Search results

  1. JOSEPHAT_07

    Wapi wanafundisha jinsi ya kuagiza mizigo nje ya nchi?

    Naomba msaada, kama kunamafunzo au sehemu wanafundishi jinsi ya kuagiza mizigo nje ya nchi nahitaji kupata elimu hiyo
  2. JOSEPHAT_07

    Natafua betri ya mashine ya Selcom

    Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kununua betri ya mashine kama hii ya Selcom
  3. JOSEPHAT_07

    Nahitaji kuuza Mitungi ya gesi kwa lejaleja

    Naomba kujua vigezo pamoja na mahitaji mengine.
  4. JOSEPHAT_07

    Bado Kilimo cha Parachichi kinalipa 2023

    Wadau wa kilimo naomba kuuliza nimesoma komnti na maelezo watu waliondika kuhusu kilimo cha maparachichi za 2021. Naomba kuuliza vip kwa miaka hii 2023 bado kilimo cha maparachichi kinalipa? Je, vipi kuhusu soko? Ukishalima uangaiki kutafuta wateja? Naomba mnisaidie majibu mda si mrefu nataka...
  5. JOSEPHAT_07

    MSAADA: Huwa wanauliza maswali gani kwenye usaili TANROADS?

    Naomba msaada kwa wale amba walishafanyaga interview Tanroads nafasi ya Weighbridge Shift Incharge.
  6. JOSEPHAT_07

    Biashara ya miti ya mbao Iringa

    Naomba kujua kuhusu bishara ya miti yambao Iringa. Ninataka kununua shamba ili nipande miti then baadae nije kuiuza. Nilichokuwa nataka kujua ni... *Je, huwa inachukua miaka mingapi? *Bei ya kila mti ni shillingi ngapi? *Na pia gharama zingine kama zipo *Na weza nikaanza na heka ngapi Kuhusu...
  7. JOSEPHAT_07

    Office za Kikuu

    Naomba msaada kwa anaejua office za kikuu zilipo kwa hapa Dar es salaam Tz
  8. JOSEPHAT_07

    Maziwa ya Lactogen

    Noaomba msaada, nitapata wap maziwa og ya lactogen namba moja nataka kununua kwa jumla?
  9. JOSEPHAT_07

    Msaada wa Chuo wanachofundisha Graphics design

    Habari namba msaada kujua chuo au College yoyote wanao fundisha Graphics design and Video production
  10. JOSEPHAT_07

    Biashara ya mchele Mbeya-Dar

    Jamani kwa wale wazoefu mtaji unahitajika kuanzia shilingi ngapi naweza kufanya?
  11. JOSEPHAT_07

    Msaada line za uwakala Mkuu Tigo, Airtel pamoja M-pesa

    Naomba msaa kwa anaejua vigezo vya kupata hizi line.
  12. JOSEPHAT_07

    Watu wanaofanya application Udom AVN NUMBER

    Naomba msaada AVN NUMBER ndio number gani phat_07
  13. JOSEPHAT_07

    Naulizia Photocopy machine kwa Zanzibar

    Kwa aliekuwa Zanzibar, naomba msaada wa kujua bei za Photocopy machine used pamoja na mpya
  14. JOSEPHAT_07

    Naomba msaada kwa mawakala wa Mpesa na Airtel money

    Mimi ni wakala ila sina uzoefu nimeanza hizi mishe nina kama mwezi hivi. Naomba kuelekezwa kuna wateja wa Voda na wa Airtel huwa wana kuja na msg wakiwa wametumiwa pesa kutoka mitandao tofauti, naomba msaada, as soon as possible.
  15. JOSEPHAT_07

    Mashine ya kusajilia line za mitandao yote

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwamba natafuta mashine ya kusajilia line za mitandao yote. Naomba msaada wa maelezo jinsi ya kupata phat_07
  16. JOSEPHAT_07

    Naomba msaada wa ufafanuzi wa Adobe Photoshop na Illustrator

    Naomba msaada kwa anaezifahamu hizi programu, ipi ni nzuri kwajili ya kutengenezea Logo, vipeperushi, card design. phat_07
  17. JOSEPHAT_07

    Naomba kujua Commission kwa CRDB Fahari Huduma

    Naomba msaada wa kujua commission kwa huduma zinazotolewa na POS ya CRDB Fahari Huduma. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. JOSEPHAT_07

    Msaada jinsi ya kuaply course nacte

    Jama wadau naombeni msaada, nimemuombea mdogo wangu kozi za afya nimemaliza, nataka pia nimuombee na kozi zingene za ualimu, lakini nashindwa
Back
Top Bottom