Search results

  1. John Nash Jr

    Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake

    Hata mimi mkuu. Naona mleta mada ametumia lugha ya fasihi zaidi.
  2. John Nash Jr

    Tanzania bado hatujapata Rais Mzalendo na Intellectual

    Mkuu mbona umelipuka kwa mzuka. Changia hoja kwanza. Mimi bado nafikiri cha kuchangia
  3. John Nash Jr

    Baada ya kampuni kuuza hisa na chama kutokua na pesa wamemshauri arudi nyumbani

    Mbona unatoa taarifa nusu nusu mkuu, kampuni ipi unaongelea na imeuzwa lini? Hebu weka taarifa zote hapa ili tupate cha kuongea na wengine
  4. John Nash Jr

    Suala la waganga na wachawi kuongelea Urais mimi sishangai

    Sioni cha kuchangia kwenye mjadala huu . Zaidi ya kumkaribisha Lema (MB) aje atiririke hapa.
  5. John Nash Jr

    Niliyosema na yaliyotokea Miezi 24 baada ya Majadiliano ya Tanzania na Kampuni ya Barrick,

    Mkuu tiririka na wewe. Zungumza kwa hoja, weka tofauti zako za kimtazamo ili tujenge. Nasubiri hoja zako. Mimi ni msomaji tu bado nachakata nikipata hoja au wazo tofauti nitashirikisha hapa.
  6. John Nash Jr

    Je, ni kweli Ugali wa Dona ni bora kuliko wa Sembe?

    Hoja yako bado haina mashiko mkuu, maana mleta uzi amejaribu kuchambua tena kwa kina na hajatoa mapendekezo watu wale nini ila alichosema kuwa ni vema kula dona ya mahindi yaliyotoka moja kwa moja kutoka shambani ambayo hayajahifadhiwa kwa muda mrefu na kupuliziwa madawa. Sasa hapo uongo wake...
  7. John Nash Jr

    Kwanini tunakufa?

    Kwanza tuanze na tafsiri yenyewe ya kifo. Kifo hutokea pale uhai unapotoweka, uhai ni nadharia ngumu kuielezea. UHAI ni nini? Formation ya UHAI ikoje? Maana mtoto anaanza kuwa hai anapoanza kujengeka tumboni. Sasa huo uhai unatoka wapi? Na kwa kuwa binadamu tunapokosa majibu ya maswali yetu au...
  8. John Nash Jr

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Asalaam mkuu, Mimi ni muumini mkubwa wa mafundisho yako, hasa kutokana na elimu uliyojaliwa ya kupambanua maarifa mbalimbali juu ya meditation, nyota n.k Niende moja kwa moja kwenye swali. Mimi nna majina mawili, jina la utotoni na jina la shule. Moja linaanziwa na G na lingine linaanziwa na M...
  9. John Nash Jr

    Mjue the Hungarian Lady Vampire au Blood Countess

    Asante sana mkuu kwa jibu lako lenye maelezo yaliyojitosheleza.
  10. John Nash Jr

    Wafahamu Dismas na Gestas, wahalifu waliosulubiwa pamoja na Yesu pale Msalabani

    Upo sahihi mkuu, hata ukiangalia in fact Biblia za walokole zina vitabu pungufu ya Biblia za Cathoric church, hapa utagundua kuwa hivyo vitabu ni kwa nini havijawekwa na havisomwi na mjadala wake ni mzito. Mimi ninavyo fahamu kuna maandiko na SCROLLS nyingi tu ambazo ziliandikwa zama zile...
  11. John Nash Jr

    Wafahamu Dismas na Gestas, wahalifu waliosulubiwa pamoja na Yesu pale Msalabani

    Upo sahihi mkuu ila nina maana ya Historical events, mimi sio mwana theolojia ila nafahamu kuwa Biblia imejigawa katika sehemu kuu kadhaa, Kuna sehemu ya HISTORIA, kuna sehemu ya UNABII huenda n.k, mimi sijikiti kwenye UNABII maana huwezi ongeza jambo lolote maana maneno ya UNABII yanaishi na...
  12. John Nash Jr

    Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

    Wengi wa hawa watu wana Antisocial Personality Disorder, kuwatambua watu hawa ni rahisi; Kwanza hujithamini yeye tu na si binadamu mwingine, yupo tayari kuuwa na hana majuto ndani yake. Anaweza kukuchekea kwa lengo la kukuvuta karibu, ukidhani kuwa ni mwema kwako na baadaye anakufanyia tukio...
  13. John Nash Jr

    Wafahamu Dismas na Gestas, wahalifu waliosulubiwa pamoja na Yesu pale Msalabani

    Upo sahihi mkuu ila unaposema maandishi yanapoishia na wewe ndio unaishia, huoni kama unakuwa limited sana maana wana theolojia wanatujuza mengi zaidi ya maandiko pekee ya biblia, kuna vitabu ambavyo havipo katika biblia lakini vinaelezea matukio ya biblia katika upande na angle tofauti. Biblia...
  14. John Nash Jr

    Mjue the Hungarian Lady Vampire au Blood Countess

    Uzi huu unanikumbusha mbali hasa naposikia neno Cannibalism, in fact 90% ya viumbe wa baharini na kwenye maji kiujumla ndio wana hii tabia ya Cannibalism , yaani tabia ya kuweza kula kipande cha mwili au mwili wote wa kiumbe mwenzako wa aina yako. Kwa binadamu, inadhaniwa kuwa wachawi ndio wana...
  15. John Nash Jr

    Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

    Sasa unashauri nini mkuu, tumsubiri huyu mpinga kristu na sisi tumpinge au tujifiche?
  16. John Nash Jr

    Vatican inamiliki dunia

    Huu upuuzi utaisha lini humu jamvini? Tunataka proofs ya hoja ila sio kuleta maneno maneno.
  17. John Nash Jr

    Hawa Ndiyo Wauza Madawa ya Kulevya Walioitikisa Dunia

    Kila mtandao mkubwa wa biashara unatokana na mahitaji makubwa katika soko. Kwa nini uhitaji wa madawa ya kulevya katika soko ni mkubwa miaka na miaka? Liangazie hili mkuu
  18. John Nash Jr

    Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

    Mara nyingi kwenye mada kama hizi za kichokozi huwa nakaa pembeni kusoma comments. Kheri ya mwaka mpya wanajamvi
  19. John Nash Jr

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    Ulingoni huwa anapambana na mtu mmoja tena kuna sheria za mchezo, lakini katika uvamizi wa kumdhuru mtu hakuna idadi wala sheria, hivyo ni muhimu kuwa na tahadhari kwa kutembea na mabaunsa.
Back
Top Bottom