Search results

  1. KANYAMA

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Jibu; 1. Ulimuuliza nani 2. Kwenye kikao gani 3. Wewe kama nani katika kikao hicho 4. Hao wadau ni akina nani hapo UFIPA 5. Ulikuwa umewekewamo au K2 cha Chuga pale kimandolu.. Bure kabisa
  2. KANYAMA

    Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

    Nakula kidogo sana. Ubwabwa ni kiduchu kabisa. And you don't feel Hungry hovyo hovyo. Sukari inakufanya ujisikie njaa kila mara.
  3. KANYAMA

    Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

    Ninakunywa majani fulani ya kichina bila sukari. Yaani unajua sukari iko addictive kama cocaine. Ukiacha kutumia unasahahu kama ulikuwa unatia sukari kwenye chai. Yaani sukari ni shetani mbaya ktk afya za watu wengi sana. Yaani presha, kisukari, magonjwa ya moyo sijui chanzo hasa kikubwa ni...
  4. KANYAMA

    Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

    Yeah mwanzoni utapata craving kiasi na kama kupungukiwa nguvu hivi unakuwa kama unalegea kama siku mbili hivi. Ila matokeo ni ya ajabu hasa
  5. KANYAMA

    Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

    Nina miezi 6 leo bila kutumia sukari. Nafanya steps aerobics nyumbani aisee hata enzi za ujana sikuwa hivi. Sitii sukari kwenye chai, sinywi tena soda, keki wala ice cream. Wala asali. Nimepunguza ubwabwa na ugali. Nakamata mdudu na nyama choma nasindikiza na wine glass moja. Makunyanzi ya uso...
  6. KANYAMA

    Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

    Nenda tandale uzuri na fisi ukaone mitaa ilivyo kwa sasa
  7. KANYAMA

    Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

    Nyuzi ya kushonewa na kuozea ndani baada ya operation hutengenezwa na misuli ya Tendons na ile ya shingoni mwa mdudu. Huwa najiuliza which is which? Ufanyiwe operation ushonwe na nyuzi za mnyama au ufe
  8. KANYAMA

    Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    Tupia kaushahidi mkuu. Vingi utakuwa mbobevu wa kuniniwa. Mbadff kabisa
  9. KANYAMA

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Achana nao kaka mioyo ilishapanuka kitambo hao
  10. KANYAMA

    Waziri wa Elimu: Shule zinazoongoza kwa ufaulu za binafsi haziruhusu mikutano ya wazazi

    Uvivu na umwinyi ndio umezalisha huu ujinga tunaouona wa watoto. Enzi zetu za viboko, kutembea kilometa 10 hadi 20 kwenda shule huku unakanyaga umande, unapishana na fisi na hakuna cha breakfast tulikuwa tunafaulu vizuri ila nafasi zilikuwa chache za kuendelea na masomo. Sasa unataka kuleta...
  11. KANYAMA

    Serikali tunataka majibu juu ya uwepo wa mgodi wa siri katikati ya msitu huko Kitunda

    Fake nyuuz kaka. Nyumbu wa kukurupushwa hawa. Hawawezi hata kuuliza watu wengine. Wachimbaji huwa wana kasumba mbaya wakati mwingine ya kuanzisha uongo kutumia watu kama mleta mada kisa na mkasa wamedhulumiana laki tano. Haiwezekani nchi hii uanzishe mgodi tena magari yapite kila siku bila...
  12. KANYAMA

    Rais Samia: Hatutazuia Maandamano na Mikutano ya Hadhara

    Wanakufa huku wanakenua kama MAZUZU. nyumbu ni shidaaa
  13. KANYAMA

    Mwigulu Nchemba: Mnasema maisha magumu? Magari namba E yamejaa Barabarani, na Benki kuna foleni

    Watakuchosha nyumbu hawa wakikaririshwa na TL huwavandui. Waambie wazurure vijijini na kwenye "senta" za vijijini wataona mabadiliko makubwa sana. Ugumu wa maisha ni wewe mwenyewe. Umeshindwa kuendesha Boda, Guta, kufuga kuku, kulima bustani, kuwa machinga, huwezi hata kufanya udalali wa...
  14. KANYAMA

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    🤣🤣🤣 hivi msibani kwa Lowasa mdudu alikuwepo
  15. KANYAMA

    Nashauri Naibu Waziri Mkuu atenguliwe na nafasi hiyo ifutwe kwa maslahi ya Taifa

    Mleta hoja unaonekana uliandika ukiwa umesimikiwa kitu background. Ghubu na roho mbaya zimekukaba kama dumuzi wa kitambaa cheupe. Aliyemteua aliona tija ndani ya kiongozi huyu. Na ameweza kufanya mambo makubwa kutoka wizara aliyofanyia kabla ya uteuzi wake wa naibu waziri mkuu. Kwa jinsi ulivyo...
Back
Top Bottom