Search results

  1. Its Pancho

    Naanza kuamini yale maneno kuwa Kocha wa Stars ni dalali na Meneja wa Wachezaji

    Wakuu Sasa tunapata picha kuwa amrouche ni dalali wa wachezaji na ana wachezaji wake maalumu. Kipindi cha mwanzo alimuacha Kevin John sababu ya nidhamu hilo tukaamini maana huyu hata kabla ya hapo zilishambaa tetesi za utovu wa nidhamu.. Achana na yeye kuwapokea CR Belouzad wakati wanakuja...
  2. Its Pancho

    Nawapinga wanaodai Manula kashuka kiwango..

    Wakuu. Kumeibuka mjadala mkubwa juu ya uwezo wa golikipa Aishi salum manula kuwa wapo wanaodai kiwango kimeshuka sana lakini naona yule bado sana. Ujue manula ni muhanga wa mazingira! Ndiyo . Alipata jeraha kubwa sana na akakaa muda mrefu nje . Kikawaida jeraha kubwa kama hilo mchezaji...
  3. Its Pancho

    Mzee Kikwete aliona mbali sana

    ... 📸 𝙏𝘽𝙏 2020 "Mmenifurahisha sana hii ndio Yanga yangu ninayoijua tangu zamani, Uwanja umejaa full. Kumbe mkiamua kutokuwa BARIDI mnaweza. Naamini msimu ujao mtatwaa Ubingwa ambao mmeukosa kwa misimu (4)." "Suala la Morrison achaneni nalo. Safari hii nyie mmeibiwa na naamini baada ya muda...
  4. Its Pancho

    Simba ni team au kikundi cha wastaafu?

    Wakuu naangalia marudio hapa ya mechi ya simba na prison. Naona hapa simba wamechomoa goli dakika hizi za lala salama Tukiendelea hivi chama atachomoa labda iwe mbili kwa mbili! Ila sasa huu utaratibu wa kupanga wazee kwenye team unatuumiza sana wakuu .. Hapa unakutana na mzee mwenzangu baba...
  5. Its Pancho

    Wakuu hii ndiyo Galaxy yenyewe wastaafu?

    Nimeshtuka..! Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni? Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu? Kwa kuwa simba mbovu na Hawa wastaafu waliokuja kutalii ndiyo mahututi basi ikaonekana wamecheza sana? Nimeumia sana kwa...
  6. Its Pancho

    Wanasimba teka letu la magoli tumepigwa

    Wanasimba wenzangu Nikiwa kama shabiki wa simba kindaki ndaki naumia sana kuona viongozi wetu wakitupiga namna hii.. Haiwezekani watuletee teka bovu kama huyu Fred..! Hivi si hata pale mtibwa hapati namba huyu? Mtu mzito kakamaa kama bao la kwanza kitandani jamani hamuoni? Sasa huyu teka...
  7. Its Pancho

    Ukweli juu ya freshley mwamburi wimbo wa stella ..

    Wakuu Kitambo Fulani pale Kenya ulihit sana wimbo kwa jina la Stella .. Wimbo huo ulioimbwa na mtu aitwaye freshley mwamburi ni kisa cha msichana aliyeitwa Stella , ambaye alipelekwa japan na bwana mwamburi kusoma udaktari mpaka alipomaliza masomo yake Ili kurejea nyumbani Kenya na shida...
  8. Its Pancho

    Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wakufugwa..

    Wakuu Tumekuwa tukifuga sana wanyama majumbani mwetu kwa miaka mingi hasa jamii za kiafrika. Ingawaje tumekuwa tukiwatendea unyama uhuni wanyama tuwafugao. Hapa nitaeleza kwa ufupi niliyoyajua na kuyaona kwa wanyama wa nyumbani hasa wafugwao na tabia zao ambazo ni very rare kuziona ..! PUNDA...
  9. Its Pancho

    Simba tunarudia makosa tena yale yale. Tatizo liko hapa

    Wazee Wanasimba wenzangu mimi nikiwa mwanachama halali wa simba naumia sana .. Misimu mitatu au minne nyuma tumekuwa tukileta wachezaji wa hovyo sana. Kisha tukiwatena kwa kuwasingizia kesi mbalimbali. Angalau basi hata hao wachezaji wawe wamoto sana ila ndiyo vile ndugu mangungu amekuwa ni...
  10. Its Pancho

    Kumbe kwenye misiba kuna uzinzi namna hii?

    Nisiongee sana Inabidi tuwe makini kwenye hii misiba yetu hasa usiku, tukae karibu na wafiwa.
  11. Its Pancho

    Gamondi tayari ameingia kwenye mfumo wa mashabiki

    Miguel Gamondi ni kocha mzuri sana Ana falsafa zake na mbinu zake, Majuzi mashabiki sisi na wadau hata wachambuzi wakalilia sana rotation, kwamba kwanini kila mechi acheze pacome? Aziz ki? Why? Binafsi sikuwahi kusema kitu nilinyamaza tu , sababu nilijua wazi kocha huko mazoezini anaona...
  12. Its Pancho

    Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

    Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka. Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana...
  13. Its Pancho

    Mtanzania na unafki ni sawa na tumbo na msosi..

    Wakuu Kwa watu wa mataifa mbalimbali wana sifa zao kila taifa.. Mathalani ukienda India aslimia kubwa ni uchafu, Ukienda China wao wanakula kila kitu kinachotembea ardhini na kupaa. Ukienda Jamaica wao wanasifika kwa matumizi makubwa ya mmea (bangi). Hivyo hivyo inakwenda kwa wabongo ambao...
  14. Its Pancho

    Yondani anazidi kuzeeka lakini bado ana usela mavi

    Umofia kwenu. Wakuu majuzi ilikuwa birthday ya yondani kama sikosei. Jamaa ni moja ya ma legend katika ligi yetu na bongo kiujumla. Hivyo u_legend wake ilitakiwa iwe mfano mzuri kwa wadogo zake kina mzize lakini bwana mkubwa bado ana usela wa kizamani. Achana na matukio yake mengi kama vile...
  15. Its Pancho

    Mtu akiwa anakudai ni sawa kukuposti mitandaoni kukuita tapeli?

    Wakuu. Mimi siijui sana sheria kwani sio.taaluma yangu kabisa. Well Hapa ninapoishi kuna jirani yangu huyu mama mtu wa miaka Kati ya 30's . Huyu dada ni mtu wa mikopo sana sijui kausha damu mara vicoba sijui whatever anajua vyote. Mara kadhaa amekuwa akija kujificha kwangu asubuhi sana watu...
  16. Its Pancho

    Yanga impe Bacca mkataba wa muda mrefu

    Wakuu Naskia sana kuwa team yetu hii ina project yake ya kujenga team ya vijana ya baadaye. Well ni jambo zuri lakini sioni hawa vijana wetu wakipewa mkataba wa muda mrefu. Mfano huyu dogo bacca kwanini asipewe mkataba hata wa miaka 5? Uwezo wake ni mkubwa mno na kila mtu anaujua, tukizubaa...
  17. Its Pancho

    Simba acheni uhuni mlipeni Phiri pesa yake

    Wakuu Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba. Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.! Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai...
  18. Its Pancho

    Wakazi amlipua Diamond vikali

    Kupitia account zake msanii wakazi amemlipua vikali msanii boss wa wasafi diamond.. NASIBU USIPOTOSHE WATU, KWA KUPINDISHA UKWELI NA KUONGEA UNAFIKI. Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako sio sahihi kuhusu soko la muziki la nje, na nashangaa wewe kujidai unahubiri unity na kutokatishana...
  19. Its Pancho

    Tukubali amapiano tayari imetuzidi ujanja

    Wakuu Tangu muziki huu ulipoanza kusikika nchini kutokea huko south Africa. Sasa imekuwa fashion kila wimbo unaotoka basi jua ni amapiano tu na tumezoea imekuwa kawaida kabisa.! Mpaka wazee nao wanaruka amapiano.! Unabisha? Nenda mpaka kwenye sherehe wanapiga na wazee wanaruka tu...
  20. Its Pancho

    Naihurumia sana Simba kwa msimu mbaya itakaoupata

    wakuu Hii team naionea huruma sana kwa yanayoenda kuipata msimu huu. Usajiri wao ni mbovu asilimia mia walipopatia angalau ni kwa yule winga kramo . Kituko zaidi ni huyu kipa muuza matango kule kwao Brazil, hivi mpo serious kweli viongozi kutuletea huyu mtu? Mbona musonda atakuwa anaondoka...
Back
Top Bottom