Search results

  1. gizalucky

    Kitendo walichonifanyia mwaka jana pale Cinemax. Kweli hawataenda Mbinguni mpaka leo nina jeraha kubwa sana

    Tupe total damage ilikuweje bei gani [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. gizalucky

    Kijiwe cha bajaji

    Vibali vya Bajaj huwa gharama yake ni shs ngapi..?
  3. gizalucky

    Swali: Biashara ya betting. Mtaji na faida?

    Biashara ya betting imekuwa kwa kasi sana miaka ya hivi karibuni. Napenda kuuliza kwa anayejua inaingiza shs ngapi kwa mwezi. Na kawaida mtaji wake ni bei gani?
  4. gizalucky

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Agiza bidhaa from China, nicheck PM
  5. gizalucky

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nanunua kuku wa kisasa tshs 5000
  6. gizalucky

    Zingatia haya kabla na siku ya kupiga kura 25.10.2015

    Leo 23/10/2015 kesho 24/10/2015
  7. gizalucky

    KOMBORA za Mwisho Kuanza Kurushwa Oktoba 01

    We have decided already
  8. gizalucky

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Hivi maisha bora maana yake nini?? Labda hatujaelewa maana ya huo msemo.
  9. gizalucky

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Kwa miaka mingi tumeshuhudia wazee wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwishoni wa miaka ya 1970 wamekuwa wakilalamikia kutokulipwa mafao yao ya kustaafu. Sasa ni takribani miaka 40 toka jumuiya hiyo ivunjike. Wazee hawa wameendelea kulalamikia serikali za awamu...
  10. gizalucky

    Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    Hao lazima wakulipe fidi Dr Lwaitama tena kubwa ili waheshimu RAIA/ abiria otherwise tutanyanyasika sana RAIA wema
  11. gizalucky

    Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa muda mrefu.

    unapata chunusi usoni za kufa mtu..maana yake nyingi
  12. gizalucky

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    JHPIEGO hawana majungu....ukiwa na qualifications kazi ni kwako kwenye interview. People you have to be smart. Dont keep on blaming things which you make up from your minds....All the best anyway
  13. gizalucky

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    jhpiego hawana hizo...me nilipata kazi kwao na sikuwa namjua mtu yoyote...kazi ni qualifications zako na unavyojiexpress...nothing more kwa hiyo ndugu kaza buti
  14. gizalucky

    Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

    huyo ni kilaza
Back
Top Bottom