Search results

  1. S

    Penzi la kitapeli kati ya Mama Dangote na Mr Shamte

    Mimi nasema hivi......likuepukalo lina kheri na wewe!!!!
  2. S

    Namchukia sana mama yangu mzazi

    Kitu kimoja nilichojifunza ni kuwa kuna watu kwenye maisha wamepitia mambo magumu mnoo tokea labda wakiwa watoto na wengine wakiwa wakubwa labda kwa kuona jamii itawahukumu wameamua kuficha maumivu yao kitu ambacho ni kibaya kimwili na kiroho. Kimwili watu wanaficha maumivu kwa kutafuta furaha...
  3. S

    Namchukia sana mama yangu mzazi

    Status yako kiroho ikoje? Naamini ni mkristo na unamuamini Mungu kupitia Yesu kristo tunapata ukombozi.Nimeuliza status yako kiroho ili kujua kwamba tuanzie wapi kama ni kuanza kutengeneza msingi wa imani yako kwanza ok ngoja nikupm nikutumie kitabu flani cha kuanza.
  4. S

    Namchukia sana mama yangu mzazi

    Mdau ...kwanza hongera kwa ujasiri ulionao kushare hili jambo, kuna watu wengine wanshindwa kushare mambo mpk wanajikuta wanapata msongo wa mawazo pengine na yeye anaishia kuwa mlevi bila kujua. Ni matumaini yangu umeshare hii experience yako ili upate msaada. Mi nikisoma content yako i can feel...
  5. S

    Ni ushauri gani utampa Rais ikitokea umekutana naye na kupata nafasi hiyo?

    Mimi nitamshauri ampokee Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake, Kwa kuwa najua kumpokea Yesu ni kumkubali Mungu ambaye ni nuru kwa hiyo nuru ikiingia moyoni mwake atakuwa na furaha , amani , atakuwa na upendo wa kweli ataanza kujipenda yeye mwenyewe na watu wake atajua kusamehe wanaomkosea...
  6. S

    Kuzidishiwa chenji au malipo: Mlipwaji kuuchuna ni baraka au ni kosa?

    Mimi pia niliwahi kula hela ya udhalimu.....kuna mteja alikuja ofisini alikuwa kazidisha shilingi elfu hamsini nikanyamazia mambo yakaenda lakini ikawa na mie napoteza hivyo hivyo. Sasa nikakutana na hili andiko Luka 16:10-12 Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo...
  7. S

    Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

    Sio kila ufahamu watoka kwa shetani.....jiongeze tu. Namuamini Mungu inatosha. Soma Mithali 1:7
  8. S

    Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

    Siri ya mafanikio ya Dai anajua mama yake.... Dai hawezi kuoa hata siku moja kwa sababu ana spiritual wife... Hata akioa mke atapata tabu sana huwezi kuolewa na mume wa mtu ukawa na amani... Wasichana wanaotamani kufanikiwa wakae mbali na Dai ..sana sana wataambulia spirit of lust...mwishoni ni...
  9. S

    Je, kauli 'Malipo ni hapahapa duniani' inapinga uwepo wa Mungu?

    Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna
  10. S

    Hapa ndipo yanapofeli makanisa ya kiroho

    Hiyo laana iko katika kitabu gani cha biblia? Hawa ni binadamu kama sisi wanafanya makosa Warumi 15:14 Ndugu zangu,nimehakikishwa mimi mwenyewe kwa habari zenu ya kuwa ninyi nanyi mmejaa wema, mmejazwa elimu yote, tena mwaweza kuonyana.
  11. S

    Hapa ndipo yanapofeli makanisa ya kiroho

    Mshana jr spiritual protocol ya kupokea ni kutoa, the more you give the more you receive especially when you give to the less privilage people Luka 6:38 Hii sheria naonaga wamebadilisha wameona wao hawana obligation na wamesahau baraka huambatana na laana. Badala yake wanaeneza chuki kwa T B...
  12. S

    Hapa ndipo yanapofeli makanisa ya kiroho

    Well Mshara umetoa elimu nzuri sana kwa hawa viongozi wa makanisa. Jambo moja huwa natafakari msingi wa haya makanisa ni nini? Mi naona kuna shida ya kiroho ambazo zimetawala kuna unclean spirit zinatakontrol haya makanisa .Unakuta mwanzilishi wa kanisa alikuwa anahudumu kanisa flani...
  13. S

    Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Mambo ya Mungu ni ya kiroho , na Mungu ni roho ukitaka kumjua au kujiridhisha kama Mungu yupo au matendo yake ni kweli au la inabidi uwe mtu wa rohoni. We commincate with God through prayer and believe in his words . Science ni mambo ya kibinadamu (flesh). Mungu alituambia katika Yeremia 33:3...
  14. S

    Majini: Viumbe vyenye roho hatari na wivu uliopitiliza

    Sababu kubwa ndoa nyingi hazina amani familia zimesambaratika, wivu wa mapenzi matukio ya kinyama yanayofanyika kwenye familia...mwanaume kuwa na wanawake wengi , mwanamke kuwa na wanaume wengi kupoteza hamu ya tendo la ndoa kwa wanandoa au mapenzi kuisha kabisa kama ni mwanamke unakuta mume...
  15. S

    Tatizo kubwa la kiroho lisilopewa kipaumbele na jamii

    Haya yote ni kwa kuwa watu wamemuacha Mungu...., Tumeliacha neno , tumezifuata akili zetu, tamaa zetu wenyewe, Tumemruhusu shetani amechukua sehemu kubwa ya maisha yetu. Angalia familia za leo kasi ya maasi imeongezeka amani hamna upendo wa kweli umepotea watu wana machungu visasi uasi ukaidi...
  16. S

    Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

    Alipokuja aliacha kila kitu akaja kama mwanadamu wa kawaida akaishi kama mwanadamu tofauti ni jinsi gani mimba yake ilipatikana....aliishi kama mwanadamu wa kawaida ili basi tuamini ya kwamba anatoka katika kiti cha enzi na kupitia maisha tupate ukombozi na pia kutufundisha habari za ufalme wa...
  17. S

    Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

    Mungu ni roho asingeweza kuja kama roho duniani kubadilisha mfumo uliokuwepo wa utawala ilibidi auvae mwili hapa ndipo Yesu msingi wake ulipo. Yesu ni Mungu huyo huyo alikuja ili abadilishe mfumo ulikuwepo ambao shetani aliweka. Kumbuka hata shetani alipotupwa duniani alitafuta mwili ili...
  18. S

    Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

    Asante sana kwa elimu uliyotupa haya ni madini matupu nitashangaa bado kuna watu watayakataa ....Barikiwa sana.
Back
Top Bottom