Search results

  1. bwege nazi

    Uchaguzi 2020 Msanii wa vichekesho Jacob W. Mkweche 'Ringo', achukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Songea Vijijini

    Safari hii unaweza kwenda kwa mtaalam akufanyie mpango uukwae uheshimiwa badala yake ukakuta mtaalam nae kachukua fomu ya kugombea jimbo hilo hulo...
  2. bwege nazi

    Benard Morrison Acha Kabisa...

    Kuna jambo langu itabidi uniangalizie.. mana sio kwa ramli hiii🤣 kama ulijua vile!
  3. bwege nazi

    Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

    Hapo tu ndo nnapokukubali mwanachi wewe... lakini wananchi wenzio huku nnapoishi mimi huku kijijini mwali kabule matombo huku, eti wanasema jana tumenunua mechi na yule mghanaley eti katumika jana!
  4. bwege nazi

    Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

    Ase we jamaa una moyo kweli... endelea kujifariji
  5. bwege nazi

    Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

    Jamani tuendelee kupeana info sie wengine tupo huku mwali kabule matombo chai togwa kitafunio pera.. pigaa hao mnyama!
  6. bwege nazi

    Yanga kuingia na Coaster na kuacha basi lao maana yake nini?

    Hawa jamaa linapokuja suala la miziziology huwaambii kitu!
  7. bwege nazi

    Utabiri wangu kuelekea pambano la Yanga Sc Vs Simba Sc

    Umechangia point kabisa ewe mwana masumbwi a.k.a Morrison fc a.k.a utopolo 👍
  8. bwege nazi

    Kariakoo Derby Jumapili 12th July 2020: Yanga inaenda kujitoa muhanga tu, uwezo hawana

    Hawa jamaa zetu wa pale panapojaaga maji msimu wa masika, wako vizuri sana kwenye upande wa miziziology! Wanawekeza sana upande ule yani. Lakini linapokuja suala la kutandaza gozi la ng'ombe, mnyama shughuli yake hakuna asiyeifahamu!
  9. bwege nazi

    Uchaguzi 2020 Godbless Lema achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Wakala wake

    Usupa staa kupinga kila kitu? Wana Arusha wanamngoja kwenye sanduku la kura!
  10. bwege nazi

    Uchaguzi 2020 Godbless Lema achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Wakala wake

    Anaomba ridhaa kisupastaa.. eti katuma mwakilishi amchukulie fomu, wabongo bwana!
  11. bwege nazi

    Simba kukabidhiwa kombe leo la tatu mfululizo 2020/2021. Namungo FC uwezekano wa kushinda leo ni mkubwa

    Tupo pamoja namungo ktk kuhakikisha tunamaliza nafasi ya tatu
  12. bwege nazi

    Hii ni aibu kumuweka marehemu status

    Ungeambatanisha na picha ya marehemu ili tusitoke nje ya biti!!
  13. bwege nazi

    Rekodi muhimu za Simba na Yanga tangu 1938

    Soma hiyoooo!
  14. bwege nazi

    Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

    Wajadi fundi au mwite binaadamu mashaka wa mahuta shimoni huyu jamaa hata huyo uliyemtaja anasubiri kwa huyu😂
  15. bwege nazi

    Azam Fc yamshtaki "refa wa Yanga" kwa Bodi ya Ligi

    Tutajie hata goli moja hilo la kuotea ewe mwana utopolo
  16. bwege nazi

    Mwamuzi Elly Sasii afungiwa baada ya kushirikiana na Yanga kuihujumu Azam

    Subiria uto fc waje kupinga na hili wakati kila mtu kaona ile game!
Back
Top Bottom