Search results

  1. K

    Waliosema chadema haitashinda arumeru mbona siwaoni?????

    Ndugu zangu kuna jamaa nawaulizia humu sijawaona kabisa sijui wako wapi tena kina Rejao,Nape na wengine waliokuwa wanamshabikia marehemu ccm wako wapi?na je nabii Frora vipi hatoi unabii mwingine? nawasilisha msaada tafadhali
  2. K

    Wana CCM Kiwira wakamatwa kwa rushwa

    Katika hali isiyo ya kawaida polisi wametumia nguvu kubwa kuwafukuza wananchi waliokuwa wakiandamana kupinga rushwa zilizokuwa zikitolewa na wana ccm ktk ukumbi fulani ambapo waliwakusanya wakinamama na kuanza kuwagawia hela lakini mama mmoja alichukua hatua ya kuwapigia viongozi wa chadema na...
  3. K

    Kampeni za CCM Arumeru east updates....!

    mimi sijaelewa kabisa nilipoona tbc nilishangaa sana hivi huu ni mkutano wa mjumbe wa serikali ya mtaa au kwani hakuna watu kabisa ila kama sivyo basi tuseme ccm yafunikwa
  4. K

    Kampeni za CHADEMA leo Katika picha

    safari hii lazima kieleweke na ole wenu ccm mchakachue arumeru itageuka kuwa mbeya au zaidi ya mbeya:lock1:
  5. K

    Regia Mtema is No More!

    Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe,hii ni safari ya kila binadamu ila tunatofautiana njia za kuondokeajia,ila njia alioondokea dada yangu inaumiza sana lakini basi
  6. K

    Doctor Slaa ndani ya Mbeya kesho

    Doctor WILBROD SLAA kesho anatarajiwa kuwasili ktk mkoa wa mbeya ni kwa ajali ya kuja kuwashukuru watu wa nzovwe na mbeya vijijni kwa jinsi walivyoonyesha moyo wao wa kuiamini chadema;ikumbukwe kuwa kata ya nzovwe ilikuwa ikishikiliwa na chadema na diwani wake kujiudhuru lakini licha ya yote...
  7. K

    Maiti tisa za mauaji yaliyofanywa na polisi leo Mbeya ziko mochwari

    Hali bado ni tete hivi sasa magari yanapita barabarani kutangaza hali ya hatari na wanawaomba wananchi waingie majumbani mwao.
  8. K

    Maiti tisa za mauaji yaliyofanywa na polisi leo Mbeya ziko mochwari

    Hali bado ni tete hivi sasa magari yanapita barabarani kutangaza hali ya hatari na wanawaomba wananchi waingie majumbani mwao.
  9. K

    Kama serikali itang'ang'ania kuwalipa DOWANS; CHADEMA kuitisha maandamano ya nchi nzima

    Lazima ifikie wakati wote tuwe na kauli moja ya kwamba tumechoshwa na kuibiwa huku tunaona ,mimi pia nipo tayari kuandamana mpaka kieleweke.
  10. K

    Je huu ndio Utaifa wa mwigulu McKenna?

    Ni muda umepita tangu uchaguzi wa igunga umalizike,kuna huyu jamaa anaeitwa mwigulu nchemba alikuwa anagawa hela siku ya uchaguzi,tulipo pewa habari tulianza safari ya kufuatilia kwenye kata ya bukoko tulipofika tukaambiwa alikuwepo ila tayari kaelekea kijiji cha simbo tulipowapigia takukuru...
  11. K

    Huu ndio utaifa wa mwigulu nchemba

    Ni siku chache zimepita tangu uchaguzi wa igunga umalizike ambapo ccm ilitangazwa kuwa mshindi wa kinyang,anyilo hicho huyu jamaa alionekana akigawa sana hela na ndipo nikajiuliza je huyu ndio mtu anaevaa skafu za taifa akidai ni utaifa
  12. K

    Madiwani wasaliti Arusha wanusurika kupewa kibano maeneo ya OTTU leo

    Hongera sana arusha kwa ushujaa na uhodari wa kuweza kuwakataa wale wote wanaokuwa wasaliti hilo ni fundisho kwa wote wabaya na kiukweli ingekuwa uyema kama wangepewa kichapo cha maana ili wakauguze vidonda hospitali
  13. K

    Elections 2010 Tofauti kati ya CHADEMA na Vyama vingine

    Chama makini na chenye watu makini ndio hufanya maamuzi makini kama chadema na ni ngumu sana kwa chama kama magamba kufanya maamuzi magumu kama haya ya chadema kwa kuwa kama magamba watachukua maamuzi magumu ina maana kuwa hakutakuwa hata na rais kwani hata yeye yupo ktk wale watu waliodaiwa...
  14. K

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    Hongera sana kamati kuu kwa maamuzi ambayo wananchi wote wapenda mabadiliko tulikuwa tukiyatazamia,ushauri wangu kwa viongozi wangu wapendwa wa kamati kuu ni kuwa ni heli tubaki na madiwani kumi ambao watatetea ukweli na sio mamia wasaliti kama wa arusha,hiyo ni picha tosha kwa magamba kwamba...
  15. K

    Naamini kabisa kuwa Ngeleja na Jairo ingekuwa China wangesha nyongwa siku nyingi!

    Mimi nafikiri kuwa watanzania tunatakiwa tuchukue hatua kwa hili kwani kila mtu anafanya anavyotaka,ni kwa nini sisi wote tusiungane kwa maandamano hata njia zingine tudai uhuru wetu ili viongozi wawe na uoga wanapotaka kutusaliti.
Back
Top Bottom