Search results

  1. Goodluck Mshana

    Kituo cha Mafuta cha TOTAL Mlimani City na unyanyasaji/udhalilishaji kwa wananchi

    Habari kwenu Wadau! Kituo cha Mafuta cha Total ambacho kipo eneo la Mlimani City imekuwa na utaratibu wa hovyo wa kuwanyanyasa Watembea kwa Miguu kwa muda mrefu! Utaratibu huo umeanza tangu kipindi cha sherehe za Christmas mpaka leo hii! Ukiwa unatembea kwa Miguu, unaendesha baiskeli au ukiwa...
  2. Goodluck Mshana

    Kitabu cha English Language 1 kwa vidato 5 & 6 (HKL/HGL)

    Habarini wadau katika Elimu! Naomba kuwasilisha kwenu kitabu kipya cha English Language 1 kwa vijana wetu wa Kidato cha tano na sita hasa kwa wenye michepuo ya sanaa (HKL na HGL). Ni kitabu kipya kilichotungwa na mtunzi na mbobezi wa muda mrefu wa somo hilo la Kiingereza! Kitabu hiki...
  3. Goodluck Mshana

    Publisher wa Vitabu (Digital Printers) Anahitajika

    Wadau natafuta mtaalamu wa ‘type setting’ na ‘cover designer’ wa vitabu. Kama wewe ni mbobezi na unao uzoefu wa kutosha tafadhali tuwasiliane. Unaweza nitumia ujumbe PM au kwa namba yangu 0717935721.
  4. Goodluck Mshana

    Kuomba msaada wa kuchangiwa kupata chombo cha usafiri (bajaji)

    *KUOMBA MSAADA WA KUCHANGIWA KUPATA CHOMBO CHA USAFIRI (BAJAJI)* Habari zenu Ndugu, Jamaa na Marafiki [emoji120] Naitwa *David Marsha*, Mtanzania mwenye changamoto ya ulemavu wa miguu. *HISTORIA YA TATIZO* [emoji259] Ndugu/Marafiki zangu sikuzaliwa na hii changamoto bali niliipata ukubwani...
  5. Goodluck Mshana

    Natafuta Coaster ya Kukodi. Moro, Tanga, Mombasa to Nairobi

    Kama kichwa kinavyojieleza Nahitaji Gari aina ya Coster iliyo kwenye ubora na viwango vyote vya kubeba Familia. Safari itaanzia Morogoro, Tanga, Mombasa na Nairobi. Idadi ya abiria haizidi 12. Mwenye connection au mmiliki naomba tuwasiliane kujadili gharama na bajeti nzima kwa 0717935721...
  6. Goodluck Mshana

    NHIF ufanisi wenu unatia mashaka na huenda kugharimu maisha ya watu

    Salamu kwenu wana JF, Nimeona nikisemee hili humu JF kwani nina imani wahusika wa NHIF baadhi ni members humu. NHIF mmekuwa na utaratibu wa ajabu sana na kero kwa wateja wenu pale ambapo mteja anakosa huduma kwa kutokuwa na kitu kinachoitwa ' Verification Number '. Hii ni namba ambayo hutolewa...
  7. Goodluck Mshana

    Gari Toyota Noah inauzwa, milango ya mazungumzo ipo wazi

    Wadau Heshima kwenu Kama tangazo linavyojieleza, Gari aina ya Noah yenye Number za Usajili T 702 CDR linauzwa kwa thamani ya Tsh Million Tisa (9,000,000). Gari lipo kweny hali nzuri sana na dirisha la maongezi (negotiations) lipo wazi. Kwa Mawasiliano tafadhali 0717935721 inahusika kunipata...
  8. Goodluck Mshana

    MALEZI: Nilichokiona kwenye gari la shule la watoto wetu

    Wazazi wenzangu hili linawahusu sana. Naomba kila mmoja mwenye mtoto anayesoma azingatie na kulitilia uzito kwa kufanya ufwatiliaji wa kina. Iko hivi, jana wakati natoka kutekeleza majukumu yangu, nikiwa barabarani nilipishana na gari la shule. Jina la shule na namba ya gari navihifadhi...
  9. Goodluck Mshana

    Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

    Nimepata taarifa hii ya mauaji ya kinyama ambayo imekuwa ikizunguka kwenye makundi ya WhatsApp.... Anathe Msuya mdogo wa Erasto Msuya bilionea wa Arusha aliyeuawa, amechinjwa usiku kuamkia leo nyumbani kwake eneo la Kibada block 16. Katika tukio lenye mazingira ya ujambazi lakini hakuna...
  10. Goodluck Mshana

    Milio ya Risasi Yasikika Nje ya White House USA

    Kwa taarifa za ghafla zilizo ufikia ulimwengu ni kwamba kuna milio ya Risasi nje ya Ikulu ya Marekani. Walinzi wa Ikulu wameeleza kushtukizwa na tukio hilo na FBI na CIA wapo kazini. Nitawajuza kadri nitavyopata taarifa. Updates ...................................................... Police...
  11. Goodluck Mshana

    Ni chuo gani nchini kinatoa Course ya Project Planning and Management

    Wana taaluma nawasalimu Naomba kwa anayefahamu chuo kikuu cha hapa nyumbani Tanzania kinachotoa shahada (degree) au shahada ya uzamili (masters) anisaide kunipa taarifa. Katika vyuo utavyopendekeza naomba usikiweke UDSM. Nimesoma hapo kwa takribani miaka 7. I need a different test of...
  12. Goodluck Mshana

    Yako Wapi Majina ya Watumishi Hewa?!

    Habari zenu wana JF Binafsi napongeza hatua ya utumbuaji inayofanywa na Serikali ya Rais JPM. Niweke wazi kuwa namuunga mkono na nashangazwa sana na wale wanaobeza zoezi hili. Japo naheshimu mawazo yao lakini kwakweli nchi yetu ilipokuwa imefika ni dhahiri kwamba JPM anapaswa ku triple his...
  13. Goodluck Mshana

    Tujadili Uhalali wa Tozo Daraja la Kigamboni

    USHURU DARAJA LA KIGAMBONI Hongera kwa waliofanikisha mradi wa daraja la Kigamboni. Iwe ni serikali ama NSSF. Juhudi zote hizo lengo ni kumsaidia mtanzania. Kumpunguzia adha na bugdha mkazi wa Kigamboni. Kumhakikishia mwananchi usalama wa maisha yake haswa ukilinganisha na ule mchezo wa feri...
  14. Goodluck Mshana

    Kuijadili CCM na matokeo ya Urais Zanzibar ni kuvunja katiba ya nchi

    Kuendelea kuijadili CCM na matokeo yaliyompa Dr. Shein kuwa Raisi wa Zanzibar ni kuvunja katiba ya nchi. CCM walishakiuka misingi ya katiba ya nchi hii kwa kitendo kilichofanywa na Jecha. CCM walikibariki na hivyo uchaguzi ukarudiwa hiyo jana na kumtawaza mgombea wao mshindi. CUF na UKAWA...
  15. Goodluck Mshana

    Uhayawani wa CCM na suala la Umeya Dar

    Hebu ifike pahala CCM muwe watu wazima na kuacha Siasa za kijinga na za kitoto. Ni dhahiri kwa idadi ya madiwani wa UKAWA lazima watatengeneza Meya wa Jiji la Dar es Salaam. Michezo mnayoifanya mnasababisha watu wengine wadhalilishwe na kutiwa aibu mbele ya jamii na familia zao. Ninamuona Mama...
  16. Goodluck Mshana

    Tuition kwa Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 -2016

    Wazazi, Walezi na Wanafunzi Kwanza hongera kwa kuchaguliwa Kujiunga Kidato cha cha 5 kwa mwaka huu mpya wa maisha yenu. Aidha hongera za dhati kwa wazazi na walezi kwa kujinyima na kuamua kuwekeza kwa watoto. Elimu. Tunatambua investment ya wazazi na hivyo tumejipanga kumhakikishia mzazi na...
  17. Goodluck Mshana

    Fundi wa Kioo cha Simu Sony Xperia Z Ultra

    Wadau nawasalimu Kwa mwenye kumjua Fundi wa simu makini na mwaminifu anipe mawasiliano yake. Simu yangu aina ya Sony Xperia Z Ultra imepasuka kioo. Kama kuna mwenye ufahamu naomba anijibu kwa namba 0717935721. Napatikana Dar es Salaam hivyo natarajia Fundi atapatikana ndani ya Jiji hilihili...
  18. Goodluck Mshana

    Nahitaji nyumba ya kupanga Zanzibar

    Kwa mwenye connection ama kuweza kunisaidia kupata nyumba ya kupanga Zanzibar naomba tuwasiliane. Nitahitaji nyumba hiyo kwa siku 44 kuanzia leo. Nipo safarini kwenda Zanzibar hivyo mwenye idea tuwasiliane kwa 0717935721. Nyumba iwe na kila kitu ndani Kama vitanda, TV, umeme, na iwe secured...
  19. Goodluck Mshana

    Yako wapi Mabasi ya Mwendokasi?

    Tukisema hatumpi Magufuli kura mnang'aka. Mnakuwa wakali huku kutwa kucha mnakuja na propaganda mpya na chafu... Nisiingie huko. Naomba wale vindakindaki na mgombea wao wawajibu Watanzania. Tena Leo hii wala isingoje kesho. Kwanini mmezidi kuwa na ahadi hewa za kuwahadaa wananchi?! Mabasi ya...
  20. Goodluck Mshana

    Mliojiandikisha BVR UDSM, Mnahakiki wapi taarifa zenu?!

    Kwa wale ambao mlipata fursa ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kwa njia ya BVR pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ni wapi mnahakiki taarifa zenu?! Hasa kwa wale walijiandikisha kwenye vituo vya Cafeteria, Nkuruma na Mlimani Primary. Nauliza maana kituo changu kilikuwa...
Back
Top Bottom