Search results

  1. S

    Natafuta chuo kinachofundisha Aircraft Mechanical Engineering Canada

    Wadau mnaendeleaje, Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake ikiwezekana. Asanteni
  2. S

    Feel great again program

    Nimekuwa napata matangazo mengi kwenye simu yangu kuhusu hii feel great again program inayozungumzia kupata unafuu mkubwa wa maradhi ya kisukari na mengine yasiyoambukiza. Kama kuna mwenye ufahamu wa hii program zaidi tujuzane tafadhali.
  3. S

    Master in Computer Security online

    Wanajamvi habari za leo, nataka kufanya Masters in Computer security online, nimepata collage moja ipo spain inaitwa tech technological university, wapo nchini spain na wamekuwa wakinipigia simu mara kwa mara ili nijiunge nao. Sasa kabla sijafikia maamuzi naomba ushauri kwenye hili jambo kama...
  4. S

    Kununua bonds Canada au United States

    Fuatia kichwa cha habari hapo juu, nataka kujua kuna uwezekano Mtanzania aiishie hapa TZ anaweza kununua bonds za nchi kama Canada au United States? Kama kuna mtu mwenye ufahamu, naomba atujuze nasi tuwekeze kwa wenzetu wageni wanavyowekeza katika nyanja mbalimbali hapa kwetu.
  5. S

    Uwekezaji kwenye biashara ya dhahabu

    Natumaini wote tu buheri wa afya, na kwa wale wenye changamoto basi Mwenyezi Mungu awape wepesi warudi kwenye afya njema. Ninafikiria kuwekeza kweye madini ya dhahabu yaani niwe nanunua kuwekeza benki kisha kuuza baadaye, changamoto niliyonayo ni wapi naweza pata hiyo dhahabu kwa uhakika maana...
  6. S

    Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products

    Habari za leo wanajamvi, tunamshukuru Mungu kwa yote anayotutendea. Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products nimefuatwa na ndugu yangu mmoja akinishawishi nizinunue kwa ajili ya matumizi ya Mzee wangu ambae anashida ya kupoteza kumbukumbu. Naomba...
  7. S

    Tatizo la kuvimba uso wakati wa asubuhi

    Wandugu habari! Mzee wangu ameanza tatizo la kuvimba usoni kila asubuhi kwa wiki tatu sasa na baada ya muda mfano saa nne asubh kuendelea anakuwa powa! Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna mtu anafahamu hii hali, kwa sasa Mzee yuko kijijini nategemea kumfuata weekend hii ili tuwaone watu wa...
  8. S

    Kilimo cha miwa Kilosa

    Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kikazi, nimepatwa na wazo la kulima miwa pale Kilosa kwa ajili ya kuuzia kiwanda cha Mkulazi kwa ajili ya kutengeneza sukari. Nimepata shamba la heka sitini ambalo nina mpango wa kulinunua, nakuja kwenu kujua kama kuna mtu aliyewahi kulima au kusikia juu ya...
  9. S

    Biashara ya kuzalisha misumari

    Wana Jamiiforums habari za kushinda! Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na kufunga kama kiwanda kidogo. Najaribu kufungua ukurasa mpya wa kuwa mjasiriamali baada ya kuhangaika...
  10. S

    Nahitaji kufanya biashara ya kuuza sukari kwa ujumla

    Wandugu habari za siku, Ninafikiria kufungua biashara ya kuuza sukari kwa jumla, naamini ni bidhaa inayotumiwa na watu wengi kila siku na uhitaji wake hauna shaka, kwa yeyote mwenye ufahamu au anayejuwa changamoto zake naomba mawazo yenu.
  11. S

    Sijamuelewa mke wangu

    Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda...
  12. S

    Natafuta Mwalimu wa Chekechea

    Waungwana habari za mwaka mpya, Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE. Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema
  13. S

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili la dhamana ya UTT

    Wapendwa salaam! napenda kujuwa mtu anapokuwa na dhamana ya fedha za UTT mfano bond za 300m anaweza tumia hiyo Kama colleteral kwenye taasisi za fedha? au UTT inaweza ikakupesha kupitia dhamana hiyo?
  14. S

    Naishauri Azam inunue timu ya Pan Africa na jina liwe Azam Pan Africa

    Ndugu wanamichezo wenzangu, nimefikiria na kuja na wazo kuhusu timu ya Azam, kama itawezekana basi viongozi wa Azam wafikirie kuinunua timu ya Pan Africa na jina la timu iwe Azam Pan Africa. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba Pan Africa bado ipo na ina mvuto lakini uwezo wa kujiendesha...
  15. S

    Tatizo la kupoteza kumbukumbu

    Nawasalimu na kuwatakia afya njema, naomba kujuzwa mzee wangu mwenye umri wa miaka 83 amepata hali ya kupoteza kumbukumbu hii haijitokezi mara kwa mara, anasahau mambo yanayotokea muda huu kama vile kukumbuka mtu aliyekuja na kuondoka baada ya kumsalimia lakini vile vya zamani vyote anavikumbuka...
  16. S

    Naomba kujuzwa tiba ya ugonjwa wa Parkison

    Habari wa ndugu naomba msaada ndugu yangu amepatwa na ugonjwa wa parkison naomba kwa anayejuwa tiba au jinsi ya kumsaidia, nawakilisha kwenu tafadhali
  17. S

    Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

    Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la serikali ya muungano Tanzania. Nipo kwenye mjadala mzito na mke wangu kuhusu hii mifuko ya UTT. Tumepata pesakiasi Fulani baada ya KULIPWA fidia na Sasa nimemshauri tuwekeze kwenye bond ya utt, tatizo anatishika kuwa huko ukiweka fedha siku ukizitaka kupata...
  18. S

    Msaada wa kupata dawa hii iliyogundulika ya kutibu cancer

    Ndugu wapendwa nawasalim!!!!! Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu...
  19. S

    Shule ya Aircraft Engineering nchini Canada

    Ndugu zangu habari za leo! Mwanangu anapenda kusoma Aircraft Eng, ningependa kupata msaada kama kuna wadau wanaweza kunipa input yeyote kuhusu vyuo vya canada ili niweze kujiandaa na kufikia lengo lake. Nasubiri msaada wenu!
  20. S

    Nilichukua maamuzi magumu

    Ndugu zangu, katika maisha kuna wakati tunapitia changamoto mbalimbali za kimaisha ikiwa pamoja na mapenzi.Nilimpenda dada mmoja kwa dhati kabisa, lakini upendo toka kwake ulikuwa kama wakulazimisha hivi, maana wakati mwingine unamuona online ukimtumia msg hajibu au anachelewa sana ukiona...
Back
Top Bottom