Search results

  1. N

    Jinsi ya kuona mwezi/miezi (How to see moons)

    Jambo kwenu wanaJF. Niende moja kwa moja kwenye maada,ifahamike ya kwamba huu mwezi tunauona unang'ara angani haupo peke yake kuna miezi mingi mingi tu (nimesahau idadi kamili),ila ni zaidi ya sita. Ukitaka kuona mwezi/miezi (moons) fata hatua zifuatazo na zoezi hili lifanyike wakati wa jua...
  2. N

    Kumbuka kufanya maandalizi ya Maisha(Stori ya Kweli)

    Habari zenu wanaJF Tunakumbushana tu kufanya maandalizi ya maisha mapema katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii,hii itasaidia kutujengea mihimili thabiti na imara kwa mapambano yanayokuja. Niwatakie mwisho mwema.
  3. N

    Nimeambiwa haya kuhusu siri za namba 666 AU 616

    Habari zenu wanajamvi wa JF,leo kwenye kupita pita kwangu kwenye magrup mbali mbali ya watsap nimekutana na hii mada ambayo nilikuwa na hobi ya kuijua toka kitambo sana,nimeleta huu uzi hapa kwenu wanaJF ili tuweze kupata taarifa zaidi kama maelezo haya ni ya kweli au vipi,mimi nimefanya kucopy...
  4. N

    Je, Facebook ni wadukuzi...?

    Habari zenu wadau wa JF,moja kwa moja niende kwenye mada husika,kama tunavyojua na kufahamu kuwa Facebook ni moja kati ya mitandao ya kijamii muhimu sana katika dunia ya sasa,licha ya hivyo mtandao huu umekuwa ukitumia taarifa zilizo kwenye simu ya mtu hususani majina ya watu au namba za walio...
  5. N

    Hello

    hello
Back
Top Bottom