Search results

  1. Ravalomanana

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Dada gani huyo nipeni ubuyu jamani msile wenyewe
  2. Ravalomanana

    Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

    Hili tatizo la nguvu za kiume linakuzwa kuliko uhalisia wake ,siku hizi kuna tatizo kubwa la hormones imbalance kwa wanawake ambalo linapelekea wao kukosa hisia au kuchelewa sana kufika kileleni na mbaya zaidi wao hawalijui hilo ,kwa kawàida mwanamke ambae yuko sexually active anaweza kufika...
  3. Ravalomanana

    Tahadhari ili kuepuka gharama uji wa ulezi huchanganywa na unga wa mchele

    Dah mimi juzi kati nilikunywa maziwa ya ngano stand makumbusho
  4. Ravalomanana

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Huku mitandaoni kumejaa maigizo,mtumishi anaelipwa take home ya mil moja na nusu huyo ni tajiri watumishi wengi mishahara ni chini ya laki 7na wanajenga
  5. Ravalomanana

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Acheni mbwembwe ni watumishi wangapi wanaolipwa take home ya kuzidi milioni moja nchi hii ,hawazidi asilimia 10 na bado wanajenga mfano mwalimu wa certificate akikaa kazìni around five years ana take home kama ĺaki 5 hivi na mbona wamejenga
  6. Ravalomanana

    Nchi zenye uchumi imara GDP kubwa Duniani 2024

    GNP ni pato linalozalishwa ndani ya nchi na raia wa hiyo nchi pamoja na raia wake waishio nje yaani diaspora and does not include any ìnvestment made by foreign companies or individuals within country ,ihope ulimaanisha hivyo mkuu
  7. Ravalomanana

    Nchi zenye uchumi imara GDP kubwa Duniani 2024

    GDP ni lile pato la jumla katika shughuli zote za uzalishaji kwa mwaka ,mfano mishahara wanayopata watumishi, mapato wanayopata wakulima,wavuvi,wachimbaji,wafanyabiashara nakadhalika
  8. Ravalomanana

    Nchi zenye uchumi imara GDP kubwa Duniani 2024

    GDP ni lile pato la jumla la mwaka linalozalishwa ndani ya nchi na wananchi wa hio nchi na wageni,GNP ni pato linalozalishwa na wananchi husika tu waliopo ndani na diaspora
  9. Ravalomanana

    Nchi zenye uchumi imara GDP kubwa Duniani 2024

    Population inawasaidia wachina kuwa na GDP kubwa
  10. Ravalomanana

    Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

    Chalinze? Ona aibu aisee ni moja ya miji yenye good housing condition wapi uliona nyumba ya udongo Chalinze
  11. Ravalomanana

    Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Hata mimi napitia hii changamoto nimeshindwa kupata suluhisho
  12. Ravalomanana

    Wakristo wa Iran washerehekea Pasaka mafichoni

    Ameongelea uhuru wa kuabudu hajaongelea ushoga
  13. Ravalomanana

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Sasa mbona hatusikii hospitali za kiislamu,shule za kiislamu ,vyuo
  14. Ravalomanana

    Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

    South itakua chuo kikuu cha nini
  15. Ravalomanana

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

    We sikwasababu una gari ndio mana unaongea hivyo,kama huna gari bodaboda haikwepeki
  16. Ravalomanana

    Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    Nililala Lodge moja njiapanda ya mtoni kijichi 20k na ina AC
  17. Ravalomanana

    Je nitapata wa kufanana nae?

    [emoji23][emoji23]nimeshangaa sana wanawake wasiku iz bwana,mara nyingi kutopenda sex sio ishara nzuri kiafya unaweza kuta homorne imbalance inamnyemelea ye hashtuki
Back
Top Bottom