Search results

  1. AMINATA 9

    JF hamjambo?

    hata mwalii anajua kua mm ni dada yako ivo aondoe wasiwasi kabisa .......pamoja sana mwalii kua na amani tu
  2. AMINATA 9

    Tatoo yangu ya mgongoni (unaipenda?)

    sorry i was away for a while ndio mana nilishindwa kureply..........we wangu tu wa kufa nakuzikana usijali pamoja sana tu mzima ww lkn?
  3. AMINATA 9

    Kwangu huyu ni chuma cha pua.........

    duh!.............
  4. AMINATA 9

    rest in peace my daddy

    pole sana mkuu
  5. AMINATA 9

    Hivi wasambaa wana sifa gani??

    wakike ni wapole nahata umpigeje haondoki ila ukimuoa ndio ujue umeoa ukoo wote wakiume wahuni kila anakoenda kutafuta maisha anazaa n kuacha mke tabia ya ujumla ni wakarimu sana na wanajali utu wa mtu,wanajua kubembeleza mnoooooooo
  6. AMINATA 9

    Hivi wanawake mna matatizo gani? (kwa wanawake tu).

    watu wanaangalia mkwanja sio umri
  7. AMINATA 9

    Wanawake na wanaume weupe. . . . !!

    black is beauty kwangu mm.........wakaka weusi au maji ya kunde wanavutia kuliko wale ma white bwana (kwa wadada si jui yupi anavutia black or white)........... ila asikuambie mtu kitu cha hebu jitokeze simama mbele za watuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  8. AMINATA 9

    Ways to make her happy.

    umenena barabaraa
  9. AMINATA 9

    Sikuamini jamani!!

    Usimuambie
  10. AMINATA 9

    mchumba

    ivi hua na mm najiuliza mara kibao ni kwanini wakaka wengi wanapenda wadada wenye vijungu......hua vinasaidia nini jamani cha muhimu uaminifu na mapenzi ya kweli basi
  11. AMINATA 9

    mwenzenu nimefiwa

    pole sana mkuu
  12. AMINATA 9

    Kweli nimsamehe huyu binti?

    duh! huyu binti nampa salute lol! mwaka mmoja anabalance equastion na hamujamshtukia na wote anawazirisha bila maugomvi dah! kwli hii ni zaidi ya sekreto damori :focus: achana nae mana kama kaweza kuficha maovu kwa mwaka mmoja iyo ina mana hata ukimuoa ndani utamegewa wewe hata na mlinzi wa geti...
  13. AMINATA 9

    plz plz naomba msaada kwa wale watalamu wa hili

    inawezekana hata mwanzoni hakua bikra mana mpaka sasa anatoa damu tuuuuuuu.. :focus: nakushauri muende nyote wawili mukamuone dokta kwa vipimo zaidi ili mujue tatizo liko wapi labda unamuumiza mtoto wawatu huko ndani je? au ana matatizo yake binafsi yote hayo mutayajulia huko medical
  14. AMINATA 9

    Shemeji ananitaka Kimapenzi

    ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni ..........huyo mwanamke ana lana si bure si bora angetoka huko nje kuliko kutaka kummix kaka na mdogo wake.....kabila gani huyo shemeji yako khaa! ikimbie zinaa hiyo tena zambi kubwa kufanya na mke wa kakako
  15. AMINATA 9

    mapenzi matamu,mapenzi kizunguzungu,ahaaa,ohooo!why lulu u hv killed a pilot.

    maskini kilulu sa saba za usiku kwa kanumba kilifata nini huko................ina mana kina wamix ray na kanumba togeza as one(just saying)
  16. AMINATA 9

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    hapana hata kidogo
Back
Top Bottom