Search results

  1. kindoki

    Lubengela village, Kigoma. Kijiji pekee chenye wanawake weupe na wazuri kwa muonekano

    Mbona ujaongelea kitu kinaitwa SENKSA,yule mamba kaandikwa mgongoni bado wewe, visale, kivunde n k
  2. kindoki

    Mashine nzuri ya kukoboa na kusaga nafaka

    Wakuu, iv iz mashine zinapatikana wapi? Bei zake?
  3. kindoki

    Mashine nzuri ya kukoboa na kusaga nafaka

    Wanachonga wapi? Bei?
  4. kindoki

    Mashine nzuri ya kukoboa na kusaga nafaka

    Wadau, mwenye kujua bei na brand za mashine nzuri za nafaka kusaga na kukoboa anisaidie
  5. kindoki

    Natafuta kontena fupi

    Wadau, natafuta kontena lile futi 20 ambalo ni fupi
  6. kindoki

    Natafuta Old Model Noah SR40 & Starlet

    Wadau, natafuta iyo gari, iwe Mwanza au Arusha, DSM, popote pale nitaifata, ofa yangu itategemea na quality ya gari
  7. kindoki

    Fani ipi ina soko kati ya Excavator na Greda

    Sawa nimekuelewa japo unanivunja moyo lakin nitapambania kombe mpaka mwisho
  8. kindoki

    Fani ipi ina soko kati ya Excavator na Greda

    Kijitonyama dsm, ada 840,000
  9. kindoki

    Fani ipi ina soko kati ya Excavator na Greda

    Wadau, Nimeomba nafasi ya kusoma katika chuo cha ku-operate mitambo mikubwa pale kijitonyama dsm na nimepata nafasi, mtihani unakuja ktk soko la izo fani baada ya kumaliza kozi yangu ya miezi miwili na ada yake bado sijalipa lakini naomba ushauri nisomee EXCAVATOR au GREDA? Nakaribisha ushauri...
  10. kindoki

    Natafuta mafriji ya mtumba Dar es Salaam

    Wadau, natafuta friji au friza la mtumba kwa hapa DSM
  11. kindoki

    Nikisoma chuo cha usafirishaji (N.I.T) nitapata kazi wapi?

    Wadau, mwenye uelewa kuhusu utamu wa elimu ya usafirishaji nitatusua kweli kwenye maisha ya asaiv au ni chenga chenga nisipoteze muda wangu.
  12. kindoki

    Fani ya ku-operate mitambo mikubwa inalipa?

    Ivi kwa nyakati izi mitambo ipi ndio inaweza kunipa dili nzur, nataka nichague mitambo ambayo marketable
  13. kindoki

    Fani ya ku-operate mitambo mikubwa inalipa?

    Mitambo ipi ina market nikaisomee
  14. kindoki

    Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

    Kama heading inavyojieleza JUU apo, nina kiasi cha milioni twenty lakin naitaji ushauri kuhusu fursa ya kufanyia, nakaribisha mawazo ya kibiashara zaidi
  15. kindoki

    Fani ya ku-operate mitambo mikubwa inalipa?

    Wadau, Ivi fani ya ku operate mitambo mikubwa kama bulldozer, grader, forklift, na mingine HEAVY EQUIPMENT inalipa vizuri? Chuo chao kipo wapi, mwenye kujua utamu wa fani hii anisaidie tafadhali wakuu.
  16. kindoki

    Kubadilisha umiliki(ownership) wa gari TRA

    Nichek nikusaidie gestapo1819@gmail.com
Back
Top Bottom