Search results

  1. Siri ya sifuri

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Mkuu hebu tuekane sawa kwanza,hivi hayo yanayoitwa mafanikio ya Esrael kutokana na shambulizi la Iran yamepatikana baada ya kulindwa vyema na washirika wake au kujilinda yenyewe!? Maana naona sifa kubwa mno inapewa mifumo ya ulinzi wa Israel wakati kazi kubwa zaidi imefanywa na mifumo ya ulinzi...
  2. Siri ya sifuri

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Mkuu naomba kukuuliza, kutokana na shambulizi la Iran, Israel imelindwa au imejilinda!?
  3. Siri ya sifuri

    General Salama atoa onyo

    Haijaanza hata kuchongwa mkuu,au ulishaona matangazo ya tenda!?
  4. Siri ya sifuri

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Mkuu kariakoo kuna viwanja!? Nijuavyo mimi unanunua jengo la zamani unavunja na kujenga jipya la kwako!
  5. Siri ya sifuri

    Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

    Ni sawa tu mkuu, "kijana"inamaanisha umri wa makamo si mtoto wala si mtu mzima,pia anawezakuwa msichana au mvulana. Na hapa tumetambua kuwa ni msichana kutokana jina lililotumiwa nila mwanamke.(Tracey)
  6. Siri ya sifuri

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Aisee!kazi kwelikweli. Afueni kuna kiruka ujumbe hadi mbele huko ambapo hujaona.
  7. Siri ya sifuri

    Ni kweli mtu akichezea kichapo cha kutosha ukimpa maji anaweza kufariki?

    Wataalam msituache bure hapa! Pia kuna mwizi alipatiwa kipigo,mkongoto wa nguvu na alipokuwa hoi bin taaban akanyweshwa Azam energy akawa anasubiriwa apate nguvu ili apigwe tena!.
  8. Siri ya sifuri

    Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    (Red see)ni marufuku kupita bahari nyekundu kama una mzigo wa Israel.
  9. Siri ya sifuri

    Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Wanacheza na akili za watu,wanapoteza muda ili kuipa Israel fursa zaidi yakutimiza malengo yao.
  10. Siri ya sifuri

    Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Ni wahuni tu, na hiyo bandari ni ubunifu kwa ajili yakuisaidia Israel kupokea silaha kutoka mataifa washirika pamoja na marekani yenyewe kwasababu Houth wameziba njia ya awali iliyozoeleka(red see)
  11. Siri ya sifuri

    HAMAS watoa onyo kwa Wapalestina kuhusu ulinzi wa misaada ya chakula

    Nimesoma nakuelewa vizuri sana ila sijajua unamaanisha nini hasa! Kwani Hamas sio wapalestina!?
  12. Siri ya sifuri

    Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

    Utu busara! Daktari aliekufa kwa ugonjwa unaosababishwa kwa kula vyakula ambavyo yeye mwenyewe anawashauri watu wengine wasile.
  13. Siri ya sifuri

    Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

    Madaktari wengi wanakunywa energy na korosho au karanga. Asieamini sitamlazimisha!.
  14. Siri ya sifuri

    Iran yaikamata meli ya Marekani yenye mafuta ya wizi ya $ 50 milioni

    Nyingine, hii imekamatwa nzima na Jeshi la Iran kwa amri ya mahakama.
Back
Top Bottom