Search results

  1. H

    Ifahamu miti ya mastafeli (mastakafeli) na mitopetope

    Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu. Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees. Tuchambue pamoja...
  2. H

    Machache unayotakiwa kuyafahamu kuhusu kilimo cha miembe cha kisasa

    Madawa yako mengi nadhani hapo ulipo kuna wataalamu sio wauzaji wa pembejeo watakuelezea ila jaribu kutafuta Confidor na zile za wadudu zenye viambato sumu zaidi ya kimoja.
  3. H

    Machache unayotakiwa kuyafahamu kuhusu kilimo cha miembe cha kisasa

    Kwa Dsm huwa nakuja kwenye kazi ila shughuli zote ziko chuo kikuu cha kilimo SUA morogoro,au piga/whatsup 0714600575
  4. H

    Machache unayotakiwa kuyafahamu kuhusu kilimo cha miembe cha kisasa

    Hapo kwa fruit flies ni mitego tu ambayo ina pheromones kuzuia madume hivyo idadi ya uzaaji hupungua na kwa sootmould chanzo ni wadudu wafyonzao katika majani kama Aphids hivyo viuatirifu vyenye sumukiambato kama imidacropid zinafaa sana kupoteza hao wadudu na hivyo kupoteza madhara ya ufyonzaji...
  5. H

    Machache unayotakiwa kuyafahamu kuhusu kilimo cha miembe cha kisasa

    miaka miwili na nusu hadi mitatu ila kukomaa au MATURITY ni miaka mi5,hivyo kuanzia miaka miwili na nusu utavuna ila ukikomaa utaenjoy sana kuanzia huo mwaka wa 5 utavuna sana sana
  6. H

    Machache unayotakiwa kuyafahamu kuhusu kilimo cha miembe cha kisasa

    Mara nyingi kutokana na namna ya maisha na katika kupambana na gharama za maisha watu wamekuwa wanahangaika kutafuta namna ya kuzungusha pesa zao hasa katika njia zenye matokeo yenye mrejesho wa haraka,ila ni wachache wanasahau kuhusu dhamana iliyopo katika kilimo cha matunda hasa embe. A...
  7. H

    Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    evigt, KUNA MAMBO YAMEBADILIKA NTASHEA NANYI
  8. H

    Mpapai na Gunzi vina uhusiano gani?

    ni vingi ambavyo ukibhana shina la mpapai tissue zinakuwa stressed zinapelekea kuhama jinsia na sio kwa mpapai na hata mnazi. njia kama kuchoma msumari,kugonga kigunzi (corn cob) na kufunga waya shina hivyo kwenye transportation ya mmea huathiriwa na ndio this is what we call plant stress and...
  9. H

    Mpapai na Gunzi vina uhusiano gani?

    ni kuustress na ndio mwisho unahama jinsia mkuu
  10. H

    Hasara ya COVID-19 kwa wakulima wa mazao ya bustani

    Habari wanajamvi, Je, kwa hali inayoendelea mnahisi kwa wakulima wa ndani ambao wanalima mazao ya bustani wameathirika au wanaathirika vipi kwa kipindi hiki na je, ikitokea lockdown itaathiri vipi mazao yao kwa kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Elimu ya matunzo ya mazao shamba bado dogo na bado...
  11. H

    Ushauri kuhusu kilimo cha matunda, miti na viungo pamoja na uuzaji wa miche yake

    miaka miwili na nusu tu,njombe kuna mabasi moja wapo ni mwalimu na mengine kutegemea na siku
  12. H

    Ushauri kuhusu kilimo cha matunda, miti na viungo pamoja na uuzaji wa miche yake

    miche ipo urefu mkuu haifiki mita 1 na nusu kwa sababu tumebud mwezi wa pili na ni 2000 tu
  13. H

    Ushauri kuhusu kilimo cha matunda, miti na viungo pamoja na uuzaji wa miche yake

    Habari wanajamvi, Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi. Kabla hatutajatangaza bidhaa tutoe nafasi ya kuuliza maswali kuhusiana na kilimo cha matunda, miti na...
  14. H

    Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

    umenikumbusha maeneo ya kwedizinga hadi leo sijui wamejenga lile eneo eti kiwanda cha kuchakata muhogo anhaa anhaaaa
  15. H

    Tutaje maeneo Tanzania ambayo maisha ni nafuu

    kuna sehemu kuwa na maisha marahisi lakini mzunguko je? na accesibility yake,mtu anataja karagwe sijui,wapi huko. kwa mji kasoro bahari maisha magumu jichagulie wewe,kuna mbogamboga,matunfa,nguruka na mchele wa kutosha yaani huu mkoa huko vizuri,mzunguko nao si haba maana wageni ni wengi na...
Back
Top Bottom