Search results

  1. Tumbo Tumbo

    Hongera kwa ATCL kwa Kuanzisha Route Mpya za Nje Ya Nchi

    Shirika la ndege la ATC naona limeanza safari za nje. Hii ni hatua nzuri sana lakini wasiwasi wangu ninasita kuamini kwamba wataweza kumudu route za kimataifa. Moja ya changamoto za route za kimataifa hazihitaji kuahirisha safari wala kuchelewesha. Hiyo inaweza kupelekea kukumbana na penalty...
  2. Tumbo Tumbo

    Wakuu

    Wakuu Huyu Ni Mwanamitindo Maarufu Wa Tz Anaeishi Nchini Marekani Anaeitwa Naomi Magese, Usiku Wa Leo Ametupia Picha Yake Ya Nchi Kwenye Instagram na Kuandika Maneno Yafuatayo, Nanukuu..... Yeah...... and this is life..... do whatever makes you happy...Super sexy #Mood Naomi feeling so free. My...
  3. Tumbo Tumbo

    Tujenge Madison Square Tz kwa Ajili Ya Wasanii Wetu.

    Wakuu Habari Ya Uzima, Nina Wazo Moja, Tanzania na Dar es Salaam Hatuna Ukumbi Mkubwa Wa Kufanyia Matamasha Makubwa Hasa Burudani Mbali Mbali Kuchukua Nafasi Ya Leaders Club. . Sasa Wadau wa Burudani na Sanaa wakiongozwa na BASATA Ikiwapendeza kwa Nn wasikae na Serikali uwapatie eneo popote...
  4. Tumbo Tumbo

    Tanzania Hatuna Madison Square

    Wakuu Habari Ya Uzima, Nina Wazo Moja, Tanzania na Dar es Salaam Hatuna Ukumbi Mkubwa Wa Kufanyia Matamasha Makubwa Hasa Burudani Mbali Mbali Kuchukua Nafasi Ya Leaders Club. . Sasa Wadau wa Burudani na Sanaa wakiongozwa na BASATA Ikiwapendeza kwa Nn wasikae na Serikali uwapatie eneo popote...
  5. Tumbo Tumbo

    Mashindano Ya UMITASHUMITA

    Wakuu Habari Ya Malaro, Hivi kwa mtazamo wenu, 1. Kwanini tunafanya UMITASHUMTA? 2. Hawa washindi wa mashindano haya huwa wanakwenda wpi? 3. Hii michezo faida yake ni nini haswa ikishafungwa? Au tunakutana tena mwakani kufanya mingine?! 4. Mfano, mazao ya michezo hii kwa miaka saba mpaka sasa...
  6. Tumbo Tumbo

    Koffi Olomide ataendelea kuwa mwanamuziki bora wa dansa kwa Kongo na Afrika nzima

    Koffi Olomide Amefutiwa matamasha yake Mawili Nchini Afrika Kusini kwa Sababu ya vitendo Vya ubakaji, niseme tu kwamba Papaa Mopao, kiukweli huyu jamaa anastahili sifa zake. Toka nimeanza kuifahamu albamu yake Maggie na kundi la Quartier Latin enzi nikiwa nimeanza shule ya msingi mpaka leo hii...
  7. Tumbo Tumbo

    Muziki wa Tanzania umeingiliwa sasa

    Wakuu Habari Jumapili, Hivi Aliemwambia HamisaMobetto Kwamba Na Yeye Anajua Kuimba Ni NAni Au Kwa Kuwa Ana Sauti Ya Kuongea Na Watu Nae Akajua Ana Sauti Ya Kuimba?
  8. Tumbo Tumbo

    Waziri Lukuvi Awavaa Tra

    Wakuu Atimae Mkatisha Kodi Mkuu TRA nae anadaiwa Kodi na WaKatisha Kodi Wenzake [emoji28][emoji28]
  9. Tumbo Tumbo

    Msaada Wenu Wasomi.

    Kesi Ilienda Exparte Against Respondent Huko Subornate Court, Sasa Applicant akapigwa Kule District Court Na Ameappeal HC, Na Respondent Amekuwa saved na Hyo Appeal, Je Respondent anaweza aka-appear kwenye Audience in order to defend au Atafanyaje?
  10. Tumbo Tumbo

    Hivi Hawa Watu Wanashindana Kuandaa Jambo Moja? Kwa Nini Watu Hawana Akili Ya Kuwaza Zaidi?

    MWALIKO WA FUTARI!!* Tukiwa katika kuadhimisha kumi la mwisho la mfungo wa mwezi mtukufu wa *Ramadhan* natumia fursa hii kukualika wewe ndugu, jamaa na rafiki yangu wa karibu kuhudhuria dhifa ya *futari* siku ya Jumanne tarehe 04/06/2019 katika ukumbi wa *HOTREEF HOTEL* ulioko Kata ya Kipawa...
  11. Tumbo Tumbo

  12. Tumbo Tumbo

  13. Tumbo Tumbo

    Utaratibu Mpya Wa Kufile Documents Mahakamani

    What is new in Civil Procedure Code (Amendment of the First Schedule) Rules 2019? 1) Electronic filing of Plaint, WSD, service (Order IV (1), electronic assignment of matters to judges. 2) Summons to be issued by the judge within 14 days, (amendment of order V), 3) Substitute service to include...
  14. Tumbo Tumbo

    Kwa majirani hali ya mambo ni tete.

    Huko Kenya Hali Ya Uchumi Wao Sio Mzuri Kwa Sasa.
  15. Tumbo Tumbo

    Kulikoni Tena Kenya?

    Wabunge wawili wa Kenya wakamatwa Kenya Intenational Airport wakiingiza Fedha Feki nchini Kenya...... Nimeshindwa Kuweka Video
  16. Tumbo Tumbo

    Wapenzi Wa Soka

    Wapenzi wa Soka mliopo nyumbani na wenye visimbuzi vya Azam Tv unaweza ukaweka MUTV Channel 404 ukajionea mechi ya kumbukumbu ya miaka 20 tangu Manchester United walipotwaa TREBLE!! Kuna wachezaji bado wana uwezo mkubwa sana!!
  17. Tumbo Tumbo

    Authorities Ya Ya Extension Of Time Is Time Bared,

    Wakuu Naombeni softcopy Ya Decision Ya CAT inayosema Extension Of Time Is Time Bared.... Ni Urgent Sana Guys
  18. Tumbo Tumbo

    Mzee Makamba Unachokilalamikia Wewe Kwa Sasa Mlikitengeneza Wenyewe

    Ngoja Niliweke Hili Jambo Vizur Huko mwanzo Uvccm hakukuwa na Tatizo. UVCCM ya Wale Walioko Bungeni Wale Wawili Wale Na Hawa Wengine Marc, Na Makatibu Wa Ccm ndio imeharibu kabisa heshima na hadhi ya UVCCM ndani na nje ya CCM. ..... Walikuwa na management and leadership gaps nyingi sana lakini...
  19. Tumbo Tumbo

    Wataalamu Wa IT Mtusaidie Kwenye Hili

    KUHUSU PURPOTEDLY "VIDEO CHAFU" YA GWAJIMA Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ambayo watu wanasema ni ya Gwajima. Nilikuwa ofisini leo, rafiki yangu akaja na kusema, "Umeona Gwajima alichofanya?" Nimeiangalia ile video lkn kwa sekunde chache tu nimegundua kuwa ni "fake video." So...
  20. Tumbo Tumbo

    Igangula Atimae Apindua Meza

    Wakuu Mgombea Uongozi Kwenye Uchaguzi Wa Yanga Mzee Igangula Amejiuzulu
Back
Top Bottom