Search results

  1. Moses Ngelime

    msaada

    Arusha technical College
  2. Moses Ngelime

    msaada

    Write your reply...ripoti chuo kila kitu utakuta uko mm nime ripoti kila kitu nimekuta uko mchanganuo mzima nenda chuo aisee
  3. Moses Ngelime

    HESLB MNATUPA WAKATI MGUMU

    Write your reply...subirini Mpaka tarhe 29
  4. Moses Ngelime

    Mnaotarajia kujiunga vyuo vikuu kwa hili siwaelewi

    Write your reply...cha ajabu guide book iko kwenye bango LA tcu toka July mwaka uhuu but wanafunzi wako bize na Facebook. Hakuna kitu muhimu kama kujitambua... Ukijambua utashinda
  5. Moses Ngelime

    Msaada:Inawezekana kwa kutumia ile code ya TCU kuconfirm vyuo zaidi ya kimoja?

    Write your reply...uyo dogo bado yuko kwenye puberty stage nini.. Level aliyofikia ni kuangalia kipi bora kwa maisha Yake ya badae mambo ya kuangalia classmates wako wapi uo ni upambavu wa Hali ya juu Naomb umpe bakora za kutosha kama kaka mtu maana bado ajitambui
  6. Moses Ngelime

    Udereva wa malori

    Write your reply...nit uwezi kwenda km ujapitia Shule za veta kumbuka pale unaenda kuongeza madaraja unless awe na daraja d Tayar na Uwe na uzoefu I mean unaweza kuendesha vizur sio unaenda kujifunza awakuchukui
  7. Moses Ngelime

    Udereva wa malori

    Write your reply...aende veta dar es salaam full course mwez mmoja tu ila awe na daraja d ili aweze Pata daraja e LA malori kuna magari ya kutosha atafanikisha ndoto Zake chuo Chao kiko buza yombo na ofisi zao ziko changombe utanisamehe kwa uandishi wangu simu aiko saw
  8. Moses Ngelime

    ARUSHA TECHNICAL COLLAGE

    Write your reply...tripper ATC bado nahis soon watatoa majina
  9. Moses Ngelime

    UDOM second round

    Write your reply...ndugu zangu msife moyo mtangulizen mungu mbele.. Natumai mtajibiwa mungu awe nanyi
  10. Moses Ngelime

    Wakuu naombeni ushauri juu ya course ya Environmental Engineering

    Hahhaa you are such a fool kijana... Am not kind of person you think. Watch me... And note my name
  11. Moses Ngelime

    YANI TCU NDO MNANITUMIA CODE LEO?

    Write your reply...brown hapna kwa sababu bado kuna viboksi vile vya kuweka code wote wenye multiple still you have a chance to confirm
  12. Moses Ngelime

    Kinaendelea nini TCU kwa wale WA multiple

    Write your reply...meek mm nili Pata kitambo tatzo linakja bado profile zetu ziko kwenye multiple Sasa mtu Ata uelew Wakat ushafanya confirmation
  13. Moses Ngelime

    Kuhusu SUA

    Write your reply...sio peke ake tu wote wa multiple admission Walio fanya confirmation majina yao yapo kwenye mchakato tcu after 2 or 3 days watatoa Tena majina ko awe mpole tu profile Kalbu Zote ziko ivo
  14. Moses Ngelime

    Kinaendelea nini TCU kwa wale WA multiple

    Write your reply...kwel kabisa brown.. Kuna watu mpaka Sasa awajui hatima zao.
  15. Moses Ngelime

    Kinaendelea nini TCU kwa wale WA multiple

    Message…napenda kujua kinaendelea nini mpaka muda uhuu kwa wale WA multiple Walio fanya confirmation Tayar na ambao wamewasiliana na vyuo husika. Mana udahili awamu ya pili umefungulia ila hatima ya wale WA multiple mpaka Sasa awajulikani wapo kundi gani either first batch au laah kuna baadhi...
  16. Moses Ngelime

    Nini tatizo kwa waliomaliza diploma kukosa nafasi ya kuingia vyuo katika awamu ya kwanza?

    Write your reply...mimi43 Sawa mkuu have a gud luck my boy utapata tu
  17. Moses Ngelime

    Nini tatizo kwa waliomaliza diploma kukosa nafasi ya kuingia vyuo katika awamu ya kwanza?

    Write your reply...hahhaa Abu absolutely kwel br.. Unajua form 6 wanapewa kipaumbele Sana wanasahau kuwa mtu WA diploma anakuwa more competent kuliko Ata awa wa three za 12 sijui tatzo bongo tusha kalili kuwa elimu ni lazima uanze vidudu mpk LA saba.. Elimu ya secondary ndo form 5 na 6 afu ndo...
Back
Top Bottom