Tamasha za Iddy,
Idi za Waislamu ni mbili: Idi ya Fitri baada ya mwezi wa Ramadhani na Idi ya Adh›ha baada ya siku ya Arafa. Na Mwenyezi Mungu Ametupa Idi hizo ziwe ni badala ya Idi za kijahilia na kila idi yenye kuzuliwa.
Anas bin Malik t amepokewa akisema: «Watu wa Jahilia (kabla ya Uislamu)...
Ni mradi unaohusiana na kuwepesisha mafunzo ya hukumu mbali mbali ya Uislamu kwa lugha mbali mbali, kwa lengo la kueneza Uislamu ulio sahihi kwa waislamu. Mradi huu unajumuisha kitabu chenye picha kuhusu hukumu mbali mbali za Uislamu, ndani ya kitabu hiki kuna milango mitano nazo ni: a) Twahara...
Kutawadha: ima ni lazima na ima inapendekezwa:
a. Ni lazima kutawadha kwa mambo matatu
1. Kuswali
Mwenyezi Mungu U Anasema: {Enyi Mlioamini! Mnapo simama kwa ajili ya swala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni} [5...
SWALI: Assalaam alaykum. My dear brothers. My question is.is it possible to my Sunnah prayers, while reading the suraz by holding the holly Qur'aan in my hand? I did not memorize those suraz, I would like to know if it is possible. Asslm alekum. Niliuliza suali,kusoma qurani katika sala kwa...
SWALI: ASALAM ALAYKUM, SWALI NI HIVI, KWENYE SWALA YA DHUHA KUNA DUA MAALUM INAYOTAKIWA ISOMWE? NAOMBA MSAADA WENU.
JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na...
Maana ya hedhi
Hedhi kilugha
Ni kitu kutiririka na kupita
Hedhi kisheria
Ni damu inayotoka kwenye uzao wa mwanamke katika muda maalumu bila yasababu
Namna ya damu ya hedhi ilivyo
Ni nyeusi kama kwamba imechomeka kwa weusi wake mwingi, yaumiza, ina harufu mbaya, mwanamke akiwa nayo huhisi joto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.