Search results

  1. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wapi parimatch anaanzia over 4.5 Kona bahadhi ya timu
  2. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wapi othuman kimya Sana jaribu bc kuandaa mkeka wa wiki nzima au cku 10 hata cku 14 Nina Iman unaweza kutoa badala kutegema wa cku 3 kawaida ijumaa hadi j2 kunakuwa na matokeo ya kikatili Sana badala yake kila cku iwe na timu 5 au 7 tu Nina uhakika inaweza kutufikisha tunapo paitaji
  3. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na huo ndo ukweli alafu unatafuta app pia zenye option nzuri mfano cona y/card on target unacheza bila pressure kabisa odds 1.5 yakufikia shida watu wengi tume kalili sportbert na pawabert hizo ni nzuri kwa matreni tu Kama mm huwa nacheza kujifulahisha tu kwa pesa niliokula kwingine ili...
  4. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nisaidie jinsi ya ku join mi inagoma kuweka no ya cm inagoma kwenye code ya tz
  5. rweyy

    Sababu 7 za kwanini Simba SC hawato kuwa mabingwa wa Ligikuu msimu 2023/24

    Dah unetisha Simba Aina mfungaji bora Haina kiongozi wa mabeki umesahau ndo timu iliyofunga magoli mengi na kufumgwa machache kuliko zote misimu Jana kuondoka kwa wachezaji hakuna mpka ss mchezaji wa kikosi Cha kwanza alieondoka mpka ss
  6. rweyy

    Majibu ya Serikali Kuhusu Vitambulisho vya NIDA Vyenye Ukomo na Visivyo na Ukomo

    Yaan mm tangu 2019 mpaka Leo kitambulisho bado tu najiuliza inapofikia mtu kumpa no Mana yake mchakato umekamilika Ila wao ss eti nlipewa no kitambulisho mwaka wa nne ss hakijatoka
  7. rweyy

    Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

    Mi Wala sishangai takwimu zilizopita Simba na yanga zilizidi man u Hawa (IFFHS) Takwimu zao wanazojua wenyewe
  8. rweyy

    Natafuta mafuta ya samaki au Pamba

    Mbona mengi Kanda ya ziwa ww uko wapi
  9. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inawezekana hapo anatafta bonus mbaya kaweka 200 angetia ten hapo 1ml angepata
  10. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Halo kuna dogo mtaani kwangu kafiwa msiba uko mkoani nauli ya kwenda kwao na kurudi ni Kama laki na nusu alikuja kwangu j moc kuniambia kafiwa Ila Hana nauli nka mwambia dogo mi kwa ss Hali tee yeye akadai anataka 2000 tu itamusadia nkaona isiwe shida nakmpa j2 ananipigia Kisha panda gari...
  11. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakala wa kanji awe anatoka mkeka 1 au 2 kwa siku acheni hizo bhana msikatishe watu tamaa kila mtu anajua Mana ya betting
  12. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii code mbona inagoma au ni kampuni gani
  13. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante alafu andaa ile ya over 0.5 weekend tayari
  14. rweyy

    Nawezaje kukuza kipato nje ya ajira?

    Kwa Kanda ya ziwa nunua eneo weka mbuzi 500 wale wadogowadogo utawapata kwa ellfu 25 sawa na ml 25 alafu kwa mwaka utaweza kuuza mbuzi 250 kwa laki 1 sawa na 25 ml galama ya mchungaji na sawa 5 ml unaweza Baki 20 ml kila mwaka
  15. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kitu bandia Asante Sana uliposema Zina huakika wa kutoa over 2.5 mi nakaweka gg zmetoa zote odds 886 shida ss nme stake sh 100 na meshi zlikuwa 10 zinaanza muda mmoja asa
  16. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazi zuri Sana Ila Chelsea isiwemo Mana utachanika
  17. rweyy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unatupa kihoro wengine ujue inabidi nizime data tu nisubiri matokeo
Back
Top Bottom