Search results

  1. Wazolee

    Ukweli ni kwamba TANESCO wanakera kama inavyokera timu yetu ya Taifa

    Tanesco kadiri siku zinavyokwenda ndio wanazidi kuwa sugu Yani Sasa hivi wanakata kata tu umeme bila ya sababu yoyote Nesema bila ya sababu yoyote Kwa sababu sisi kama wateja wao hawajatuambia chochote Kwa Nini wanakata kata umeme Yani Kwa Sasa huku kwetu umeme kuwaka ni kama bahati mbaya ila...
  2. Wazolee

    Hawa wanaojiita waisrael Kwa Sasa sio waisrael original ila Wapalestina ndio waisrael original ushahidi wa kisayansi umeonyesha hivyo

    Dr. Areilla Oppenheim katika Chuo Kikuu cha Hebrew huko Jerusalem, alifanya uchunguzi wa kina wa kwanza wa DNA mnamo 2001 ya Waisraeli na Wapalestina, na akahitimisha kuwa wahamiaji kwenye meli kwenda Palestina kabla ya kuwa Israeli walikuwa wa Mongol 40% & waturuki,40% genome... hapakuwa na...
  3. Wazolee

    Muujiza wa mtume Muhammad wa kupasua mwezi vipande viwili wathibitishwa

    Mtume Muhammad s.a.w alifanya muujiza wa kupasua mwezi vipande viwili baada ya makafiri wa Maka kumtaka afanye hivyo Ili kuthibitisha kama kweli yeye ni mtume wa Mungu HU MUUJIZA QURAN IMEGUSIA KIDOGO TU Qurani 54:1 Saa imekaribia, na mwezi umepasuka! 54:2 Na wakiona Ishara hugeuka upande na...
  4. Wazolee

    Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania mjitathimini, watu wanadanganywa kuwa kamali ni chanzo cha ajira na mtaji na nyinyi mpo kimya tu

    Sikuhizi Kila station ya radio utakayosikiliza imejaa matangazo ya kamali na kibaya zaidi katika matangazo yao wanashawishi watu kuwa watafute mitaji Kwa njia ya kucheza kamali na nyinyi Bodi ya michexo ya kubahatisha mnasikia ila hamuwakatazi Pale uwanja wa maonyesho mmewaka kabisa tangazo...
  5. Wazolee

    Waziri wa viwanda na biashara alitoa vibali vya kuingiza Mchele. Huo Mchele umeshafika au bado maana hakuna mabadiriko sokoni

    Baada ya Mchele tuliolima wenyewe hapa nchini kupanda bila ya sababu za msingi waziri wa viwanda na biashara alisema atatoa vibali vya kuagiza Mchele uje nchini na kupunguza makali ya bei ya bidhaa hiyo. Lakini Cha kushangaza ndio imekuwa kimya na Hadi Sasa haieleweki huo Mchele umeshafika au...
  6. Wazolee

    Kama Hayati Magufuli alitumia Udikiteta kuanzisha ujenzi wa bwawa la Nyerere basi udikiteta ndio njia nzuri ya kuongoza

    Wakati hayati Magufuli anataka kuanza ujenzi wa bwawa la Nyerere yaliibuka makundi mbalimbli kupinga ule ujenzi. Waliibuka watu wa mazingira, Waliibuka watu za haki za wanyama, Waliibuka watu kimataifa. Lakini hayati Magufuli aliziba masikia akasema lazima lijengwe na kweli ujenzi ukaanza.
  7. Wazolee

    Wakurugenzi wa wilaya za Dar wamulikwe Kwa hili la kupandisha ushuru wa takataka Kwa wenye maduka mitaani

    Kwa Sasa kilio kikubwa Cha wananchi mitaani hususani wafanya biashara wenye maduka ni kupanda Kwa ushuru wa takataka kutoka tshs 2000 Hadi 5000, 10000 na wengine 20000 Kwa mwezi haijalishi unazalisha taka kiasi gani Wife ana duka la vitambaa maeneo ya Mbagala mfuko wake wa takataka unaweza...
  8. Wazolee

    Watoto waliosoma English media na kupata ufaulu wa juu hawajapangiwa kuenda secondary za vipaji za serikali hi sio haki

    Niliwahi kusikia hapa Dar Kwa Sasa Kuna shule za secondary za vipaji na za ufaulu wa kawaida ni jambo zuri kuwaweka watoto wenye uwezo kiakili pamoja hata kazi za walimu zitakuwa rahisi japo hizo shule sizijui ila nahisi itakuwa BENJAMIN,JANGWANI,AZANIA,FORODHANI, KIBASILA na nyingine kama hizo...
  9. Wazolee

    Mchele tumelima wenyewe bei inapanda kutoka 1000 hadi 4000 ukiwa ghalani tuliokuwa hatujui maana ya mfumuko wa bei ndio tumejua

    Mchele umelimwa kilombero na kyera na kuhifadhiwa katika maghala yetu Kila siku unapanda bei ukiwa bado upo ghalani umetulia tu kutoka 1000 kwa kilo hadi 4000 sijawahi ona kitu kama hiki Nilikuwaga najua mfumuko wa bei huwa unasababishwa na vitu tunavyoagiza kutoka nje kumbe hata vya kwetu...
  10. Wazolee

    Inasikitisha sana Marekani yapitisha Sheria ya kuruhusu na kuheshimu ndoa za jinsia moja

    Kwa kweli hi hali inatisha na inashangaza sana sijui hi Dunia itakuwaje kwa vizazi vya kesho Maana Sasa tutashuhudia nyimbo na movie nyingi zikihamasisha haya mambo (CNN)President Joe Biden signed into law Tuesday landmark new federal protections for same-sex and interracial couples, capping...
  11. Wazolee

    Kumbe bado tunategemea umeme wa maji kwa 90% Sasa mbona tunasaini mikataba ya kuuza Gasi nje ya nchi

    Hi nchi ina vituko sana tunasaini mikataba ya kuuza Gasi nje wakati sisi wenyewe haijatutosheleza Sikuwahi kufikiria kama mabwawa ya maji yakikauka hata Dar itakosa umeme maana gasi zote za mtwara na songo songo zimeletwa hapa Dar es salaam Hivi kweli serikali ya Tanzania imeshindwa kuweka...
  12. Wazolee

    Bodi ya mikopo elimu ya juu kuwanyima mikopo waliyosoma private sio sawa huo mkopo ni haki ya Kila kijana wa kitanzania

    Serikali inatakiwa imshukuru mzazi ambaye amemsomesha Mtoto wake private kuanzia darasa la kwanza hedi kidato Cha sita kwa sababu ameisaidia serikali ukweli ni kwamba watanzania wote wakipeleka watoto wao shule za serikali madarasa yaliopo na resources zingine hazitatosha Sasa badala yakupewa...
  13. Wazolee

    Nimefuatilia sana hii ajali ya ndege ya Bukoba ila sijaona mawasiliano kati ya rubani na muongoza ndege aliyeko uwanjani wakati ndege inataka kutua

    Ajali nyingi za ndege huwa zinakuaga na story nyingi sana na story ya muhimu kabisa ni ile ya mawasiliano kati ya rubani na waliopo chini hususani kwa ndege zinazoanguka jirani na uwanja mda mfupi kabla ya kutua au kupaa Kuna mtu aliwahi kunipa story ya ndege ya jeshi iliyoanguka jirani na...
  14. Wazolee

    Ebu tuwe wakweli bei za nafaka kupanda anataidika nani wakulima au wafanya biashara?

    Kuna viongozi nilisikia wanasema eti sio mbaya nafaka zikiuzwa nchi jirani bei ya juu ili wakulima wafaidike Ukweli nikwamba hakuna mkulima anayefaidika na hili wanaofaidika hapa ni wafanya biashara maana wakulima huwa wanauza mazao yao kipindi cha msimu wa mavuno tena Kuna wengine wanauza...
  15. Wazolee

    Umefika wakati kuweka kifungu cha sheria katika Katiba cha kunyonga mafisadi

    Hi nchi tunachekeana sana ndio maana mtu anapewa dhamana ya kusimamia mali za umma anafanya madudu kwa kujua kuwa hatafanywa kitu chochote. Dawa pekee ni kuwa na sheria ya kuwanyonga watumishi wa aina hii kuwa fukuza kazi pekee sio dawa mtu ameshaiba one au two B sasa ukimfukuza kazi ndio nini...
  16. Wazolee

    TRA sasa mmeanza kuingiza siasa katika taaluma yenu, yani mkusanye kodi ya pango kupitia mpangaji badala ya mwenye nyumba?

    Hii nchi inavituko sana kwa hiyo TRA mmeshindwa kupita mitaani kuzisajili nyumba zote zinazofanya biashara na kuamuru wamiliki wa nyumba hizo walipe kodi ya pango badala yake mnataka mkusanye kodi hizo kupitia wapangaji, hichi ni kichekesho! Eti kifungu cha sheria (82)2(a) kinamtaka mpangaji...
  17. Wazolee

    Rais Samia mchukue mama Anna Tibaijuka awe mshauri wako na rafiki yako atakusaidia sana

    Niliangalia interview yake Azam TV last week nimegundua huyu mama Anna Tibaijuka yupo vizuri sana katika mambo mengi. Endapo muheshiwa Rais utamfanya huyu mama awe miongoni mwa washauri wako atakusaidia sana. Alafu nilivyomuona huyu mama ameshakaliza yani hana tena cha kuhitaji wala cha...
  18. Wazolee

    Hayati Magufuli alituvusha salama janga la UVIKO, sasa ni zamu yako Rais Samia kutuvusha salama katika hili janga la vita vya Ukraine

    Hayati Magufuli alisimama kidete na kufanikiwa kutuvusha salama katika janga la Corona huku dunia mzima ikimshangaa na kumuona punguani lakini yeye alisimama katika kile anacho kiamini. Alisema no lockdown pigeni kazi tukawa tunadunda katika mitaa ya Congo na msimnazi na visanitaza vyetu...
  19. Wazolee

    Hizi coins za 500 zinatia shaka, Mungu liongoze taifa letu na uchumi wetu katika njia sahihi

    BOT ongezeni umakini katika hili isiwe wale wazee wa kufyatua wameanza tena Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
  20. Wazolee

    Siku ile Serikali inatangaza kuongeza mshahara walisema wanaongeza 23.3% kwa kima cha chini

    Uhuru wa kuongea ukizidi sana unachafua hali ya hewa. Serikali ilisema itaongeza mshahara kwa 23.3% kwa kima cha chini na hao watumishi wa kima cha chini wote wamepata hiyo 23.3% sasa shida ipo wapi? Yani serikali inashindwa kusimamia msimamo wake inabaki ujiumauma tu Mara vikao sijui Mara...
Back
Top Bottom