. Kitabu hicho amekiandika 1994 akiwa ukimbizi Dubai...
  2. Gaijin

    Msaada: natafuta tiketi za World Cup

    najua kuwa Wizara ya Michezo ya Tanznia imepatiwa ticket za kwa ajili ya mashindano ya world cup, za kuwauzia wananchi wake (kila nchi inapewa fungu lake) hizi tiketi jamani zinapatikana kwa utaratibu upi? i need 2 for atleast 2 different matches. ahsanteni
  3. Gaijin

    una recommend nisome novel gani?

    Ningependa wapenzi wenzangu wa novels mnipe recommendation zenu za vitabu gani ni `must read`, manake vitabu kununua kidogo ni ghali kwa hiyo kununua kwa kubahatisha tu huwa kunachosha.. sibagui, huwa nasoma novels za aina zozote na kwa kuanzia tu ningependa kushare watunzi au novels ambazo...
  4. Gaijin

    You know you are in Tanzania when

    you know you are in Tanzania when.... 1) Bia inalipa kodi kubwa zaidi ya migodi kwa ujumla 2)rais anafurahia kupiga picha na hundi isiyosahihi 3)Marais wanaitwa mafisadi wanatulia tuli, ati kengele za mlango... 4)Waziri Mkuu anasema ndege inapaa, wakati wananchi hawamiliki...
Back
Top Bottom