Search results

  1. infinix

    Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli ukaushwe na kuhifadhiwa vizuri kama kielelezo cha kiongozi shupavu

    Ushauri mbovu haujawahi kutokea. Huyu mtu kwa dini yake ni Mkristo, na wanakawaida ya kusali ili kumuombea marehemu apokelewe huko kwa Mungu, badala ya kushauri hivyo unataka akaushwe kama ndafu??
  2. infinix

    Neno la Shukrani baada ya kunusurika kwenda Segerea

    Ninyi mnaitwa MATAGA....neno hilo linamaanisha nini Bwashee???
  3. infinix

    Mbowe, mkanye Lissu

    Ukipata taarifa za mtu aliyekosa kukuua mara kadhaa, haiwezi kuwa habari ya huzuni bali ni HABARI NJEMA. Lisu naye ni binadamu kama ulivyo wewe, tena sikuwahi kukusikia ukinena mema juu ya IDD AMIN DADA wa Uganda, na hapo napata mashaka juu ya uwezo wako wa kufikiri
  4. infinix

    Upinzani kuchukua nchi labda baada ya miaka 1000

    Sijawahi kuona mtu mwenye akili timamu anapima ndege, mbuzi, mafenesi nk kama yana magonjwa isipokuwa mtu huyo dishi litakuwa limeyumba, yaani akili zimefyatuka
  5. infinix

    Wahamiaji haramu toka Kenya watiwa mbaroni Tanzania

    Ule utaratibu wa wananchi kuingia ndani ya nchi jirani hata km 10 kila upande uliondolewa lini?
  6. infinix

    Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

    Hata Mbowe wala si saizi yake, aendelee kumlamba bosi wake matako ili kibarua chake kisimee nyasi. Hivi kapona corona???
  7. infinix

    Mbona wenye mamilioni ya chanjo bado wako lockdown na wanakufa

    Watuletee hizo nyungu wanazojifukiza huko kwa waganga wa kienyeji kama kweli zinafaa kwa chanjo.
  8. infinix

    Nzige wa Jangwani watua Monduli; Profesa Mkenda, Bashe wakesha usiku kucha wakiwaangamiza

    Huko Kenya hawafanyi uharibifu kama hapa? Ama Kenya ndio wazalishaji wa nzige?
  9. infinix

    Je, kutoa takwimu za watu waliokufa kwa matatizo ya kupumua wakati wewe siyo Waziri wa afya inaruhusiwa kisheria?

    Kuna watu humu nchini ni wapumbavu kidogo. Kwamba ukiwa kiongozi unaweza kuamua na kusema lolote bila kufuata sheria yoyote ili mtu yoyote alazimike kuitii hii amuri bila shuruti. Mwigulu anaonekana hayuko sawa kichwani. Watu wanakufa bila kelele na hakuna ruhusa ya kusema sababu ya kifo...
  10. infinix

    Msaada: Nataka kuwashitaki Voda kwa kuwaficha matapeli

    Mwenzio ni boya kwa kutuma fedha kizembe wakati wewe ni boya kwa kusahihisha kiboya na bila kutumia lugha ya staha...hapo ngoma froo!!
  11. infinix

    Simulizi za Othman Masoud

    Mbona hayo hayakubainishwa kwenye mada hii? Wewe umeyatoa wapi mchonganishi wewe??
  12. infinix

    Kwa kuwa CHADEMA wamesusia ruzuku, hizo pesa zielekezwe kwenye elimu

    Si kazi yako kujua umri wangu, zingatia ushauri kwa sababu ya HEKIMA iliyomo ndani yake. Hakuna sababu ya kuthibitisha jambo lililo wazi kwa kiasi kikubwa hivyo. Wala mwenye macho haambiwi TAZAMA
  13. infinix

    Kwa kuwa CHADEMA wamesusia ruzuku, hizo pesa zielekezwe kwenye elimu

    Ni ushauri mzuri sana hasa wakati huu taifa likiwa kwenye sintofahamu ya uchaguzi 2020. Ni kweli CHADEMA walizikataa fedha za wizi, kuzipokea ni kushiriki wizi wa CCM. Nawashauri wana CCM vile vile wazikatae kwa sababu wao hawakuwa na utamaduni wa wizi wa aina hii wakati wa uchaguzi, na pia...
  14. infinix

    Dhana ya kutochanganya siasa na kanisa na madai ya Askofu Emmaus Mwamakula juu ya mchakato wa Katiba Mpya

    Kuwa mzalendo kadiri ninavyojua mimi ni kuipenda nchi yako. Watanzania walio wengi wanaipenda nchi yao kwa sababu wanaumia moyoni wanapoona mawazo yao hayathaminiwi, wanatishwa na wanadhulumiwa haki yao ya kuchagua viongozi wao na pia kuchaguliwa kutumikia taifa lao. Badala yake wanafungwa...
  15. infinix

    Baada ya kuvunjwa kwa jiji la Dar, Serikali ipitie upya viongozi hawa

    Huu ndiyo ukweli. Tusidanganyane, mfalme yu uchi, hakubaliki na udhaifu wake unaonekana na kila mtu. Hayupo asiyejua kwamba uchaguzi wa mwaka jana haukuwa uchaguzi bali ni UCHAFUZI
  16. infinix

    Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

    Habari yafo mmeku? Kumbe kwafo ni Usseri vaita? Lakini usijali, hata wasipotangaza Moshi kuwa jiji, rais ajae ambae hatakuwa m baguzi na mkabila atatangaza tu.
  17. infinix

    Rais neno lako halijatujenga

    Bashaako hamnazo wewe mama, bado hujui tu?
  18. infinix

    Kwenye kumuaga Balozi Kijazi, Kikwete ametuma ujumbe mzito kwa vitendo

    Uzuri covid huwashika watu wazima na ni lazima wavae barakoa ili kujikinga, ng'ombe hawana corona wala hawaambukizwi corona ndugu yangu.
Back
Top Bottom