Saluni za Kariakoo nenda wanafanya kwa nyuzi au za Upanga
Kama unataka kufanya kwa tweezer mwenyewe, ningekushauri walau mara moja upate professional help uone zinatakiwa ziwe na shape gani.
Kumbuka tu kuwa kizuri chajiuza lakini usisahau kuwa mzuri hajipambi :)
ar·gu·ment\ˈär-gyə-mənt\
noun
1 obsolete : an outward sign : indication
2 a : a reason given in proof or rebuttal
b : discourse intended to persuade
3 a : the act or process of arguing : argumentation
b : a coherent series of statements leading from a premise to a conclusion
c...
Sijatoa hata argument moja kuhusu ndoa. Hakuna hata pamoja
Mwanzo mwisho nimezungumzia methods zilizopelekea kuandikwa yaliyoandikwa kuhusu ndoa.
Reading comprehension please
Inawezekana tatizo likawa kwako vile vile, kuwa hueleweki. Definition uliyotoa haijitoshelezi.
Kama kuna ndoa ambazo ni "mkataba baina ya watu wawili" ambazo huwezi kujua ni ngapi, utajuaje kuwa kuna watu wengi wasiooa?
Hesabu za seti, hivi ni ngumu hivi kueleweka?
Kuziamini wewe au hata...
Mimi nashangaa mtu anakuja hapa kuuliza watu wengine ugumu na urahisi wa somo, wakati ni subjective
Mwengine atakwambia somo fulani ni gumu kwa sababu hajaweza kupata zaidi ya marks 90 kwenye mitihani yake wakati mwengine hiyo mbona inamthibitishia kuwa somo hilo ni jepesi!
Nimesoma posts zote ndio nikauliza.
Ukiona pameulizwa tena manake jibu la kwanza ama halijaeleweka au halieleweki.
Kwa mfano, "Mkataba baina ya watu wawili," utajuulikana vipi kama umekwekwa?
Maswali ya msingi ambayo alitakiwa mtoa mada ajiulize na awe ameyapatia majibu kabla ya kuja na...
Mimi nasema hakuna, unaeona kuna kitu kieleze
Haijalishi kama mtu alilewa sana kwa ofa, alivaa kimini,kajazia sana. Hakuna justification kwa kitendo cha ubakaji
Maendeleo Tanzania bado yana safari ndefu sana. Jarida linajiita Fikra Pevu ikisha linaandika vitu subjectively tu, hakuna definitions wala research hata ya kubabaishia
Ndoa ni nini?
Wengi wangapi?
Kwa sample size ipi?
Kwa weight gani?
Ikiwa makala hii kama ilivyo imeonekana worthy ya...
If I understood you correctly, you are trying to compare the concept behind the "loss" of direction of space for a person taken away from a large entity (earth), to that of time
For time it's different in the sense that the direction of time is in all particles of the universe. Moving from low...
Time has a direction
For an instance, under the Second Law of Thermodynamics, entropy increases with time in a closed system
For Arrows of Time, start with the works of Sir Arthur Eddington
*And no, time doesn't flow since to flow is to change with time
Sasa unataka kutupa habari ya mwanafunzi aliyeambiwa achore picha ya simba mwituni, akapeka mchoro kijani tupu
Anaulizwa vipi anasema "Mwalimu simba keshapita"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.