Search results

  1. ChipeTungi Jr

    Sijui huu ni mtego au...?

    Habari wakuu.. Katika harakati za hapa na pale nikakutana na huyu mrembo wa kitanga kabila mzigua. Tumekutana kwenye site ya ujenzi yeye ni chief cooker hapa na mimi ni electrician. She's so cute, mpole na mtu wa dini sana (Muslim). Kiukweli ukiachilia uzuri alionao nimevutiwa pia na maadili...
  2. ChipeTungi Jr

    Vijana na ushirikina

    Dunia rangirangire leo utaona hili kesho usikie lile. Shetani nae yupo kazini anaendeleza ubaharia wake mpaka nchi kavu. Ajabu sasa siku hizi hataki watumishi vikongwe anataka vijana wenye nguvu zao na ndio hao anaowatumia sasa kukwamisha vijana wenzao. S'kia hii. Miezi kadhaa nyuma braza...
  3. ChipeTungi Jr

    Kizungumkuti: Nipo njia panda, sijui hata nifanyeje

    Habari waungwana, nipo kwenye dilemma ndugu zangu, naombeni ushauri wenu please. Mwaka jana mwishoni nilianzisha mahusiano na binti fulani, tukatokea kupendana sana kiasi kwamba binti akawa ananiganda kila mahali, nilipo naye yupo. Nakumbuka kipindi hiko mama yangu mdogo alifungua biashara ya...
Back
Top Bottom