Search results

  1. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Umekuwa mgeni na asenali tena?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.... Endelea kuamini ikuaminishe maumivu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hii n timu ya kufurahia matukio mengi yasihusisha kubeba ndoo๐Ÿ˜‚ Yaan suala la kombe piga chini aiseee labda itokee tu kama muujiza au siti ipokonywe kombe na fifa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... Enewei n maamuz yako ila kwa ratiba ilivyo...
  2. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi wodi klass mnaichukuliaje aiseee, wedi klasi ni wakina kroos,kdb,salah,kane,....binafsi natambua wediklasi kama ubora dhahiri katka kuleta matokeo yenye tija pasipo kushindwa kuwa na udumifu Pale asenali labda odegaard tu japo nae kuna kipindi alipoteana na arteta akawa anampumzisha,saka...
  3. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Maoni binafsi hayo lakini uhalisia ndio huu...
  4. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna asenali ya jukwaani ya wazee w mapenzi upofu na asenali ya kule wingereza yenye kina kai๐Ÿ˜‚... ANGALIZO Moja ni matokeo yake unaambiwa kabla ya mechi pili matokeo yake baada ya mechiiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aloooo usizichanganye utapata kifukutoooo...... Poleni asenali lia lia,arteta kajitahidi ila...
  5. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Oya pep ndio lisupakompyuta lenyewe
  6. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii ndio asenali sasa haina vitu vipya sana kama unatarajia asenali kubeba kombe na ukasahau asili ya timu n kujilisha upepo tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..... Hii ndio kwaheri ya kuonana ikitokea siti ajichanganye basi n kwa uchacheeee sanaaaaaa kiufupi asenali ndio msimu umeisha
  7. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kimsingi arteta anakua na kuendelea kukua jana amejifunza kitu kuwa hkule yuefani kosa moja unanyolewa mara hio hio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..... Mechi ijayo atajifunza zaidi kwa kuwa yupo tayari kujifunza,yuefan hapa hitaji mbwembwe za ajabu pasipo goli
  8. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bora uone na uhukumu mwenyewe ukisubiria hukumu za kimahaba kutoka emirate utahadaiwa
  9. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tatizo tunamkuza sana kabla ya kufikia kiwango ,kiwior n uchochoro yule namna yake ya kukaba ni hatar sana anapenda mamikono na ile miguu yake illivyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.... Humu kuna baadhi ya mashabiki akikuelezea wachezaj wa asenal wanawakuza kama vile malaika kumbe n wanadamu wenye morali tu
  10. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Alichokifanya saka anadhihirisha kuwa yeye bado anaumachachari tu na sio mahiri,afikishiwe ujumbe kuwa yuefa sio ligi kuu ya kujisahau sahau,ila hizi mechi mbili ya madrid na bayern bado mbichi. Kwasasa wenye nafasi ya kuendelea mbele kulingana na rekodi n bayern na siti tu,madrid na asenali...
  11. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hat Sijajua arteta kama amewaza vp ila mechi ya j5 sio ligi n ligi ya mabingwa....
  12. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kaka umekuwa mbele ya muda kuona madhara aiseee kipara akiwa juu tu ni kosa hilo,jamaaa utamfukuzaaaa mpaka anavaa medali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚....kwa vita ya pale juu mtu hatari ni siti kwakuwa anaweza kupambana na adui mpaka dk za mwishoni. Liva hatari yake inaletwa na upepo alionao sasa hivi.... Mechi ya...
  13. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nafikiri ramsdale ukimhitaji aanzishe mashambulizi kadiri ya falsafa ya arteta mara nyingi lazima akuuze tu,ramsadale ni mzuri wa kubutuaaa mbele kama alivyocheza kipindi cha pili,mipira mingi amebutua tu na akaendeleza kuokokoa michomo
  14. zege la nyasi

    Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

    Kwahiyo nn kifanyike dada donatila?
  15. zege la nyasi

    Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    K Kaka naamini ni mmoja ya watu unaelewa vizuri sana mambo ya karma na jinsi inavyofanya kazi. ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.... Naam sababu ya kutokea jambo ni huyo aliyeruhusu na kadhalika kutotokea ni huyo pia. Binadamu hukumu zetu zinaongozwa sana na nyakati zilizopita ila Mungu nafikiri anahukumu kwa wakati...
  16. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kiwior akiiacha kupenda kutumia mikono kwenye kukaba atakuwa bora zaid,amuulize gabriel amewezaje kuacha kutumia mikono sana (yawezekana ukabaji wa saliba ulimfunza gabriel na sasa ameimarika vizuri tofauti na awali) Kiwior akienda kumkaba mtu lazima aanzie na mamikono๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuna sauti inaniambia...
  17. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unataka kutuaminisha nini kaka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, Binafsi sipendi itokee ila arteta na michuano ya ulaya ni mafuta na maji....bado inamsumbua sana. Jana kazidiwa na hizi wiki mbili kabla marudio asipo kuwa kajifunza kitu matokeo atakayopata hayatavuka hapa 1-0,1-1,2-1....
  18. zege la nyasi

    Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Idara ya nishati katika ukamilifu wake kwanza....... 1.Waziri wa Nishati 2.Tanesco
  19. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyo akili zake anazijua mwenyewe,anaweza kumuumiza saka au huyo aliyemtaja kwa lengo la kuiharibu timu. Asenali ya sasa kuna wachezaji wakipata majeraha ya muda mrefu shughuli ya kupambania walau kombe lolote inakufa rasmi au asenali inakikosi kipana?
Back
Top Bottom