Search results

  1. S

    Waraka kwa Rais Samia Suluhu Hassan: Kilio cha wafanyakazi kwenye hifadhi ya jamii

    Waraka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwanza kabisa kwa vile ni mara yangu ya kwanza kuandiaka toka Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Ushike hatamu za Uongozi wa nchi yetu, nachukua nafasi hii kukupongeza sit u kwa kuwa Rais wa nchi yetu lakini kwa namna ambavyo...
  2. S

    Maumivu ya kumiliki sim cards kama kikokotoo

    TUSIPOSEMA LEO YA LINE ZA SIMU YATATUKUTA YA KIKOKOTOO Ni jambo jema kwa serikali kuhakikisha sheria zinatekelezwa ipasavyo lakini tu sheria hizo zikiwa ni nzuri na si kandamizi. Leo tunaomba sana hili la usajili wa line za simu liangaliwe upya maelekezo yake. Magazeti ya Leo Yanabeba dhana ya...
  3. S

    Uhakiki wa vyeti feki utende haki sekta binafsi

    Napenda kupongeza na kuunga mkono juhudi za serikali kuhakiki vyeti feki. Ni kazi kubwa na nzuri sana imefanyika sasa naomba basi upanuliwe wigo wa uhakiki. Naipongeza sana serikali ya JPM lakini ili kulimaliza tatizo hili kabisa kabisa panua wigo. Fanya uhakiki hata huko sekta binafsi...
  4. S

    Mei mosi sherehe za tisheti, maandamano na mabango

    MEI MOSI SHEREHE ZA TISHETI, MAANDAMANO NA MABANGO. Sherehe za Tshirt husherekewa Duniani kote Tarehe Moja ya Mwezi wa Tano. Pamoja na mambo mengine yawezekana hazijatumika vizuri kuenzi wafanyakazi waliopigania haki na kusababisha kuhasisiwa kwa maadhimisho haya. Kwetu Tanzania maziona kama...
  5. S

    Ushauri Wangu Kwa ACT, CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi

    UCHAGUZI WA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI Nimetafakari sana juu ya ukuaji wa Demokrasia na Nafasi ya Upinzani Imara Wenye Mshikamano na Umoja. Wakati huu kama alivyosema Mh Lema wakati wa Kongamano la ACT juu ya Azimio la Arusha, Ndio wakati wa Muhimu sana kuungana kuliko ilivyowahi kutokea. Namna...
  6. S

    SUBARU FORESTER INAUZWA 10,500,000/=

    Ni gari la mwaka 2002, Halijatumika sana maana sikai nalo mkoani naliacha DSM, Rangi ya siliver, limetembea Km 97,000. Ni automatic na lina milango mitano. kwa mnunuzi aliye serious tuwasiliane 0787 585860. Bei ni 10.5 milioni na mazungumzo yapo. Mimi si dalali ni mwenye gari.
  7. S

    Nyumba inapangishwa jijini Mbeya

    Unahitaji nyumba ya kupanga na upo Jijini Mbeya, Njoo inbox iko karibu na ukumbi wa Mkapa ina vyumba 2, Digning, Jiko, Choo na maji ya uhakika
  8. S

    Nyumba inahitajika mbeya

    Nyumba yenye chumba kimoja na Sebure iwe ni self contained, Maeneo yanayofikika kiurahisi isiwe uswahilini. Mwenye kujua anitumie private mesej au anipe namba. iwe karibu na Mjini maana ofisini kwangu ni NIC
  9. S

    Utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya nje ya nchi TCU

    Wadau nisaidieni! Nahitaji kuverify cheti changu cha masters niliyoipata nje ya nchi mwenye uzoefu na procedures nijuze maana niko Mbeya, mbali na ofisi za TCU. Niliwapigia TCU wakaniambia kwenye website kuna maelekezo but sijaweza kuona chochote.
  10. S

    For sale: Vitunguu - Iringa

    Niwataarifu kuwa ninazo gunia 43 za vitunguu nimevuna wiki mbili zilizopita ni vile vya kuhifadhi muda mrefu. Nakaribisha wanunuzi wa Jumla. Namba ni 0715696920 au ni PM kwa maelezo ya ziada. Vipo Iringa.
  11. S

    Nyumba ya inapangishwa 180,000/= Mwananyamala

    Nyumba inapangishwa 180, 000/= kwa mwezi mwananyamala. Mwenye kuhitaji aje inbox na aache contact nitamcheki. Ni vyumba viwili kimoja master. Ina sitting room iko getini. Ina LUKU yake na kisehemu cha kupikia.
  12. S

    Nyumba inapangishwa Mwananyamala

    Ina Vyuma 2 vya kulala kimoja ni master, Sitting room, ina LUKU yake yenyewe iko getini na nikaribu kutokabarabarani hakuna taabu ya usafiri. Bei ni 180,000/= kwa mwezi. Kwa mwenye kuhitaji utanipa namba inbox au wall nitakucheck
  13. S

    Katiba mpya mbaya kuliko tuliyonayo

    Nimejaribu kuipekuwa naona haki za msingi kabisa hazijaguswa. 1. Haki ya kugoma mfano kwa wafanyakazi kumgomea mwajiri na migomo mingine wanapokuwa wamesindwa kukubaliana lakini na namna ya kuercisize migomo. 2. Hakuna Haki ya watu kuandamana Mengine ongezeni
  14. S

    MTAZAMO WANGU JUU YA FAO LA KUJITOA (Withdraw Benefits)

    Jana nikifuatilia mjadala wa bunge ikiwa ni zamu ya Wizara ya Kazi na Ajira niliona mvutano juu ya suala la fao la kujitoa ambalo kwa upande wa serikali wanatamani wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii kutojitoa na watapeleka mswaada wa sheria kusimamia hili. Ni jambo lisilopingika kwamba...
  15. S

    Kiwanja, kiwanja, mbeya jiji!!!!!!

    Nahitaji Kiwanja Jijini Mbeya kiwe sehemu inayofikika kwa mwenye nacho au mwenyekujua nipe mawasiliano
  16. S

    Toka Lini CCM na Mawaziri wasifie upinzani? eti Lukuvi anasifia ACT

    Eti toka niwepo na ninachojua CCM siku zote huwa wanapiga vita chama chochote cha upinzani kinachokuwa na nguvu. Lakini leo kwa namna ya pekee mh Lukuvi anasema kwenye majumuhisho kuwa kimekuja chama kipya chenye nguvu cha ACT na wanakikaribisha uwanjani. Lakini nikajiuliza la hiki siyo CCM C...
  17. S

    Mzee a jumbe apewe uhuru wake na kufidiwa

    Mimi ni Mtanganyika na naitamani Tanganyika na muundo wa serikali tatu. Ninachosikitika ni Historia ninayoipata juu ya Mh. Jumbe ambaye alikuwa detained kwa kutaka separation na kuiona Tanganyika kule na Zanzibar huku. Wakati huo alionekana muhaini lakini mimi naona hata kama amezeeka basi...
  18. S

    Ofisi ya waziri mkuu na makamu wa raisi zataka serikali tatu

    Nilipendezwa sana niliposikia kuwa hata ofisi ya Mh. Waziri Mkuu na Makamu wa Rais zilipendekeza Serikali Tatu. Hawa ni watumishi wa umma wanaostahili kupongezwa kwa kuuona ukweli wakiwa sawa na Ofisi ya Balaza la wawakilishi ambayo nayo niliwahi kusikia walipendekeza hivyo. Hivi tujiulize leo...
  19. S

    Kumbe watanzania hata ofisi kuu nchini wanapenda serikali tatu

    Nilipendezwa sana niliposikia kuwa hata ofisi ya Mh. Waziri Mkuu na Makamu wa Rais zilipendekeza Serikali Tatu. Hawa ni watumishi wa umma wanaostahili kupongezwa kwa kuuona ukweli wakiwa sawa na Ofisi ya Balaza la wawakilishi ambayo nayo niliwahi kusikia walipendekeza hivyo. Hivi tujiulize leo...
  20. S

    Mbunge mpya wa jimbo la Kalenga hana sifa kuingia bunge la katiba

    Nitashangaa sana kama wajumbe na wanasheria maili wakiacha na hili lipite tu. Ninavyojua ili uwe mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano unahitaji kuchaguliwa ama kuteuliwa na baadha ya kutangazwa mshindi unaenda mchakato wa mwisho ambapo unaapishwa na Spika wa bunge mbele ya kikao cha Bunge...
Back
Top Bottom