Search results

  1. Black jackal360

    Kwanni kila siku naacha na kuachwa

    Habari zenu wakuu , mimi ni kijana wa miaka 19 ambae nimekutana na matatizo katika maisha yangu ya mapenzi hadi sasa nimeshaacha wanawake 11 na kuachwa mara 2 je nitakuwa na shidabgani maana kama mapenzi nayajua haswa ila chaajabu niambulia kuachwa tu kila siku Karibuni wakuu
  2. Black jackal360

    Anayeuza simu

    Wakuu kama utasikia mtu yeyote anauza simu aina ya samsung au iphone nzuri isiyozidi laki 3 ambayo ni nzuri isiyo na tatizo lolote iwe na rangi nyeusi we muache auzeee me sina elaaa
  3. Black jackal360

    Naomba msaada wa kisheria juu ya hii kesi

    Hii kesi inapande tatu kwa hio natafuta nani anaetakiwa kwenda mahakamani . Bosi wangu alinipa kazi ya ujenzi na tukakubaliana kulipana malipo ya ujenz huo baada ya kukamilika yalitalipwa kwa cheki lakini pesa hio sikutaka kulipwa mimi, nilitaka alipwe mama yangu . Baada ya ujenzi kuisha bosi...
  4. Black jackal360

    Naomba msaada wa hii kesi jamani

    Bosi wangu amenipa kazi ya ujenzi lakini kwenye makubaliano ya pesa yangu sikutaka nilipwe mimi nikataka alipwe mama yangu na bosi akakubali bali hio pesa bosi wangu hakutoa Cash akatoa Cheque. Baada ya mama yangu kwenda Bank akaambiwa cheque ni feki kwahio anaetakiwa kulalamika mahakamani ni...
Back
Top Bottom