Search results

  1. MNYWABUJU

    Dodoma: Basi la kampuni ya Ally's lateketea kwa Moto

    Basi LA kampuni ya ALLY'S linalofanya safari zake toka dar kwenda mwanza limepata ajali na kuwaka moto katika eneo LA BAHI ,Dodoma, Hakuna taarifa ya waliofaliki wala majeruhi ,update zinakuja
  2. MNYWABUJU

    Uchaguzi 2020 Kazi imeanzaWagombea ubunge wa upinzani morogoro mjini wakatwa

    Msimamizi wa uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge wa vyama vya upinzan kutokana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee abdulaziz abood wa ccm amepita bila kupingwa
  3. MNYWABUJU

    Binadamu mwenye Umri mkubwa zaidi afariki akiwa na miaka 116 nchini Afrika ya Kusini

    Kwa SA Labda ndio mzee zaidi,maana kila nchi ilishalipot wao ndio wanamtu mzee zaid duniani
  4. MNYWABUJU

    Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

    Waelevu kama wew ndio mnao TIWA na adam adi mitama
  5. MNYWABUJU

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Sport director eric abidal na Kocha mkuu queque setien katika kikao lazima mmoja aondoke au wote wasepe
  6. MNYWABUJU

    Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

    Yawezekana pia, lkn kwa ukubwa wa chama na diamond mwenyew sizan kama kuna uwezekano wa kushindwana, kati yake na ccm
  7. MNYWABUJU

    Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

    Habari wana Jamvi, kwanza niwapongeze wasanii wote walioshiriki Tamasha la CCM- Uwanja wa Uhuru, walifanya vizuri, lakini kutoonekana kwa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platinumz katika tamasha ilo nadhani ilikuwa pigo kwa mashabiki zake ambao walienda kutaka kumuona. Je, aliogopa wasanii...
  8. MNYWABUJU

    Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

    Majinga sana yanaleta chuki za kijinga
  9. MNYWABUJU

    Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

    Nyie kila kitu mnaonaga jamaa wanaiba tu, muwe mnajificha kidogo, mnatuaibisha
  10. MNYWABUJU

    Tamthilia ya Danga Idriss Sultan umetisha sana kaka

    Ndio YouTube zipo, zinapatikana nzuri sana
  11. MNYWABUJU

    Tamthilia ya Danga Idriss Sultan umetisha sana kaka

    Day kiukweli wakongwe ni bora wastaafu wanachafua tasnia
  12. MNYWABUJU

    Tamthilia ya Danga Idriss Sultan umetisha sana kaka

    Movies za bongo kwa kweli zimeanza kuwa nzuri ,kuna company inaitwa benroyal pictures asee jamaa wametoa vigongo vya hatari ,kuna1,jeshi LA ukombozi,2,mzalendo,3 mstari wa damu, ni movie zenye quality ya kimataifa da nimezipenda, hawa waigizaj wapya wanafanya poa sana,
  13. MNYWABUJU

    The story book Wasafi TV na Jamal Mustapha

    KuNa mtu atakuja hapa ,aseme ,mrudisheni mtigah ,rub
  14. MNYWABUJU

    Yanga yaachana Rasmi na Kelvin Yondan na Juma Abdul

    Nasikia tshishimbi kakubali.kusaini yanga tena mwaka mmoja
Back
Top Bottom