Search results

  1. H

    Hati kwa mkopo

    Ndugu wana jamii,ni wapi naweza kupata mkopo kwa kuweka hati ya kiwanja changu kama security? Sina biashara yeyote na sija ajiriwa sehemu yeyote.Ila nina business idea ambayo nataka kuifanyia kazi kama nikifanikiwa kupata pesa. Natanguliza shukrani. Mwn jamii.
Back
Top Bottom