Search results

  1. K

    Askofu Judae Ruwai’chi azungumzia hali ya siasa nchini

    Kweli kabisa askfu huyo anastaili pongezi kwa mchango wake, ni bora mchango wake ukafanyiwa kazi hasa wenzetu wale wanaojivua gamba.
  2. K

    Karagwe inayosifika kwa kulima Kahawa Nchini lakini haina kidato cha tano na sita!

    Inashangaza kuona wilaya inayosifika kwa mapato makubwa kutoka katika zao la Bihashara la Kahawa inakosa shule ya Serikali ya kidato cha tano na sita. Wilaya ya Karagwe inasifika sana kwa kuwa na hali ya hewa nzuri nawatu wake kuwa wapole sana ila cha kushangaza sana watu kuchulia upole wa...
  3. K

    Karagwe inayosifika kwa kulima Kahawa Nchini lakini haina kidato cha tano na sita!

    Mimi nimeuliza swali hili kwa machungu makubwa sana, wakulima wa karagwe pamoja na kuangaika katika kuudumia kahawa, hawapewi chochote mfano pembejeo za kilimo, lakini pamoja na kuhudumia kahawa wenyewe baada ya kupata kahawa hiyo wanapangiwa kahawa na Serikali.Hapa karagwe kilo moja inauzwa...
Back
Top Bottom