Search results

  1. William mushi

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    See unachongea unajua formula yakutoboa ww? Au ni kutoshirikisha akili watu kama nyinyi mkishakuwa na uwakika Wa kula na kulipia kodi huwa amuwazi mbali, U have to think before commenting your idea hujalazimishwa kutoa point.
  2. William mushi

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Ujielewi ww tatizo wabongo kufkiria nakujiongeza its complicated, nazan u don't have chakufanya ndo maana unacomment utumbo
  3. William mushi

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Aisee kama huna point unakaa kimya ujalazimishwa sawa
  4. William mushi

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Habari wanajamvi, Ununuzi wa viatu vzuri vya biashara na nguo nasikia ni Uganda na Kenya. Je, ni kweli? Naomba anayefahamu anipe mwongozo. Asanteni.
  5. William mushi

    Sehemu au gulio la mitumba Uganda lipo maeneo gani?

    Hello sehemu au gulio la mitumba Uganda ipo maeneo gan na bei zikoje balo la viatu na nguo first grade
  6. William mushi

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Habari wanajamii , watalamu Wa ufugaji Wa samaki naombeni mwongozo kwenye swala zima la samaki kufuga kwakuzingatia mabwawa na vifaa muhimu vyakuwa navyo maana nataka nianzishe huo mradi na kwa tathmini ya haraka mtaji kwa mtu Wa chini kabixa nanza na sh ngap?
  7. William mushi

    Vipindi ya redioni vinapataje faida?

    OK sawa, so mimi kama kijana mtafutaji naweza andaa kipind chenye maudhui na mikakati, then nikaenda kwa media owner labda redio flani nikaonyesha wazo langu then nikaomba airtime ambapo hapo cina fedha za kuanzia. Je, media kama media zinapokea kitu kama hicho?
  8. William mushi

    Vipindi ya redioni vinapataje faida?

    Ni namna gani vipindi mbalimbali vya redioni vinaingiza faida? SAME TIME mm c mtangazaji lkn naimani naandaa kipindi cha redio ambacho namatarajio kitakuwa na fanc weng na nafkria nkishaandaa mpango mkakati wakipind hicho niende midea mpya au zazamani zinazojulikana niweke my approach kwao, na...
  9. William mushi

    Unaweza kupata Advanced kama una D flat ya PCM?

    Naomba kuuliza, D flat ya PCM ya mwaka 2011 Form 4 anaweza kupata Advanced ya kulipia? Alipata C 2 tu; ya Math na English, zote D.
Back
Top Bottom