Search results

  1. JOSEPHAT_07

    Wapi wanafundisha jinsi ya kuagiza mizigo nje ya nchi?

    Kama ni kweili Sawa nakulipa tukubaliane namba yangu 0756462379. Nikasome vip ninamambo mengi
  2. JOSEPHAT_07

    Wapi wanafundisha jinsi ya kuagiza mizigo nje ya nchi?

    Mim nakulipa, ili mradi tu nielewe
  3. JOSEPHAT_07

    Wapi wanafundisha jinsi ya kuagiza mizigo nje ya nchi?

    Naomba msaada, kama kunamafunzo au sehemu wanafundishi jinsi ya kuagiza mizigo nje ya nchi nahitaji kupata elimu hiyo
  4. JOSEPHAT_07

    Natafua betri ya mashine ya Selcom

    Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kununua betri ya mashine kama hii ya Selcom
  5. JOSEPHAT_07

    Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

    Mimi mpaka leo bado sijapata kitu, ila kuna mambo yalinibana hapa kati kuanzia J3 naanza kufatilia watanilipa pesa yangu
  6. JOSEPHAT_07

    Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

    Labda wahamishe bahari na viwanda vyote
  7. JOSEPHAT_07

    Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

    Poa atakae jua anapofanyia mishe anicheki kwa namba hii 0756462379 laki saba na elfu hamsini si pesa ndogo nitamtafuta tu uzuri na mim nafanyia mishe hukuhuku kariako, leo nimezunguka Posta kwenye hilo jengo la Diamond Plaza nimemkosa
  8. JOSEPHAT_07

    Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

    Risiti nilipewa na Muhuli wa Fago ila atakuwa anashilikiana na Fago kwasababu mimi sijakutana nae njiani, nilifika ofisi Fago alikuwa amevaa sare zao na anakaa ofisi zao
  9. JOSEPHAT_07

    Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

    Kwahiyo kama kuna mtu anajua anapopatikana wapi tafadhili naomba anijulishe namba zangu ni 0756462379
  10. JOSEPHAT_07

    Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

    Kuna mzigo niliagiza wa Tsh.1.7m nimempa cash laki 7 na elfu hamsini kwa makubaliano mzigo ukifika nimmalizie laki 9 na elfu hamsini
  11. JOSEPHAT_07

    Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

    Habari huyu mtu pia mimi namtafuta hapokei simu zangu. Kwa dalili ninavyoziona anataka kunitapeli. Sasahivi anafanya kazi na kampuni nyingine inaitwa Dynamic Air and sea cargo Ltd, ofisi yao wanasema ipo Diamond plaza mida hii nimetoka hapo nimezunguka na polisi sijawapata yani hawapo hapo
  12. JOSEPHAT_07

    Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

    Ni vizuri, kwasababu mnajijengea trust kwa watu wengine ambao bado hawajafanya biashara na nyinyi. Huu uzi unafatiliwa na watu wengi tu
  13. JOSEPHAT_07

    MO CARGO: Kampuni bora ya kusafirisha mizogo China, Dubai na India

    Ukitaka wakununulie na kukusafirishia mzigo wanafanya hivyo au kusafirisha tu ?
Back
Top Bottom