Search results

  1. Kabakabana

    Tupo pamoja

    Nawasalimu wote, Nimewamiss na ninawapenda sana ni mambo mengi tu nayafanya kwa sasa katika ujenzi wa taifa letu.
  2. Kabakabana

    Kaby is here

    Habari zenu wana chit chat. I hope wote ni wazima na mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu ilinipasa kupotea kwa muda lakini sasa nimerudi kujumuika nanyi wote. Niliwamiss sana nyote
  3. Kabakabana

    Time will tell

    Baada ya kufunguka kwa mambo mengi nimetamani na mimi niweke input yangu juu ya baadhi ya viongozi kuhusu uozo wao na mambo yao wanayofanya ambayo bado ni siri kubwa. But time will tell, bigger things are coming just wait a little longer guys.
  4. Kabakabana

    Safari ya Tanga Dec.28-30

    Nimeingia leo nimekutana na hii habari. Ni njema sana na ninapenda kusema kuwa nitakuwepo pamoja na wataokuwepo., Kama inawezekana wahusika wakuu watoe updates na kwenye email incase uwezo wa kuingia humu utakosekana kwa wengine. Ahsanteni sana kaby,
  5. Kabakabana

    1 year annivesary

    This is my first year since i have been in jf.Namshukuru Mungu kwa ushauri na challenges nyingi nilizizopata,ambazo zimenisaidia sana na ninashukuru kwa marafiki niliowapata hapa ambao wamekua kama familia na ndugu zangu. Japo Nimekuwa busy sana na mambo ya kujenga taifa letu lakini sijawasahau...
  6. Kabakabana

    Wema hauozi

    Mdada mmoja alipoteza pochi yake kwenye daladala! Jamaa mmoja muaminifu akamtafuta mpaka akampata! Yule dada alishukuru kila kitu kilikuwemo kasoro moja tu MDADA; huku kulikuwa na laki,lakini noti zote za kumi kumi,lakini sasa noti ni za mbilimbili JAMAA;ni kweli,mara ya mwisho nilipookota...
  7. Kabakabana

    Siwezi kuongea

    Jamaa mmoja mgönjwa alienda kwa daktari akaweka kikaratasi kwenye meza kilichoandikwa siwezi kuongea.Daktari akamwambia aweke dole gumba juu ya meza.Jamaa akajua ndo maelekezo ya vipimo! Daktari akachukua kitabu kizito na kumpiga nacho yule jamaa kwenye dole gumba. Jamaa akapiga kelele...
  8. Kabakabana

    Its too cold

    Jamani hii baridi ya arachuga kama washingtown vile!Blanketi halitoshi jamani Natafuta mchuchu wa kunilea kwa muda huu! PM zote zitajibiwa! Vigezo na masharti kuzingatiwa!
  9. Kabakabana

    Sweetlady

    Jamani wanajamvi naombeni mnijuze, hivi kipi kilijiri kipindi sipo? Huyu mdada ni wifi yangu kabisaa na tulikua tunaiva.Leo nimerudi naona ananianzishia vijembe.Nisaidieni jamani lol
  10. Kabakabana

    Ombi langu kwenu

    Ndugu zangu wanajf,naomba niwasilishe hili ombi kwenu.Naombeni hili neno 'i love u' lisitumike humu kwenye hili jukwaa kama siku 3 tu. Wengine linaturemind mambo ambayo hayatakiwi kuremindiwa. Ahsanteni,
  11. Kabakabana

    I miss you all

    Am very delighted to be back.,Mtaji wangu ulikufa na kibanda changu cha nyanya kilikumbwa na mafuriko moshi. But all in all i missed you guys!
  12. Kabakabana

    Naumwa jamani

    My head is aching so badly that i wanna cut it out,my body is very weak.Guys please pray for me.
  13. Kabakabana

    Whats wrong with you?

    Kuna mtu kanikera kweli na nimemsaka kote nimemkosa sasa i know kwa hapa ujumbe utamfikia. Ulipendwa ukaringa,ukanianza upya baada ya kukutupulia mbali. Okay sasa baada ya kuona nimemove on ni nini unataka eeh? What you did last night you know where,has put you in awkward position with me,and...
  14. Kabakabana

    To my baby!

    I love you honey Believe me this is true I dont need cars or money Because all i want is you You wipe away the tears i cry You fill my face with a smile I promise never to say goodbye And make you happy forever not for a while You are a beautiful gift sent to me by God The one i...
  15. Kabakabana

    Tisini na tisa

    Wakuu habarini za jioni? Mimi nina swali ambalo linanitatiza kiasi flani labda wenzangu mshalitatua. Kuna hili tangazo la simu ya vodacom ambayo inauzwa shilingi 149,999!Je hii hela ipo? Na utaipataje kama ipo? Nawasilisha.
  16. Kabakabana

    Sina Hela

    Eti Sina Hela amekufa, mbona mimi namjua na ni ndugu yangu wa damu niko nae hapa? Eti Sina Hela kapotea, jamani hajapotea nasema ninaishi nae karibu sana Je wewe unamjua?
  17. Kabakabana

    Trust Again in a Man.

    He's like pain in the as* He's only been a curse He's made my life worse Now i'm looking for a better nurse He's brought me so much pain He's taken away my sun and brought me rain He's made me go insane Now am no longer sure i can love again Just like a wind he went away He didnt...
  18. Kabakabana

    Baby I do

    Now as i sit up on my bed An image of you is in my head You give me a reason to live Without you the happiness i will never achieve The way you kiss,your touch is soft and devine I want you to forever be mine Infront of everyone here my love i declare To hurt you i will never dare...
  19. Kabakabana

    Mimbo ya utotoni

    Watoto wa siku hizi waliozaliwa kipindi cha jakaya wenyewe wamejikita kwenye bongo fleva za akina diamond na ali kiba. Sidhani kama wanapata ladha tulioipata sisi Nakumbuka mimbo tuliyokuwa tunaimba tukiwa watoto halafu natabasamu mwenyewe Kama huu sandakalawe amina,mwenye kupata...
  20. Kabakabana

    Wanaume mna tatizo gani?

    Nilikutana na huyu kaka mwaka 2007 kwenye harusi ya dada wa rafiki yangu.Huyu rafiki yangu ni kipenzi sana na amekuwa kama ndugu yangu,. Hiyo harusi nakumbuka ukumbi ulikuwa ni pale msasani. Tulipotoka huyu mkaka nampa jina la Y akasema twende tukapate vinywaji sehemu nyingine na kweli tukatoka...
Back
Top Bottom