Search results

  1. E

    jumatatu.j'nne....hadi j'pili zilitungwa na nani?

    nmekupata marejesho ila si kila mtu yuko tz na pia si kila mtu anaudhuria kanisani au msikitini,kwahiyo ukifanya kama faiza anavofanya kutufunza yale ayajuayo juu ya mada inasaidia sana,kwa ujumla jamii inanufaika. Kama unaweza tuelezee ni nini mnafundishwa kama kina uhusiano na mada hapo juu...
  2. E

    jumatatu.j'nne....hadi j'pili zilitungwa na nani?

    mh marejesho naomba reference ya hayo majina nikajisomee.kwa hiyo kwenye hicho kitabu hakuna januari mpaka desemba?unafahamu zilitoka wapi na maana zake? JF elimu tosha kwa kweli
  3. E

    jumatatu.j'nne....hadi j'pili zilitungwa na nani?

    kongosho ingia kwa kweli mana kuna dakika,saa,siku,mwezi hadi mwaka wa kila tukio iwe nila kufa au kuzaliwa au kupata pesa.sasa tusipojua haya majina majina chimbuko lake nahisi ndo tunadondokea kwenye majira ya mitego mibaya.yani unakuwa km umewekewa fence flani.information is power.elimu haina...
  4. E

    jumatatu.j'nne....hadi j'pili zilitungwa na nani?

    asante faiza,kwa kifupi nmeelewa kwamba hizi siku mizizi yake iko kwenye kiarabu au yako kiislamu zaidi.nmeona kwenye kitabu cha neno la Mungu cha kikrsto kimeandika siku ya kwanza,ya pili...mpaka ya saba sasa nkapata wasiwasi kuhusu uwepo wa jumatatu hadi jumapili.vilevile kwenye miezi...
  5. E

    jumatatu.j'nne....hadi j'pili zilitungwa na nani?

    bijou elf miaka ilitokana na jamaa alinambia miaka elfu moja kwa Mungu ni siku moja.alinambia ataniambia imeandikwa wapi ila sjamfatilia.
  6. E

    jumatatu.j'nne....hadi j'pili zilitungwa na nani?

    habari!hivi hizi j'tatu-j'pili zilitungwa na nani na zina maana gani?mana naona kama kuna majina ya watu kwenye hizo siku mfano juma,tatu,pili,ali,hamisi n.k.vile vile kwa kiingereza monday-sunday. Vile vile hawa kina january-december walitokea wapi kwa ujumla? Nisaidie unachofahamu kwa...
  7. E

    Tumjadili mume *****.

    angel msoffe-lengo lako ni nini hasa kabla sjachangia?ni kumfanya mumeo ***** au ni nini hasa! Mana uliza wazazi ***** pia mana huwa wanafarakanisha mwanamke na mumewe na wanafanikiwa wala haiwekewi vikao. Labda ungeweka mwelekeo ili watu waufuate hali wakijua wanaijenga jamii au wanaibomoa...
  8. E

    Nauliza wakuu wenzangu je jina lako lipo sehemu gani katika mwili wako?

    mzizi mkavu mi nafikiri halipo katika sehemu yoyote ya mwili bali inaweza kuwa identification ya nafsi yako.si unajua nafsi huwezi kuishika.namaanisha anaekuwa kwenye hii kitu tunaita mwili ambae ni nafsi+roho inayobeba taarifa za mambo unayofanya.jina ni kama roho halifi.mwili ukifa jina...
  9. E

    Je wajua jinsi wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume?

    sina research nlofanya na staki kuhukumu wanawake kwa matatizo yanayowapata wanaume.wanawake wameshabeba matatizo ya kutosha.ila wazo langu ni kwamba itakuwa ni vema tu likiwakumba wengi especially wale wenye tamaa na kupenda hayo mambo kupita kiasi mana itasaidia kupunguza maambukizi na...
  10. E

    Msaada , internet/online business!

    wazo lako zuri analitk.tungoja wny ujuzi wakushauri ila mi nnachoweza kukwambia inabidi we mwnyw uwe mbunifu km unataka kutumia internet mana siku hizi ubunifu ni mwingi mno mpaka nahisi kuna watu watavuliwa ajira bila wao kujua.nmecome across information zinazowaelezea hawa jamaa wa br...
  11. E

    Wapendwa mnisaidie how to move on,nataka kumdelete mme wangu parmanently

    pole sana dada.ila usikate tamaa haraka ww jasiri bwana mpaka umeweza kuzaa manake ww ngangali usikubali makahaba wakushinde.km neno la Mungu unalijua kwann usilitumie?ile item anayoenda kutumia ni mali yako kwann usiifungie kwa maombi?akitoka anatoka km alivo akijifanya kwenda kuchombeza...
  12. E

    Online Shopping and Shipment

    ila matapeli kwenye mtandao ni wengi siku hizi jitahidi kuwa makini na njia yeyote utakayopata
  13. E

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Wizara ya Kilimo ingekupa the right answers au wakulima wenye experience au ajiri afisa ugani.
  14. E

    Kuanzisha Business Bongo & Mozambique

    dizbap na kuhusu majanga yanayoikumba mozambique inakuaje hapo?wana mipango gani kuyadhibiti?mana nchi ile wawekezaji wengi wakubwa nahisi wanaiogopa kwa ajili ya hofu ya natural disaster,huwa ikipiga inaharibu sana na kuwaacha wananchi ktk hali ngumu
  15. E

    Wapi nitapata mashine za kutengeneza clay bricks ( tofali za udongo mfinyanzi)

    jaribu kuwacheki hawa jamaa wa pale millenium bsns park 0654-910708/0772-714679 mayb watakuaidia
Back
Top Bottom