Search results

  1. K

    Tumetumbukiaje shimoni na tunajiokoaje kama Taifa?

    Kuanzia Mshindi mwenyewe hadi huyo Bashiru wote wanaona aibu kwa haya yaliyofanyika Walitoa maelekezo kwa watendaji wao wa chini, wao wakafanya kwa kupitiliza hadi mtoto mdogo anajua kilichofanyika Hamna pa kuificha hii fedhehe! Wenye akili ndani ya ccm yenyewe wanaona aibu! Kuna wanaojuta...
  2. K

    Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

    Huku chini michako ilikuwa dhahiri! Safu ya kuhakikisha hayo yaliyotokea yanakuwa hivyo iliandaliwa mapema na kupewa ahadi zilizoambatana na vitisho live
  3. K

    Uchaguzi 2020 Nimebadili maamuzi, wacha watuone wajinga tu ila na mimi kesho naenda Kupiga Kura

    Ukweli upo wazi kabisa, ila kwa aina ya wasimamizi waliochaguliwa, namna watendaji kata walivyojipanga, jumlisha calmness ya watu Morogoro na aina ya mtu atakayetangaza matokeo! Bado safari yake itakuwa ngumu sana labda tu kwamba uhalisia utaonekana kwamba Kuna mtu kabebwa
  4. K

    Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Star TV nao wamekata matangazo yao na BBC Dira ya dunia baada ya Zuhura Yunus kutaka kuelezea madai ya habari inayozagaa kuhusu kuuawa kwa watu tisa Zanzibar. Mara paaap wamemla mtama hewani hayupo tunaangalia matangazo hapa Wamemrudisha baada ya habari hiyo kuisha, wanaongelea kuhusu kuzima...
  5. K

    Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

    Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana! Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo. Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja...
  6. K

    Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Watu kama nyie tunaotegemea mmeshaelimika na kuwa na uelewa mpana ili mtumie uelewa wenu kuwaelewesha wengine Kama bado mnamawazo ya namna hii, basi maendeleo yatachelewa sana Yaani leo serikali kutimiza wajibu wake asante iende kwa Magufuri? Sasa Kama mtu Kama wewe unasema hivi, je Mama yangu...
  7. K

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

    Ni kweli kabisa unachosema, ila unapata nguvu ya kusema hivi kwasababu unajua kitakachofanyika. Ila ikitokea vyombo vya dola na tume ya uchaguzi vikaingiwa na roho wa Mungu vikaamua kutenda haki kwa kuhesabu na kutangaza kura halali kulingana na zilivyopigwa na kusema na liwalo na liwe...
  8. K

    Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

    Ni kweli kabisa, ikiwa tu wanaodevelop app zinazohusu wanafunzi kujisomea wanahangaika kupata fund, ije kuwa ya kufungua mageti! Ukiangalia michango ya baadhi ya wadau, wanadai hakuna wa kubadilisha hii isipokuwa sisi wenyewe ila kila kitu kina wakati wake Ruge na fursa zake alikuwa anawaambia...
  9. K

    Kusisitiza Amani bila kusisitiza Haki ni kujidanganya

    Ukisoma historia ya matukio yaliyovuruga nchi nyingi duniani na kusababisha vita utagundua machafuko hayakulipuka ghafla bali yalitokana na manung'uniko ya muda mrefu ya watu kulalamikia kunyimwa haki au kuonewa Ukiangalia namna vita ya kwanza ya dunia ilivyotokea, manung'uniko yalianzia kwenye...
  10. K

    Thadei Ole Mushi na tabaka la elimu linavyoendelea kumdidimiza maskini

    TUNA TABAKA KUBWA LA ELIMU AMBALO HALIONEKANI Na Thadei Ole Mushi. Mwaka 2017 niliandika kuwa Shule bora zote za Serikali wanaosoma huko asilimia 95 ni watoto wa matajiri au wenye unafuu wa kiuchumi. Hapa nazungumzia shule kama Mzumbe,Ilboru, Tabora boys, Tabora girls, Kilakala, na nyinginezo...
  11. K

    Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

    Hivi Zitto kutoka CHADEMA alitoka kununuliwa, alihama mwenyewe au alifukuzwa? Si alipeleka shauri mahakamani kabisa kupinga kufukuzwa uanachama CHADEMA?
  12. K

    Nafsi inapoghadhibika

    Sio kweli kwamba unafarijika! Hapo unajifariji tu! Ukweli ni kwamba unaumia na kunung'unika kwanini hawakushika madaraka baada ya Uhuru! Hili liko wazi kwenye maandishi yako mengi Ukweli ni kwamba tamaa yako ni kuona nchi hii inakuwa ya kiislam kitu ambacho hakitakaa kitokee Mtu mwerevu Kama...
  13. K

    Nafsi inapoghadhibika

    Hakuna aliyekukataza kumpenda umpendaye na hakuna aliyekwambia unayempenda wewe lazima apendwe na kila mtu Kila jamii inao uzuri na ubaya wake isipokuwa Mungu pekee aliye sirini Hata hivyo, kuendelea kuendelea kuelewesha mtu anayeamini kujilipua, kuua, kujitoa muhanga na kuchukia jamii...
  14. K

    Salama Jabir: Mwanamke mwenye uwezo mkubwa na akili kubwa ya kufanya interview

    Hakuna sehemu ali mlimt Fatuma, kipindi nilikiangalia mwanzo mwisho labda utueleze wapi alipofanya hivyo
  15. K

    Salama Jabir: Mwanamke mwenye uwezo mkubwa na akili kubwa ya kufanya interview

    Habari Wakuu, Salama Jabir ni miongoni mwa mastaa wa kike wachache waliofanikiwa kujenga heshima hasa kwenye tasnia ya habari na mwenye uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu wazito na mwenye uelewa wa aulize nini na asiulize nini kwa mtu anayemfanyia mahojiano Wanahabari wengi wa Tz...
Back
Top Bottom