Search results

  1. peace lady Tz

    Ushauri kuhusu kuhama chuo......

    Jamani msaada wenu wana jf kwa anayefahamu jinsi ya kuhama chuo. Mim ni mwanafunz Wa UDOM mwaka Wa kwanza nataka kuhamia mwl nyerere, Sababu kuu ya kuhama Mama yangu ni mgonjwa sana nahitaji kuwa naye karibu coz hakuna mtu wa kumhudimia nyumbani, je kuhama kwa semista ya kwanza inawezekana au...
  2. peace lady Tz

    Ushauri huhusu kozi ya bachelor of education in Early childhood

    Habari zenu wana jf mm Nina Mdgo wangu amechaguliwa Udom bachelor of Education in Early childhood, naomba ufafanuzi kwa anayeifahamu vizuri hii coz kuhusu ajira zake na changamoto zake pia na je ni kozi nzurii ya kusoma? au akifika chuoni abadilishe tu asome coz nyingine...???? Asanteniii....!
  3. peace lady Tz

    Ushauri kuhusu kozi ya Records management ngazi ya degree

    Habari zenu wana jf naombeni ushauri Wa kozi hii ya Records management. nimechaguliwa coz ya recods katika chuo cha utumishi Wa umma ngazi ya degree kwa anayeifahamu naomba anielezea upatikanaji wake Wa ajira upoje na changamoto zake, je ni kozi nzurii ya kusoma au la?
  4. peace lady Tz

    Hodi humu jamani....!

    Habari zenu wana jf mm ni mgeni humu ndani naombeni ushirikiano wenu
  5. peace lady Tz

    Jamani naombeni ushaurii coz ya records na logistics and transportation IPI angalua ina soko

    Jamani ushaurii wenu mm nimechaguliwa vyuo viwili tofauti na coz tofauti, nmechaguliwa chuo cha utumishi Wa umma coz ya records management pia nmechaguliwa Nit coz ya logistics and transportation. Naombeni ushaurii wenu nichague coz gani ya kwenda kusoma kati ya hizo na ni coz IPI ambayo angalau...
Back
Top Bottom