Search results

  1. usininukuu

    CCM Waipinga kauli ya makinda - Arumeru

    WANANCHI wa Jimbo la Arumeru Mashariki, wameombwa kumchagua mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Sioi Sumari ili kumfuta machozi yaliyotokana na kifo cha baba yake mzazi, Jeremiah Sumari ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo. Mbali na hilo wananchi hao wameelezwa kuwa kwa kufanya...
  2. usininukuu

    Mwekezaji mwingine akihitaji eneo la Ikulu ili atujengee Ikulu nyingine atapewa?

    Kwa mjibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania tunayo mihimili mikuu mitatu yaani Serikali kuu, Mahakama na Bunge. Hivi karibuni kuna taarifa kuwa mwekezaji mmoja (Kilimanjaro Kempisk) ameruhusiwa kupanua shughuli zake kwa kuihamisha mahakama ya Rufaa ambayo ndo mahakama kubwa kuliko...
Back
Top Bottom