Search results

  1. RAMAJ

    Upi mtazamo wako juu ya kipindi maarufu cha Jahazi kufungiwa?

    Siku ya jana, tumeshuhudia na kusikia hukumu iliyotolewa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania juu ya kipindi maarufu cha Jahazi kinachoruka kupitia Clouds Fm. Hukumu hiyo imekuja baada ya watangazaji wa kipindi hicho akiwemo G. Habash, Dj Fetty na wenzao kukiuka miiko na maadili ya utangazaji...
  2. RAMAJ

    Hivi ni kweli wanawake wanavutiwa zaidi na wanaume wanaonukia kuliko wanaopendeza?

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa bara na visiwani, mashariki ya mbali na magharibi pia... Mara nyingi nimekuwa nikilisikia hili swala kuwa wanawake wengi huvutiwa na wanaume wanaonukia zaidi kuliko wale wanaopendeza. Suala hili imepelekea kunipa maswali mengi. Je, ukiwa umevaa nguo kuu kuu...
  3. RAMAJ

    Nahitaji vitabu vya Walter Rodney

    Habari za mchana waungwana.. Kwa yeyote mwenye pdf ya kitabu chochote cha Walter Rodney naomba anisaidie, nina shida navyo sana. Ahsanteni, muwe na siku njema.
  4. RAMAJ

    LINK YA VITABU

    Wakuu mko vyema?!!! Kwa yeyote mwenye link ya vitabu vya free au anaefahamu namna ya kupata vitabu kwa njia ya software ambavyo ni free kuvipata naomba anielekeze tafadhali.Lakini vyema zaidi kama ningepata link. IJUMAA NJEMA KWENU.
  5. RAMAJ

    TCU tafadhali fanyeni vitu kwa wakati, msiparaganye mambo

    Kwa mujibu wa ratiba ya TCU leo tarehe 06/10/2018 ndiyo ilikuwa tarehe ya mwisho ya kutoa feedback kwa wale walio chaguliwa thidr round lakini mpaka muda huu saa 9:44 hakuna kitu chochote katika website yenu na vyuo mbalimbali vishaanza kutoa admission letters kwa wale ambao wameshapita katika...
  6. RAMAJ

    MSAADA: C P U yangu inashindwa kufungua CD ROOM

    Naomba kupatiwa msaada kwa tatizo hili maana C P U ni ya mtumba aina ya HP nimenunua nimeona hyo shida na ina siku 3 tangu nimeinunua..nimejishauri kuirudisha lakini nikaona si vyema kwanza kabla sijaifikisha kwa wajuzi ambao wana utaalamu na mambo ya computer
Back
Top Bottom