Search results

  1. fabinyo

    Imebidi nihamie kwangu ghafla kumkwepa mdada kausha damu

    Hivi tunasemaga humu ishu za single maza mnaonaga ni masihara sio?Bora umeamini lkn
  2. fabinyo

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Shida zina tabia ya kurudi,umeisha jua ni mtu wa aina gani..as long as ulijionea hali ya mtoto,ukajitoa basi moyo wako uwe mweupe na achana nae. Ingekuwa kakupiga hela hapo ningekushauri aitapike.
  3. fabinyo

    Mchumba wangu ana karama ya unabii, ananitisha!

    Sasa uwe makini kwa nini wakati yupo?Wewe kabla ya jambo,ni kumwambia akuangalizie.
  4. fabinyo

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    safi,una nikumbusha huu uzi...Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua
  5. fabinyo

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Jobwelldone.Ndio dawa yao. Unautulivu mkubwa na Subira Katika kupanga jambo. Na unajua kusimulia kwa namna isiyochosha
  6. fabinyo

    Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

    oa haraka sana huyo. Huyo hata tundu la kuingiza mkishaoana labda wewe ndio umstue
  7. fabinyo

    Msaada: Injini imejamu ghafla

    Ingine G16?Gari zishachoka hizo gari..zina miaka karibu 30 sasa sokoni. Tafuta msukuma mmoja muuzie au ufugie kuku. Nunua toleo jingine
  8. fabinyo

    Mke wa mtu kaniletea msala

    Mda wa wewe kuliwa mtandao pendwa wako umefika. Tembea na mafuta ili usidhurike sana
  9. fabinyo

    Mercedes Benz - C Class Sedan C220 limenyopa tayari

    Wakati tunakushauri ununue Toyota si ulisema unataka kuwa 'unique'?Haya sasa kiko wapi?😃
  10. fabinyo

    Kazi na maisha

    Ndugu hizo tabia za kizungu kizungu zitakuumiza. Unamika mingapi?Ni ke wewe?Chukua likizo kakae na wazazi wako upumzike. Sasa we acha tu hiyo kazi uje ukumbane na moto wa mtaani,utawehuka nakwambia.
  11. fabinyo

    Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

    Kudate na pisi za Ar uwe na kifua. Hawakoleagi viungo kirahisi.
  12. fabinyo

    Toyota Crown Japan Ni taxi

    Sa ukienda Dubai ndio utalia. Lamborghini ni ya kufukizia wezi. Yaani ndio Difenda yao
  13. fabinyo

    Wavuvi wa samaki wana shida gani mbona hawatajiriki?

    Pesa sio yao... huwa inaenda kwa "kiti"
  14. fabinyo

    Kwanini NMB wanapenda kupangisha foleni

    Bora wewe,me kuna siku nimekaa saa nzima na mbele yangu walikuwa watu wanne tu kwenye foleni. Nadhani moja ya sbb wafanyakazi wao ni wazee,hawana kasi kbs.
  15. fabinyo

    Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

    Kuna uzi niliuanzisha humu miaka kadhaa nyuma. "Je unamfahamu nani humu JF nje ya JF"?Ule uzi ulifutwa na moderator maana watu walianza kufunguka
  16. fabinyo

    Wazoefu wa mambo ya familia nipeni ushauri

    ....ushaumia,wahi haraka kutoka. Usikute hata watoto wengine ni wake
  17. fabinyo

    Tunauza Water pumps za Solar

    Hiyo ya kudumbukiza,2hp ni inch ngapi na inapandisha mita ngapi kwa kispma cha mita 100 chini??Gurantee mda gani?Ufanisi wake kwenye mikoa ya mvua/baridi ukoje maana jua wkt mwingine ni adimu.
Back
Top Bottom