Search results

  1. Farolito

    Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

    Nimecheka japo kuna mengi sikubaliani nayo aisee[emoji2][emoji38]
  2. Farolito

    Siri mauaji ya bilionea wa madini na mwanaye

    Kuweka huduma kama hio maana yake tayari serikali imeshaweka macho yake hapo,kodi,sheria pamoja na ukiritimba wake,hicho kitu ndio ambacho watu hawataki maana kwanza inachelewesha,pili inakufanya umulikwe zaidi,(TRA,Polisi,Benki nk)tatu lazima mgawane na serikali,hii kitu kwa baadhi ya biashara...
  3. Farolito

    Uzi Maalum wa Kuwakumbusha members walioahidi kuleta nyuzi zao humu JF

    Huyo jamaa nae kapotea ila ule Uzi una mambo makubwa sana,sijui Yuko wapi?
  4. Farolito

    Uzi Maalum wa Kuwakumbusha members walioahidi kuleta nyuzi zao humu JF

    Sawa,fanya hivyo humo kuna madini sana
  5. Farolito

    Uzi Maalum wa Kuwakumbusha members walioahidi kuleta nyuzi zao humu JF

    Asante,ngoja tuwasubiri watupe hizo nondo
  6. Farolito

    Mambo saba muhimu kuelekea maandamano ya kitaifa bila kikomo

    Umeshashindwa wewe,Magufuli yupo sasa?Mbona Mdude yupo.
  7. Farolito

    Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    Kuna mtu ambaye hajui kwamba sheria ipo?hao anaowakumbusha ndio waalimu wa sheria wenyewe anawakumbusha nini?
  8. Farolito

    Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    [emoji2][emoji2],yaani kuna vitu vinashangaza,watu wanataka kuzungumza mnawatuma polisi wakazuie halafu baadae unasema hakuna cha kuzungumzwa?
  9. Farolito

    Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    Yeye si alisema ana kifua na kwamba kazi ya kujibu watafanya chawa?mbona anakereka?atulie tu Kama kuna wanaotoa matusi mahakama zipo,wapelekwe tuone.
  10. Farolito

    Uzi Maalum wa Kuwakumbusha members walioahidi kuleta nyuzi zao humu JF

    Asante sana mkuu kwa kuitikia wito huu,nimekutafuta kwa muda sana,hatimaye umepatikana,Kwahio mkuu tutegemee kuanzia lini maana tumesubiri kwa miaka miwili na zaidi? Tunasubiri kwa hamu sana hizo nondo.
  11. Farolito

    Washereheshaji na watanzania kwa ujumla, tuzingatie Sheria ya Mtoto

    Asante kwa hili,Pia Mheshimiwa angalieni wamiliki wa vyombo vya usafiri hasa Mabasi ya kwenda Mikoani,humo zinawekwa movie ambazo hazina maadili au haziruhusu watoto kuangalia na hasa ukizingatia kuna watoto mle,pia nyimbo hasa za video nazo nyingi kwa watoto sio nzuri,Nadhani tafuteni muda nao...
  12. Farolito

    Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Imebidi nishangae maana sio kawaida aisee
  13. Farolito

    Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Kumbe Jumapili ni siku ya kazi?![emoji2]
Back
Top Bottom